10 Septemba 2020, Dar es Salaam - Wateja wa Vodacom M-Pesa takribani milioni 8, kuanzia leo watapata sehemu ya faida ya shilingi bilioni 3.5 ikiwa ni gawio kutoka kwenye akaunti ya M-Pesa Trust. Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC imetangaza kwamba kuanzia leo wateja wake wa M-Pesa watapata sehemu yao ya gawio hilo lililopatikana kama faida ya matumizi ya huduma hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa M-Commerce Epimack Mbeteni alisema, "tuna shauku ya kugawana faida hii na wateja wetu kwani wao ndio sababu ya mafanikio ya huduma ya M-Pesa. Huduma ya M-Pesa imechangia maendeleo lukuki ya watanzania na mpango huu umedhamiria kuendelea kuwapa wateja wetu faida zaidi. Wateja wote wa Vodacom ambao wamekuwa wakitumia M-Pesa kuanzia Januari mosi hadi Machi 31 mwaka huu watafaidika na bonus hii ya shilingi bilioni 3.5 ambayo itagawiwa moja kwa moja kupitia M-Pesa”.
Kuanzia sasa wateja wa Vodacom wanaweza kutuma SMS ya neno KIASI kwenda namba 15300 ili kujua kiwango gani cha faida watapokea. Baada ya kupata gawio hili, wateja wa M-Pesa wanaweza kukomboa faida hiyo kwa kuitoa kama fedha taslimu, kununua muda wa maongezi, vifurushi au kulipia bili.
Blog Rebranding Teaser_030826
Stanbic Bank Banner_070826
Absa Loan Campaign_160426
Thursday, 10 September 2020
PAZIA LA LIGI KUU YA UINGEREZA LITAFUNGULIWA JUMAMOSI HII NA MECHI KATI YA FULHAM VS ARSENAL NDANI YA DStv
Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako cha Compact TShs. 49,000 tu au piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi.
#SokaLisiloPimika
#SokaLisiloPimika
UTAKIMBIA KILOMITA NGAPI KATIKA NMB BIMA MARATHON?
Safari ya kuelekea Septemba 12, 2020 inazidi kuiva! Jiunge nasi kwenye mbio za NMB Bima Marathon Jumamosi hii Mlimani City.
#TuchapeMwendo
#NMBBimaMarathon
Q-SOURCING SERVTEC JOB ALERT - PRODUCTION & PLANT MANAGER
Q-Sourcing Limited, trading as Q-Sourcing Servtec, is a manpower management solutions firm operating in the East African Region in the countries of Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda and South Sudan.
On behalf of one of our Tanzania based clients, we are looking for a competent and experienced Production and Plant Manager.
Job Purpose
- You will be ultimately be responsible for the smooth running of all production lines and the quality of output.
- We expect you to have deep know-how in production procedures. Ability to direct personnel towards maximum performance will set you apart as a leader.
- Decision-making and problem-solving will take up a great part of your day. If you are up to it, we’d like to talk to you.
- The goal is to ensure an efficient and productive manufacturing process that meets customer requirements.
Wednesday, 9 September 2020
BUSINESS PICTORIAL
BENKI YA NMB YAFANYA MAPINDUZI MAKUBWA YA MALIPO NCHINI
Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya Mastercard imezindua matumizi ya kadi za kisasa zaidi za kieletroniki ambazo zinatarajiwa kuwa chachu ya mapinduzi makubwa ya malipo nchini, na kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa watu wengi.
Kadi hizo zinazowezesha malipo ya kabla (prepaid card) na malipo kwa mkopo (credit card) zimezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam katika hafla iliyoshuhudiwa na wadau mbalimbali akiwemo Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Bernard Kibesse, ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi.
Kwa mujibu wa viongozi wa benki hiyo, ushirikiano na Mastercard kutoa huduma hizi mbili utakuwa wa manufaa mengi na mafanikio makubwa si kwa wateja wa NMB tu bali pia kwa sekta ya kifedha na Watanzania wote kwa ujumla.
Hii inatokana na kadi hizi kuweza kutumiwa na wateja na wasio wateja wa NMB ambayo huduma zake zinapatikana nchi nzima kutokana wigo mpana wa matawi zaidi ya 220, mawakala zaidi ya 7,000 na mapinduzi ya huduma za kibenki kwa kutumia njia mbadala za kidijitali kama vile NMB Mkononi.
