| Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu (Mb), akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba, baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2021 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23, bungeni jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment