Blog Rebranding Teaser_030826
Stanbic Bank Banner_070826
Absa Loan Campaign_160426
Monday, 20 June 2022
TANZANIA COMMERCIAL BANK YAPATA FAIDA YA BILIONI 19.7
Mwenyekiti wa bodi ya Tanzania Commercial Bank Dkt. Edmund Mndolwa (katikati), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kupata faida ya shilingi bilioni 19.7 kwa mwaka ulioishia 31 Desemba 2021 hatua inayo tajwa kuwa ya mafanikio na kuimarika kwa benki hiyo ambayo ni muunganiko wa iliyokuwa Benki ya TPB na TIB Corporate Bank.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Sabasaba Moshingi akizungumza wakati wa hafla ya kutangaza faida ya shilingi bilioni 19.7 kwa mwaka ulioishia 31 Desemba 2021.
Mwenyekiti wabodi ya Tanzania Commercial Bank Dkt. Edmund Mndolwa ametoa taarifa hiyo katika mkutano wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar esSalaam na kusema kuwa faida hiyo ni kabla ya kodi.
Faida iliyopatikana mwaka 2021 inatajwa na uongozi wa benki kuwa ni kubwa kufuatia ile ya mwaka 2020 ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanzishwa kwa Benki ya TCB takriban miaka 95 iliyopita.
Amepongeza uongozi pamoja na wafanyakazi wa Tanzania Commercial Bank kwa kuchangia mafanikio hayo licha ya changamoto za mdororo wa uchumi uliosababishwa na wimbi la ugonjwa wa UVOKO-19 ambao pia umeathiri uchumi wa mataifa mengi duniani.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Sabasaba Moshingi akizungumza wakati wa hafla ya kutangaza faida ya shilingi bilioni 19.7 kwa mwaka ulioishia 31 Desemba 2021.Mwenyekiti wa bodi ya Tanzania Commercial Bank Dkt. Edmund Mndolwa (katikati), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kupata faida ya shilingi bilioni 19.7 iliyopata benki hiyo. Wa pilikulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Sabasaba Moshingi pamoja na maafisa wengine wa benki hiyo.
Mwenyekiti wabodi ya Tanzania Commercial Bank Dkt. Edmund Mndolwa ametoa taarifa hiyo katika mkutano wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo uliofanyika jijini Dar esSalaam na kusema kuwa faida hiyo ni kabla ya kodi.
Faida iliyopatikana mwaka 2021 inatajwa na uongozi wa benki kuwa ni kubwa kufuatia ile ya mwaka 2020 ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanzishwa kwa Benki ya TCB takriban miaka 95 iliyopita.
Amepongeza uongozi pamoja na wafanyakazi wa Tanzania Commercial Bank kwa kuchangia mafanikio hayo licha ya changamoto za mdororo wa uchumi uliosababishwa na wimbi la ugonjwa wa UVOKO-19 ambao pia umeathiri uchumi wa mataifa mengi duniani.
Friday, 17 June 2022
MASTERCARD AND ECOBANK GROUP PARTNER TO DIGITIZE AGRICULTURAL VALUE CHAINS IN AFRICA AND EMPOWER MILLIONS OF SMALLHOLDER FARMERS THROUGH DIGITAL AND FINANCIAL INCLUSION
- Mastercard and Ecobank Group will deploy Mastercard Farm Pass, an award-winning, innovative solution that helps connect smallholder farmers to financial and agricultural ecosystems
- Mastercard Farm Pass will be rolled out leveraging the 33 countries where Ecobank has banking operations, helping millions of smallholder farmers gain digital access to markets, quality inputs, financial services, and real-time pricing information
Under the partnership, Ecobank will extend the reach and impact of the Mastercard Farm Pass platform leveraging its Pan-African network of 33 countries. Many smallholder farmers in Sub-Saharan Africa face several challenges. These include limited access to markets, working capital to finance activities or secure quality inputs, and relevant financial tools to pay and get paid efficiently. This has led to insecurity, inefficiencies, and a waste of resources and food, preventing farmers from running sustainable businesses.