Katika mkakati wake wa kutoa huduma kupitia kadi za kielektroniki za Mastercard ambazo pia zina uwezo wa kutunza fedha, kufanya malipo kwa intaneti au kwenye point of sales (POS), Benki ya NMB imepanga kuzisambaza kwa zaidi ya watu milioni tatu ndani ya miaka mitano.Dkt. Kibesse alisema litakuwa jambo jema kama lengo hilo litakuwa maradufu ili huduma hii mpya iweze kuchangia kwa kiasi kikubwa kuwepo na uhakika wa Watanzania wengi kuwa na huduma za kibenki muda wote na mahali popote.
Naibu Gavana huyo pia alisisitiza umuhimu wa kadi hizo kusambazwa hadi vijijini na maeneo ya pembezoni kwa kuwa faida yake ni pamoja na kuwasaidia wakulima kujiwekea akiba hata kabla ya kufungua akaunti. Hilo likifanikiwa, alifafanua, Tanzania itakuwa imepiga hatua kubwa katika jitihada zake za kuwa uchumi usiotegemea malipo ya fedha taslimu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi.Ruth Zaipuna, alisema huduma ya kadi za malipo ya kabla na zile za malipo kwa mkopo ni moja ya miradi mikubwa ambayo taasisi hiyo imefanya na Mastercard. Mwaka 2015, washirika hao wawili walizindua Mastercard debit cards ambazo zimesambazwa kwa wateja zaidi ya milioni tatu.
Kadi hizo zinazowezesha malipo ya kabla (prepaid card) na malipo kwa mkopo (credit card) zimezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam katika hafla iliyoshuhudiwa na wadau mbalimbali akiwemo Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Bernard Kibesse, ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi.
Kwa mujibu wa viongozi wa benki hiyo, ushirikiano na Mastercard kutoa huduma hizi mbili utakuwa wa manufaa mengi na mafanikio makubwa si kwa wateja wa NMB tu bali pia kwa sekta ya kifedha na Watanzania wote kwa ujumla.
Hii inatokana na kadi hizi kuweza kutumiwa na wateja na wasio wateja wa NMB ambayo huduma zake zinapatikana nchi nzima kutokana wigo mpana wa matawi zaidi ya 220, mawakala zaidi ya 7,000 na mapinduzi ya huduma za kibenki kwa kutumia njia mbadala za kidijitali kama vile NMB Mkononi.
![]() |
Hizi ndizo aina ya kadi mpya za NMB Prepaid (Nyekundu) na NMB Credit.
|
Naibu Gavana huyo pia alisisitiza umuhimu wa kadi hizo kusambazwa hadi vijijini na maeneo ya pembezoni kwa kuwa faida yake ni pamoja na kuwasaidia wakulima kujiwekea akiba hata kabla ya kufungua akaunti. Hilo likifanikiwa, alifafanua, Tanzania itakuwa imepiga hatua kubwa katika jitihada zake za kuwa uchumi usiotegemea malipo ya fedha taslimu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi.Ruth Zaipuna, alisema huduma ya kadi za malipo ya kabla na zile za malipo kwa mkopo ni moja ya miradi mikubwa ambayo taasisi hiyo imefanya na Mastercard. Mwaka 2015, washirika hao wawili walizindua Mastercard debit cards ambazo zimesambazwa kwa wateja zaidi ya milioni tatu.
VODACOM TANZANIA PLC YAWAJENGEA UWEZO WA MASOMO YA SAYANSI WANAFUNZI WA KIKE NCHINI
- Yadhamini mafunzo ya 'Women in Data Science 2020' yaliyowashirikisha wanafunzi kike wa shule za sekondari kutoka maeneo mbalimbali nchini
MAWAKALA WA BENKI YA NMB WAPEWA ELIMU KUJIEPUSHA NA UTAKATISHAJI FEDHA
Benki ya NMB imetoa mafunzo maalum kwa mawakala wake kuhusiana na namna ya kuzuia utakatishaji fedha; na pia mbinu za kuzuia kufadhili shughuli za kigaidi.
Mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam na Arusha, ni utekelezaji wa maagizo ya Benki Kuu (BoT) kuhakikisha mawakala wa benki hawawi sehemu ya kutakatisha fedha zinazopatikana kwa njia zisizo halali.
Akizungumza wakati wa semina hiyo, Meneja Mwandamizi wa NMB Kitengo cha Wakala, Bw. James Manyama alisema ili mawakala hao kutotumika vibaya hawana budi kuzingatia sheria na kanuni za fedha zinazosimamiwa na Benki Kuu ili kushirikiana na Serikali katika kukomesha vitendo hivyo.
“Ni wajibu wetu kama Benki kuwaelimisha mawakala wetu kuwa makini wakati wote hasa kwa wateja ambao wameshajenga ukaribu na mazoea nao. Pia ni muhimu kuwa makini na wateja wanaoweka fedha nyingi na kisha wanazitoa ndani ya muda mfupi, na ukiangalia kiasi hicho cha fedha wanachoweka hakiendani na maisha yao. Inapotokea hali hiyo wanapaswa kutoa taarifa sehemu husika,” alisema James.
Christine Mwidunda, ambaye ni Meneja wa Mawakala NMB, alisema vyanzo vya fedha haramu ni kama vile ukwepaji wa kodi, biashara zilizopigwa marufuku zikizemo dawa za kulevya, usafirishaji wa silaha na binadamu, ugaidi na utekaji n.k.
Katika hatua nyingine Meneja Wakala wa NMB Kanda ya Kaskazini, Abraham Juma aliwataka Mawakala kuzingatia taratibu walizopewa zinazowataka wateja wanaoweka na kutoa fedha kujaza fomu ili kuwa na kumbukumbu ambazo ni matakwa ya BoT.
Mmoja wa Mawakala wa NMB, Monica Temu alisema mafunzo hayo yamewapa maarifa sahihi ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kikamilifu huku wakiwa wanafahamu mipaka ya kazi na namna ya kutilia mashaka wateja wanaotumia mawakala kutakatisha fedha zao jambo ambalo pia lingeweza kuwaweka katika wakati mgumu na mamlaka za nchi.
Benki ya NMB imepanga kutoa mafunzo haya kwa mawakala wake wote 7,700 ambao wametapakaa nchi nzima ifikapo mwezi Oktoba, 2020.
Mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam na Arusha, ni utekelezaji wa maagizo ya Benki Kuu (BoT) kuhakikisha mawakala wa benki hawawi sehemu ya kutakatisha fedha zinazopatikana kwa njia zisizo halali.
Akizungumza wakati wa semina hiyo, Meneja Mwandamizi wa NMB Kitengo cha Wakala, Bw. James Manyama alisema ili mawakala hao kutotumika vibaya hawana budi kuzingatia sheria na kanuni za fedha zinazosimamiwa na Benki Kuu ili kushirikiana na Serikali katika kukomesha vitendo hivyo.
![]() |
| Mawakala kutoka Manispaaa ya Temeke wakiwa katika mafunzo ya jinsi wanavyoweza kuzuia utakatishaji fedha. |
Christine Mwidunda, ambaye ni Meneja wa Mawakala NMB, alisema vyanzo vya fedha haramu ni kama vile ukwepaji wa kodi, biashara zilizopigwa marufuku zikizemo dawa za kulevya, usafirishaji wa silaha na binadamu, ugaidi na utekaji n.k.
![]() |
| Christine Mwidunda, akitoa mafunzo kwa Mawakala jijini Arusha. |
![]() |
| Mawakala wakiwa na vyeti walivyopewa baada ya kuhitimisha mafunzo ya namna gani wanaweza kuzuia utakatishaji fedha. |
Benki ya NMB imepanga kutoa mafunzo haya kwa mawakala wake wote 7,700 ambao wametapakaa nchi nzima ifikapo mwezi Oktoba, 2020.
MBIO ZA NMB BIMA MARATHON!
Benki ya NMB inatarajia kukusanya zaidi ya Shilingi milioni 100 kwa ajili ya matibabu ya watoto wenye saratani katika mbio za NMB Bima Marathon zilizopangwa kufanyika Jumamosi 12 Septemba 2020 jijini Dar es Salaam.
