| Mkurugenzi wa Rasilmali Watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis (kulia) akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari wakati wa kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc.(#Codelikeagirl) Kushoto ni Mkurugenzi wa Tanzania DLab Stephen Chacha. Jumla ya wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi. |
No comments:
Post a Comment