Farm Pass brings together various agri-sector stakeholders from the supply and demand sides, in one agricultural marketplace, amplifying the collective positive impact on farming communities. Smallholder farmers can sell their produce at a better price, access quality inputs and farming information, get paid and pay digitally and develop a financial profile that can unlock financing opportunities for working capital and inputs.
BENKI YA NMB YAKABIDHI VIFAA VYA USAFI - DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ameagiza Jiji la Dodoma kuharakisha sheria ndogo ndogo za mazingira ili kuweka hali ya usafi katikati ya Jiji hilo.
Mtaka alitoa agizo hilo Kwa Naibu Meya wa Jiji la Dodoma, Emmanuel Chibago wakati wa kupokea vifaa vya kuhifadhia taka vilivyotolewa na benki ya NMB ili kusaidia utunzaji wa mazingira.
"Siku ile tulipata aibu kubwa, niliamua kuandika kwa mkono wangu kuomba vifaa hivi kwa benki ya NMB na leo wameleta,sasa naagiza vikabidhiwe kwa maandishi ili kila mmoja awe na wajibu wa kutunza na kuvifanyia kazi," alisema Mtaka.
NMB wamekabidhi jumla ya mapipa 100 yenye thamani ya zaidi ya Sh20 milioni wakiahidi kuendeleza ushirikiano na mkoa ili kuweka mji katika hali ya usafi.
Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Juma Kimori alisema makabidhiano ya vifaa hivyo ni mipango ya benki hiyo katika kurudisha sehemu ya faida kwa wananchi baada ya kodi ambapo mwaka huu wametenga Sh.bilioni 2.9 ikiwa na ongezeko la 41% ukilinganisha na Sh.bilioni 2.05 za mwaka jana.
LIPIA KIFURUSHI CHAKO CHA DStv POA TSHS 9,900 TU
Ikiwemo Watubaki, Salama Na, Maskani Poa, Ya Walimwengu bila kusahau marudio ya Kapuni.
Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako cha Poa TShs 9,900 tu kwa kupiga *150*53# uweze kufurahia vipindi hivi.
#DStvEwaaaaaah
Thursday, 16 June 2022
UBA BANK DONATES BOOKS IN CELEBRATION OF INTERNATIONAL DAY OF THE AFRICAN CHILD
Since this day aims at raising awareness for the situation of children in Africa and highlights the need for continuous improvement in Education, United Bank for Africa Tanzania Limited (UBA), through its Read AfricaInitiative, joined the rest of the world to celebrate African children by donating literature books to Kurasini Secondary School in Dar es Salaam.
UBA Tanzania’s Head of Corporate Banking, Dora Kyungu, used the opportunity to explain what the ‘UBA Read Africa Initiative’ means and the role it plays in encouraging students across Africa to improve their vocabularies and communication skills through reading.
UBA is a global Africa bank with presence in 20 African countries, the United Kingdom, the United States of America and France. The bank recognizes how the reading culture is critical to the future of our African children and the continent as well. All children were encouraged inculcate the habit of reading and read the donated books to enrich their bank of vocabularies to enhance their learning abilities.
After receiving the books, the headmaster of Kurasini Secondary School, Amry Jaribu Fundi, acknowledged thekind gesture of United Bank for Africa Tanzania Limited (UBA) for supporting quality education across in Tanzania. He urged the students to take full advantage of the donated books to increase their knowledge and continue to build a reading habit.
The Head Girl of the school, Sonia Madaha, expressed her sincere gratitude on behalf of other students and promised to continue to lead by example by reading a lot more.
BENKI YA NMB YAKABIDHI BILIONI 30.7 GAWIO KWA SERIKALI
Benki ya NMB imekabidhi Shilingi Bilioni 30.7 kwa Serikali huku Makamu wa Rais, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango akisema benki hiyo imefanya siku yake na Serikali nzima kuwa yenye furaha.
Makamu wa Rais alitoa kauli hiyo kufuatia agizo lake kwa benki hiyo mwaka jana kipindi kama hiki alipopokea gawio la Sh Bilioni 20.8 ikiwa ni faida ya 2020 na kutaka waongeze nguvu na ubunifu ili waje na gawio nono.