Fedha hizo zinatarajia kupatikana kupitia kwenye ada ya ushiriki wa mashindano hayo kwa upande wa Kilometa 5 ambazo zitashirikisha wadau mbalimbali watakaojitokeza kushiriki katika mbio hizo zilizopangwa kuanzia jengo la Mlimani City.
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi alisema kuwa wanatarajia kushirikisha jumla ya wanariadha 3,000 katika mbio hizo ambazo zimeandaliwa na kampuni ya The Africa Digital Banking Summit inayoongozwa na Baraka Mtavangu.
Mponzi alisema kuwa, viingilio vyote vya mbio za kilometa 5 vitapelekwa kwenye hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu ya watoto hao. Alisema kuwa, mbio za kilometa 10 na 21 zitatumika zaidi kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na umuhimu wa bima.
“Tunajisikia fahari kudhamini mashindano haya kwa ajili ya kusaidia jamii. Tunaomba wadau washiriki ili kufanikisha lengo au kuzidi lengo hilo. Naomba pia nitoe rai kwa jamii nzima aidha kushiriki mbio hizi au kuwasajili ndugu na marafiki ili tuweze kuwagusa watoto wengi zaidi wenye saratani kupata matibabu hospitali ya Muhimbili,” alisema Mponzi.
Naye, Rehema Laiti ambaye ni Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili aliwapongeza waandaji wa mbio hizo na zaidi Benki ya NMB kwa hatua hiyo na kuwataka watu wengine kuiga jambo hilo.
Kwa upande wake Baraka Mtavangu ambaye ni Mratibu wa NMB Bima Marathon alisema sehemu za kujisajili ni Mlimani City karibu na KFC pamoja na Hospitali ya Muhimbili. Wale wote ambao tayari wameshajisajili wanaweza kupata jezi zao hapo hapo Mlimani city karibia na KFC.
Mbali ya Benki ya NMB, wadhamini wengine ni kampuni za Bima za Sanlam, Strategies, Reliance na UAP. Benki ya NMB kama mdhamini mkuu imetoa Shilingi milioni 35 kwa ajili ya udhamini wa mashindano hayo.
Fedha hizo zinatarajia kupatikana kupitia kwenye ada ya ushiriki wa mashindano hayo kwa upande wa Kilometa 5 ambazo zitashirikisha wadau mbalimbali watakaojitokeza kushiriki katika mbio hizo zilizopangwa kuanzia jengo la Mlimani City.
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi alisema kuwa wanatarajia kushirikisha jumla ya wanariadha 3,000 katika mbio hizo ambazo zimeandaliwa na kampuni ya The Africa Digital Banking Summit inayoongozwa na Baraka Mtavangu.
Mponzi alisema kuwa, viingilio vyote vya mbio za kilometa 5 vitapelekwa kwenye hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu ya watoto hao. Alisema kuwa, mbio za kilometa 10 na 21 zitatumika zaidi kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na umuhimu wa bima.
“Tunajisikia fahari kudhamini mashindano haya kwa ajili ya kusaidia jamii. Tunaomba wadau washiriki ili kufanikisha lengo au kuzidi lengo hilo. Naomba pia nitoe rai kwa jamii nzima aidha kushiriki mbio hizi au kuwasajili ndugu na marafiki ili tuweze kuwagusa watoto wengi zaidi wenye saratani kupata matibabu hospitali ya Muhimbili,” alisema Mponzi.
| Hizi ndizo jezi zitakazo tumika wakati wa mashindano ya Mbio za NMB Bima Marathon. |
![]() |
| Timu ya NMB ikiwa tayari kwaajili ya Mbio za NMB Bima Marathon. |
Mbali ya Benki ya NMB, wadhamini wengine ni kampuni za Bima za Sanlam, Strategies, Reliance na UAP. Benki ya NMB kama mdhamini mkuu imetoa Shilingi milioni 35 kwa ajili ya udhamini wa mashindano hayo.
BOLT LAUNCHES AN ALL-NEW AFFORDABLE, EVERYDAY RIDE-TYPE IN ARUSHA, MWANZA AND DODOMA
The leading on-demand transportation platform in Africa - Bolt has launched an affordable ride option dubbed ‘Bolt Lite’ in Arusha, Mwanza and Dodoma targeting passengers seeking low budget travel.
Bolt Lite category aims to make ride more affordable to customers, which in turn translates to increased trips, notable substantial earnings for drivers.
