| Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akikabidhi Ngao ya Jamii kwa Nahodha wa Simba SC, John Bocco mara baada ya kutwaa Ngao hiyo ya kuashiria uzinduzi rasmi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania 2020/21. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Hassan Kimanta. |
No comments:
Post a Comment