Makamu wa Rais alitoa kauli hiyo kufuatia agizo lake kwa benki hiyo mwaka jana kipindi kama hiki alipopokea gawio la Sh Bilioni 20.8 ikiwa ni faida ya 2020 na kutaka waongeze nguvu na ubunifu ili waje na gawio nono.
Gawio hilo limetolewa ikiwa ni faida ya NMB kwa mwaka wa fedha ulioishia 2021 ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 97 zilipitishwa na mkutano mkuu wa wana hisa wa Benki ya NMB kutolewa kwa wanahisa kama gawio. Serikali ikiwa inamiliki hisa 31.8%, imepokea shilingi Bilioni 30.7 kama gawio lake kutoka benki ya NMB ikiwa ni ongezeko la 40% ukilinganisha na mwaka jana.
Kwa gawio hilo, Benki ya NMB ndani ya kipindi cha miaka mitano inakua imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 80.544 kwa Serikali.
Kwa gawio hilo, Benki ya NMB ndani ya kipindi cha miaka mitano inakua imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 80.544 kwa Serikali.
Akipokea mfano wa hundi ya kiasi hicho, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango alisema benki hiyo imeendelea kuiheshimisha Serikali kwa kuonyesha namna gani inavyokuwa kimtaji na kuwajali wateja wake.
“Hata nitakapokwenda kumpokea Mheshimiwa Rais, hili litakuwa ni jambo la kwanza kumuambia, moyo wangu umeburudika sana, mmenifurahisha sana nasema hongereni sana,” alisema Dkt. Mpango.
Akitoa taarifa yake kwa Makamu wa Rais, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna alisema faida ya Benki baada ya kodi katika kipindi cha 2021 iliongezeka kwa asilimia 41 hadi kufikia Shilingi Bilioni 290.
“Hata nitakapokwenda kumpokea Mheshimiwa Rais, hili litakuwa ni jambo la kwanza kumuambia, moyo wangu umeburudika sana, mmenifurahisha sana nasema hongereni sana,” alisema Dkt. Mpango.
Akitoa taarifa yake kwa Makamu wa Rais, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna alisema faida ya Benki baada ya kodi katika kipindi cha 2021 iliongezeka kwa asilimia 41 hadi kufikia Shilingi Bilioni 290.
Kiasi hicho ni kikubwa ukilinganisha na Shilingi Bilioni 206 ya mwaka 2020 ambapo idadi ya akaunti za wateja iliongezeka hadi kufikia Milioni tano ikilinganishwa na milioni nne za 2020.
Wednesday, 15 June 2022
GEITA GOLD FC VISITS GGML FUNDED PROJECTS IN GEITA
![]() |
| The Geita Gold Football Team poses for a joint photo with the Moyo wa Huruma children, GGML staff and Geita Town council officials. |
Speaking during the team's visit, GGML's Senior Partnerships Manager, Manace Ndoroma said that in addition to providing sponsorship of 500 million Tanzanian shillings to the team, they have decided to invite the team to see the Company’s investments in the Geita community.
"We are very delighted to be the main sponsors of Geita Gold Football Club because their efforts to rise to the top echelons of the premier league have awakened sporting momentum within our Geita region. This team has become a solid ambassador for the Company, Town of Geita as well as our region as a whole,“ said Mr. Ndoroma.
Geita Gold Football Club Chief Executive Officer, Simon Shija commended GGML for continuing to benefit the Geita community through various development projects.
"Many people praise our team for doing well in the league standing, but the secret behind our success lies in the support of various stakeholders including GGML whom, in addition to being the main sponsor, are building a modern football stadium in Geita.
WAFANYAKAZI WA JOHARI ROTANA WACHANGIA DAMU
Ikiwa Juni 14 ya kila mwaka huadhimishwa siku ya wachangia damu duniani, wafanyakazi wa Hoteli ya Johari Rotana ya jijini Dar es Salaam wamechangia damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ili kuhakikisha wanaokoa maisha ya watu.
KAA TAYARI KWA WOMEN'S AFRICA CUP OF NATIONS
Soka linaendelea!
Kaa tayari kwa Women's Africa Cup Of Nations (AWCON) itakatoanza Julai 2 - 23 Julai 2022, huku ukipata kutazama Live mechi hizi kupitia chaneli za SuperSport.