Commenting on the roll-out of the new ride option, Bolt Country Manager in Tanzania, Remmy Eseka said that Bolt’s mission is to make urban transportation more convenient and affordable for people, while increasing ride requests for drivers, translating to increased daily earnings.
“Our drivers are at the core of our operations, and we truly believe that happy drivers mean a better quality service for clients. This explains why we’ve been doing extensive reviews to ensure that we continue to provide the best earnings for our driver-partners and remain the most preferred platform by customers," said Mr. Eseka.

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YADHAMINI MBIO ZA KUHAMASISHA UTUNZAJI MAZINGIRA WILAYANI SERENGETI
![]() |
| Klabu ya wakimbiaji kutoka kanda ya ziwa, wakishangilia baada ya kufanikiwa kumaliza mbio za Serengeti Migration Marathon. |
PREMIER LEAGUE TUNAYO SIE, DStv! KUNA ANAYEBISHA?
Ni ukweli usiopingika kwamba @dstvtanzania ndio sehemu inayowaleta pamoja wadau wa soka na kuwapa #SokaLisiloPimika. Kaa mkao wa kushangilia kwa kuhakikisha unalipia mapema kifurushi cha Compact TShs. 49,000 tu ili usipitwe na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi
#WorldsBestFootball.
Piga 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi
#WorldsBestFootball.
WAKULIMA WASHAURIWA KUTUMIA VODACOM M-KULIMA
TIGO YAUNGANA NA SAMSUNG KUZINDUA SAMSUNG NOTE 20 NA SAMSUNG NOTE 20 ULTRA TANZANIA
- Wateja watakaonunua simu hiyo watajipatia Gb78 za intaneti kwa mwaka mzima
Ushirikiano huo ni sehemu ya mkakati wa Tigo wa kuongea matumizi ya mtandao wa 4G na kuchangia ukuaji wa teknolojia ya kidigitali nchini.
Meneja wa bidhaa za intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu hiyo alisema “Ni jambo la kubwa sana kwetu kuchaguliwa na Samsung kuwa wa kwanza kuzihifadhi na kuuza simu za Samsung Note 20 na Samsung Note 20 ultra kwenye soko la Tanzania. Hii inaonesha imani yao kwetu juu ya chaneli kubwa za usambazaji tulizonazo na pia kupitia timu yetu ya huduma kwa wateja inayotoa huduma zenye ubora wa hali ya juu,” alisema Myonga.
“Lengo letu ni kuchochea mageuzi ya kidigitali katika maisha ya watu hapa nchini na ndio maana tumeungana na Samsung ili kuongeza idadi ya umiliki wa simu janja pamoja na matumizi ya data ili kuhakikisha watu wengi zaidi wanaifikiwa na teknolojia hii,” alisema Muyonga.
BENKI YA BIASHARA YA DCB YAJIKITA KWENYE VIKOBA KUTOA FURSA ZA MAENDELEO NA MITAJI KUWAWEZESHA WATANZANIA KIUCHUMI
September 3, 2020 - Katika kusaidia utimizaji wa azma ya kuleta maendeleo kwa watanzania na kuondoa umasikini, Benki ya Biashara ya DCB imeingia makubaliano na asasi isiyo ya kiserikali ya UYACODE inayotoa uangalizi na usimamizi wa VICOBA. Taasisi hii inatoa mafunzo,usimamizi na uratibu wa vikundi vya benki ndogo za kijamii (VICOBA) kwenye mikoa 21 Tanzania Bara na Zanzibar.
Akizungumza wakati wa utambulisho wa wadau wa UYACODE kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Mkurugenzi wa Biashara wa DCB, Zacharia Kapama alisema ni matumaini wanachama wa UYACODE watanufaika na utaratibu huu ambapo benki itasaidia kujenga uwezo wa vikundi hivi huku vikinufaika biadhaa mbalimbali na huduma bora za kibenki zinazotolewa na benki hiyo, ikiwemo akaunti zisizo na makato , mikopo ya riba nafuu na msaada wa ushauri wa kitaalamu ikiwemo mfumo wa usimamizi wa kifedha.
