Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Monday, 30 June 2025

MONTI INTERNATIONAL SCHOOL SETS THE BAR IN FUTURE-READY EDUCATION

The Kinondoni District Administrative Secretary (DAS), Warda Abdallah, presents a certificate to one of the children graduating from early childhood education at Monti International School in Mikocheni, Dar es Salaam. The event marked the school’s fourth graduation ceremony, held over the weekend, and followed the Cambridge curriculum.
The Director and Owner of Monti International School, Fatma Fernandes, watches performances showcasing the talents of children who have completed their early childhood education at the school.

By Our Reporter – Dar es Salaam

Monti International School has earned glowing praise from Kinondoni District Administrative Secretary (DAS), Warda Abdallah, for its trailblazing approach to 21st-century education, its embrace of digital innovation, and its role in nurturing young talent in Tanzania.

Speaking during the school’s fourth graduation ceremony held over the weekend at the school’s Mikocheni campus, DAS Warda commended the school for combining academic rigor with talent development, guided by the globally recognized Cambridge International Curriculum.

“We are proud to see a school like Monti International laying such a strong foundation for future generations,” said DAS Warda. “The way children here are being taught—not only academic skills but also creativity, critical thinking, and the safe use of Artificial Intelligence—reflects the kind of education Tanzania needs as we move forward.”


The Role of Parents in the AI Era

The DAS further emphasized the need for strong parent-teacher collaboration, especially in an age where technology is both an enabler and a challenge.

“As AI becomes part of our everyday lives, it is essential that parents remain close to their children, guiding them and staying involved in their education. We must ensure this generation remains innovative, ethical, and independent,” she noted.


A Visionary Approach to Education

Monti International School, which caters to learners from age one through primary, has positioned itself as a future-ready learning institution that not only delivers academic excellence but also celebrates diversity and creativity.

VODACOM NA STANBIC WAZINDUA JEZI RASMI YA MSAFARA WA TWENDE BUTIAMA 2025

Dar es Salaam, Juni 28, 2025 – Kampuni ya Vodacom Tanzania, kwa kushirikiana na Benki ya Stanbic, imezindua rasmi jezi itakayotumika katika msafara wa Twende Butiama 2025 – tukio maalum la waendesha baiskeli linalolenga kuchochea maendeleo ya kijamii kupitia sekta za elimu, afya na mazingira.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire, alisema kuwa ushirikiano kati ya kampuni hiyo na Benki ya Stanbic ni sehemu ya dhamira ya kuenzi mchango wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kupitia vitendo vya kijamii vinavyolenga kuboresha maisha ya Watanzania.

“Katika kumuenzi Baba wa Taifa kwa vitendo, sisi Vodacom Tanzania tunaungana na jamii kwenye masuala mbalimbali ya maendeleo – ikiwemo afya, elimu, na utunzaji wa mazingira,” alisema Besiimire.


STANBIC YADHAMIRIA KUCHANGIA TZS MILIONI 100 KILA MWAKA

Kwa upande wake, Wilmot Ishengoma, akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Stanbic Bank, Manzi Rwegasira, alieleza kuwa benki hiyo imeguswa na mafanikio ya msafara huo katika miaka iliyopita, na hivyo kujitolea kuchangia shilingi milioni 100 kila mwaka kuunga mkono juhudi hizi.

“Tanzania ni nyumbani. Maendeleo na ukuaji wake ni jukumu letu sote. Ili kushinda maadui watatu wa maendeleo – ujinga, umaskini, na maradhi – tumeona umuhimu wa kushiriki kikamilifu msafara huu. Tutaendelea kuchangia shilingi milioni 100 kila mwaka ili kuhakikisha msafara huu unaendelea kuleta mafanikio kwa jamii,” alisema Ishengoma.


TWENDE BUTIAMA 2025: MAPAMBANO DHIDI YA MAADUI WA MAENDELEO

Kaulimbiu ya msafara wa mwaka huu ni:
“Kupambana na Maadui Watatu wa Maendeleo: Ujinga, Umaskini na Maradhi.”