Jiunge na @dstvtanzania kupitia ofa yao ya TShs. 59,000/= tu kwa kupiga simu 0659 07 07 07.
#DStvEwaaaaah
HERO MOTOCORP YAKABIDHI PIKIPIKI KWA JESHI LA POLISI
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo. |
Meneja Mkuu wa Karimjee Jivanjee Ltd, William Kadiva alitaja “Karimjee Jivanjee Limited ni biashara ya familia ya karne ya 21 inayoendeshwa na historia na mwongozo wa huduma bora, watu, wateja, washirika, jamii na biashara. Karimjee Jivanjee kwa sasa inaendesha shughuli zake katika sekta tano za biashara: Usafiri, Nishati, Huduma za Kifedha, Ukarimu na Mtaji.
Aliongeza Bw William Kadiva “tuna chapa nne chini ya mwamvuli wa Karimjee Mobility, Hero Moto corp ikiwa mojawapo ya chapa tanzu. Karimjee Mobility ilichukua jukumu la kusambaza pikipiki za Hero mwishoni mwa mwaka 2021 na hadi sasa imefanikiwa kufungua matawi 2 na kuunda mtandao wa wafanyabiashara zaidi ya 20 walioidhinishwa kote Tanzania”
Akitoa maelezo wakati wa uchangiaji huo wa pikipiki kwa mapolisi Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo alisema “Pikipiki hizi za Hero zitawawezesha askari polisi kuweka ufuatiliaji katika maeneo yao na pia kuimarisha ulinzi kwa ujumla.
Akitoa maelezo wakati wa uchangiaji huo wa pikipiki kwa mapolisi Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo alisema “Pikipiki hizi za Hero zitawawezesha askari polisi kuweka ufuatiliaji katika maeneo yao na pia kuimarisha ulinzi kwa ujumla.
Naye OCD wa Chango’mbe Ariziki Mohammed Mkwaya ambaye alipokea pikipiki hizo kwa niaba ya jeshi la polisi pia alitoa pongezi kwa Meneja Mkuu wa shujaa William Kadiva na kueleza kuwa msaada huo utasaidia kuwapa motisha askari katika maeneo tofauti.
NMB TELEZA KIDIJITALI KUZINDULIWA SHINYANGA
![]() |
| Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Magesse, akizungumza na wamachinga kuhusu faida za kampeni ya Teleza kidijitali iliyozinduliwa wilayani Kahama katika stendi ya mabasi CDT. |
![]() |
| Meneja wa NMB Kanda ya Magharibi, Sospeter Magesse (kulia) na Meneja wa NMB Tawi la Kahama, Gadiel Sawe (kushoto), wakizungumza na mamalishe kuhusu faida za kampeni ya Teleza Kidijitali. |
Baada ya kuchanja mbuga mtaa kwa mtaa katika Mkoa wa Dar es Salaam na Arusha, sasa Benki ya NMB imefika Mkoa wa Shinyanga kuzindua kampeni ya 'Teleza Kidijitali' katika mikoa ya Kanda ya Magharibi.
Uzinduzi huo ulifanyika katika viwanja vya CDT Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Meneja wa Kanda ya Magharibi wa NMB, Sospeter Magesse alisema kampeni ya 'Teleza kidijitali' imeanzishwa hivi karibuni kuwaelimisha Watanzania umuhimu wa huduma zilizo chini ya kampeni hio, ambazo ni NMB Pesa Wakala, Lipa Mkononi na Mshiko Fasta.
"Kupitia huduma ya Teleza kidijitali, pia inamuwezesha mteja kufungua akaunti mara moja na kuunganishwa na huduma za NMB Mkononi papo hapo bila mahitaji ya vigezo vingi vya usajili" alisema Magesse.
Tuesday, 14 June 2022
TAARIFA YA HALI YA UCHUMI NA MPANGO WA MAENDELEO WAWASILISHWA BUNGENI
Subscribe to:
Posts (Atom)





.jpg)



















.jpg)


.jpg)
.jpg)





.jpg)

.jpg)