“DCB kwa miaka kadhaa tumewekeza kwa kiasi kikubwa katika huduma zinazowalenga wajasiriamali walio katika vikundi mbalimbali tukiwa na vikundi vya Vicoba zaidi ya 8,000 huduma ambazo zimeweza kubadilisha maisha na kukuza mitaji ya wengi ya wanavicoba hao.

Tuesday, 8 September 2020
EXIM BANK APPOINTS AMBASSADOR JUMA V. MWAPACHU AS NEW CHAIRMAN, BOARD OF DIRECTORS AND MS. IRENE MADEJE-MLOLA AS A NEW DIRECTOR, BOARD OF DIRECTORS
![]() |
| Ambassador Juma V. Mwapachu, Exim Bank Tanzania's new Chairman of the Board of Directors. |
Currently serving as a Director, Board of Directors, Heritage Insurance Tanzania Limited since 1998, a Member of Board of Directors of Alliance Life Assurance Tanzania Limited since 2014 amongst others, a distinguished former ambassador, Juma V. Mwapachu carries a wealth of experience through his long career in Government, in parastatals, private sector, civil society in Tanzania, regionally and internationally.
In a statement today, the bank’s Board of Directors thanked Ambassador Mwapachu for his exemplary leadership and contribution as a Director in the Board of Directors since 2011 saying as a Director, he ensured that the Bank continued to move forward both strategically and operationally.
“His extensive experience, knowledge and proven leadership will further provide the bank with continued momentum to chart innovations, pursue future growth, and further strengthen our position as among the largest financial institution in the country,” the bank’s Chief Executive Officer (CEO) Mr. Jaffari Matundu, commented upon the Boards announcement.
Ambassador Mwapachu holds a Bachelor of Laws from University of East Africa (1969) a Post-Graduate Diploma in International Law from the Indian Academy of International Law (1978), a Doctorate in Literature (Honoris Causa-2005) from the University of Dar-es-Salaam and a Doctorate in Political Sciences (honoris Causa-2012) from the National University of Rwanda.
His career pinnacle was being Tanzania’s Ambassador to France (2002-April 2006), Secretary General of East African Community (April 2006-April 2011) and Chair of Committee of Chief Executives in the COMESA-EAC-SADC Tripartite (2008-2011). Ambassador Mwapachu was the Global President of the renowned Society for International Development (SID) from 2012-2016.
Ambassador Mwapachu, over the years, has spearheaded the launch of various institutions like the Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCA), the Confederation of Tanzania Industries (CTI) and the East African Business Council.
Further, the Board of the Bank also announced the appointment of Ms. Irene Madeje-Mlola as a new member of its Board of Directors.
![]() |
| Ms. Irene Madeje-Mlola, Exim Bank Tanzania's new member of its Board of Directors. |
She brings with her a wealth of experience from various leadership and management positions held in the Financial and Telecommunications Sectors; having worked in strategic and leadership roles in multinationals such as Scotia Bank, Royal Bank of Canada, Barclays Bank, Vodacom, Airtel, and the Financial Sector Deepening Trust in which she has been instrumental in their transformation.
Monday, 7 September 2020
DIGITAL TECHNOLOGY: A VALUABLE OPPORTUNITY TO DRIVE INNOVATION AND HELP TO SECURE SUSTAINABLE GROWTH IN TANZANIA
In recent years, Tanzania’s digital landscape has gone from strength to strength, helping it become one of the fastest-growing in East Africa. It is well known that this growth has helped create a number of economic opportunities, and the country’s young population has ushered in an ecosystem that is embracing the latest digital trends.
In many sectors, digital technology is providing a valuable opportunity to drive innovation and help to secure sustainable growth.
For example, this week, the Ministry of Agriculture donated a range of ICT related equipment to both public and private agricultural training and educational centres, to help facilitate knowledge sharing.
According to the Permanent Secretary in the Ministry of Agriculture, Gerald Kusaya, this latest donation will help the digitization process of these education facilities and support training future generations of workers.
This latest news further underlines the way in which digital technology can open the untapped potential for a number of parts of the Tanzanian economy.

Saturday, 5 September 2020
KIVUMBI CHA LIGI YA MATAIFA YA ULAYA (UEFA NATIONS LEAGUE) KINAENDELEA LEO NDANI YA DStv
Kivumbi cha Ligi ya Mataifa ya Ulaya (UEFA Nations League) kinaendelea ⚽️⚽️⚽️⚽️
Na kama kawaida @dstvtanzania ndio sehemu pekee unapopata #SokaLisilopimika. Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako kwa kupiga *150*53# au 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi.