10 UNWRITTEN RULES FOLLOWED BY SUCCESSFUL BOLT DRIVERS IN TANZANIA

Dar es Salaam, Tanzania – June 30, 2025 – Holding a dominant 70% market share, ride-hailing platform Bolt continues to lead the Tanzanian market by offering a blend of safety, affordability, and technological innovation that caters to riders across social classes.

In a recent live interview with a local media station, Dimmy Kanyankone, General Manager of Bolt Tanzania and Kenya, revealed the top 10 unwritten rules followed by the most successful Bolt drivers in Tanzania. These principles have helped drivers maximize earnings, maintain high ratings, and build sustainable incomes in a competitive market.

Our drivers are a critical part of the urban economy in Tanzania. We have more motorcycles than cars in the country, and many are used to support livelihoods—from commuting to goods delivery,” said Dimmy. “Even during the rainy season, demand for taxis and ‘boda bodas’ surges.


Top 5 Rules Successful Drivers Never Compromise On:

1. Don’t Go Online If You’re Not Ready

Being online without the intention to drive negatively affects your score.
🕐 Pro tip: Turn off your availability during meals or breaks to avoid cancellations, which harm your driver rating.

2. Keep Your Phone and App Updated

Ensure your Bolt app runs smoothly by using a modern, updated smartphone.
💡 Modern technology requires modern tools.

3. Know Your Hotspots and Timing

Drive smart, not just hard.

  • Morning: Focus on residential to CBD (e.g., Mikocheni to Posta)
  • Midday: Hover around restaurants and government offices
  • Evening: Malls, bars, and bus terminals are your goldmine

4. Five-Star Service = Repeat Riders + Tips

Politeness and professionalism pay off.
Keep your vehicle clean
✔ Avoid arguing about routes
✔ Embrace a business mindset—there’s no perfect ride every time

NMB YATANGAZA KUSHIRIKI KWAKE MAONYESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA – SABASABA

DAR ES SALAAM – Benki ya NMB imetangaza rasmi ushiriki wake katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (SabaSaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kutoa huduma bora za kifedha pamoja na elimu ya fedha kwa wananchi wa rika zote.

Kupitia banda lake maalum, NMB inatoa huduma mbalimbali za kibenki kwa wananchi, familia, wafanyabiashara na wajasiriamali wanaotembelea maonesho hayo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuwa karibu zaidi na jamii na kuchochea ujumuishi wa kifedha nchini.


KUKUZA UELEWA WA KIFEDHA KUANZIA UTOTONI

Katika siku za mwanzo za maonesho, wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Gilman Lutihinda walipata fursa ya kutembelea banda la NMB na kushiriki mafunzo ya msingi kuhusu elimu ya fedha, kama sehemu ya dhamira ya benki hiyo ya kuimarisha uelewa wa kifedha kwa vizazi vyote.

Hatua hii inaendana na mikakati ya NMB ya kuwa daraja la elimu ya kifedha nchini, kwa kuhakikisha watoto, vijana na watu wazima wanapata maarifa yatakayowasaidia kufanya maamuzi bora ya kifedha kwa maendeleo yao binafsi na ya taifa.


HUDUMA ZINAZOPATIKANA BANDA LA NMB

Wakati wote wa maonesho haya ya wiki mbili, NMB inatoa huduma zifuatazo kwa wananchi wanaotembelea banda lake:

Ufunguzi wa akaunti papo kwa papo
Mikopo ya binafsi na ya biashara
Huduma za bima kwa watu binafsi na biashara
Huduma za kidijitali kama NMB Mkoni
Ushauri wa kifedha na uwekezaji

NBC YAWANOA WATAALAM WA TEKNOLOJIA YA HUDUMA ZA FEDHA ILI KUCHOCHEA UCHUMI JUMUISHI

Mkuu wa Kitengo cha Miamala ya Kibenki kutoka Benki ya NBC, Bw. Mangire Kibanda, akizungumza na washiriki wa semina ya mafunzo iliyoandaliwa na benki hiyo mahsusi kwa wadau wa Umoja wa Makampuni yanayotoa Huduma za Kifedha kupitia Teknolojia Tanzania (TAFINA), ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo zaidi ili waweze kubuni huduma mbalimbali zinazoendana na mahitaji halisi ya jamii na taasisi za kifedha, hususan Benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Meneja Mahusiano na Ushirikiano wa Umoja wa Makampuni yanayotoa Huduma za Kifedha kupitia Teknolojia Tanzania (TAFINA) Bi Julieth Kiluwa akizungumza na washiriki wa semina ya mafunzo iliyoandaliwa na benki ya NBC mahususi kwa wadau wa TAFINA ikilenga kuwajengea uwezo zaidi wadau hao ili waweze kubuni huduma mbalimbali zinazoendana na mahitaji halisi ya jamii na taasisi za kifedha hususani benki hiyo.