#WorldBestFootball
Thursday, 3 September 2020
LIGI YA MATAIFA YA ULAYA (UEFA NATIONS LEAGUE) IMERUDI TENA NDANI YA DStv PEKEE
Ligi ya Mataifa ya Ulaya (UEFA Nations League) imerudi tena ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
Na kama kawaida kupitia @dstvtanzania penye #SokaLisilopimika ndipo ulipo uhakika wa kutazama mechi hizi.
Piga *150*53# kulipia sasa kifurushi chako au 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi.

Tuesday, 1 September 2020
FURAHIA FILAMU UZIPENDAZO NDANI YA DStv PEKEE
Furahia filamu uzipendazo ndani ya @dstvtanzania kupitia ulimwengu wa filamu ulioboreshwa zaidi, kila chaneli ikikuburudisha na mahadhi husika ya filamu uzipendazo kuanzia leo tarehe 1 September 2020.
TBONE HAPPY HOUR SPECIAL AT THE DECK KITCHEN & BAR!
Our Tbone has been upgraded to big and better. Get a thick, juicy Tbone with garlic mashed potatoes or fries for only TZS 15,000.
THE TANZANIA INSTITUTE OF BANKERS - MORTGAGE FINANCE TRAINING PROGRAM; 7-11 SEPTEMBER 2020
DURATION: 5 days, 7-11 September 2020
OVERVIEW OF MORTGAGE MARKET IN TANZANIA
Mortgage lending is the major mechanism used in many countries to finance private ownership of residential and commercial properties. Development of real estate sector has not become evident in many towns and cities in Tanzania.
VENUE
Tanzania Institute of Bankers (TIOB) Offices, 5th floor, Faykat Tower, Plot No. 236, Ally Hassan Mwinyi Road, Kinondoni, next to Airtel Head Office, Dar es Salaam.

The mortgage market in Tanzania has been growing steadily as the pace of housing investment picks up. In the same line, the use of mortgage loans for developing private homes or commercial properties is now gaining popularity in banking institutions and other stakeholders.
Tanzania has witnessed many Commercial Banks coming up with mortgage lending product. Following the growth of mortgage lending, the Tanzania Institute of Bankers in collaboration with Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC) will organize training programmes on Mortgage Finance for Commercial Banks with the objective of ensuring standardization and uniform processing of mortgage finance operations in Tanzania.
OBJECTIVES
To provide banking professionals with training comprising all areas of mortgage financing, as well as to achieve standardization in filing and documentation requirements.
CONTENTS
TARGET GROUP
Branch Managers and other staff from bank branches who are involved in Credit, Relationship Management and Loan Documentation.
METHODOLOGY
Lectures, case studies and group discussions.
FEES
The fee payable is TZS 1,050,000 per participant for the five days training.
OBJECTIVES
To provide banking professionals with training comprising all areas of mortgage financing, as well as to achieve standardization in filing and documentation requirements.
CONTENTS
- Overview of Tanzanian financial markets
- The Housing Finance Project and its components
- Mortgage lending in Tanzania
- Overview of the Mortgage Lending Process
- Tanzanian Mortgage finance legislations
- Qualification of Borrowers
- Loan Processing and File Building
- Loan Underwriting and Closing
- Loan Administration (Servicing)
- Titling process in Tanzania: challenges
- Role of credit reference bureau in mortgage lending
- Marketing of Financial services
- Various mortgage finance case studies
TARGET GROUP
Branch Managers and other staff from bank branches who are involved in Credit, Relationship Management and Loan Documentation.
METHODOLOGY
Lectures, case studies and group discussions.
FEES
The fee payable is TZS 1,050,000 per participant for the five days training.
VENUE
Tanzania Institute of Bankers (TIOB) Offices, 5th floor, Faykat Tower, Plot No. 236, Ally Hassan Mwinyi Road, Kinondoni, next to Airtel Head Office, Dar es Salaam.
PAZIA LA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA 2020/21 LAFUNGULIWA RASMI KWA NGAO YA JAMII
Subscribe to:
Posts (Atom)