DAR ES SALAAM, Juni 30, 2025 – Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendesha semina maalum ya kuwajengea uwezo wataalamu wa teknolojia ya huduma za kifedha kutoka Umoja wa Makampuni yanayotoa Huduma za Kifedha kupitia Teknolojia Tanzania (TAFINA), ikiwa ni sehemu ya mikakati yake ya kukuza ujumuishi wa kifedha kupitia ubunifu na ushirikiano.

Semina hiyo ya siku moja, iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, imelenga kuwawezesha wadau hao kubuni huduma za kifedha bunifu zinazokidhi mahitaji halisi ya jamii na taasisi za kifedha, hususan benki ya NBC.


KUCHOCHEA UBUNIFU KUPITIA USHIRIKIANO NA MAFUNZO

Katika semina hiyo, NBC iliwajengea uwezo washiriki juu ya:

  • Njia bora za kufikia masoko
  • Fursa za mikopo na uwezeshaji kifedha
  • Kuongeza ufanisi wa huduma kwa kutumia teknolojia

Mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano baina ya NBC na TAFINA yaliyosainiwa mwezi Aprili 2025, yenye lengo la kuimarisha ekosistemi ya kifedha ya kidijitali nchini.


NBC: TUPO TAYARI KUONGOZA MAPINDUZI YA KIFEDHA YA KIDIJITALI

Bw. Mangire Kibanda, Mkuu wa Kitengo cha Miamala ya Kibenki NBC, alisema kuwa benki hiyo imejikita kuwa kinara wa mapinduzi ya utoaji huduma za kifedha kwa njia ya kidijitali:

“Kupitia semina hii tunawapatia wadau wa TAFINA maarifa ya ndani kuhusu huduma zetu na tunawasaidia kuelewa vipaumbele vyetu kama benki. Lengo letu ni kuwawezesha kubuni huduma zinazoendana na mahitaji halisi ya wateja – si tu kwa NBC, bali pia kwa taasisi nyingine.”

FUNGUO YAZINDUA FURSA MPYA ZA UFADHILI WA ZAIDI YA BILIONI 2.5 KWA WAJASIRIAMALI WA KITANZANIA

Mkuu wa Idara ya Uchumi na Utawala wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Karina Dzialowska, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ufadhili wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kwa kampuni changa bunifu, pamoja na biashara ndogondogo na za kati zinazojihusisha na mazao ya misitu, kupitia programu ya FUNGUO chini ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Naibu Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Tanzania, John Rutere, na kulia ni Mratibu wa Ushirikiano wa Maendeleo kutoka Ubalozi wa Finland nchini, William Nambiza.
Naibu Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Tanzania, John Rutere, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ufadhili wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kwa kampuni changa bunifu, pamoja na biashara ndogondogo na za kati zinazojihusisha na mazao ya misitu, kupitia programu ya FUNGUO chini ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uchumi na Utawala wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Karina Dzialowska, na kushoto ni Mkurugenzi wa Mazao Hub, Bw. Geophrey Tenganamba, ambaye ni mwakilishi wa mojawapo ya kampuni zinazofaidika na programu hiyo.
Meneja Mkuu wa Programu wa Anza, Bi. Dina Kikuli, ambaye ni mshirika katika utekelezaji wa mradi huo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ufadhili wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kwa kampuni changa bunifu, pamoja na biashara ndogondogo na za kati zinazojihusisha na mazao ya misitu, kupitia programu ya FUNGUO chini ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Naibu Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Tanzania, John Rutere, na kulia ni Mratibu wa Ushirikiano wa Maendeleo kutoka Ubalozi wa Finland nchini, William Nambiza.

DAR ES SALAAM, Juni 27, 2025 – Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO, unaofadhiliwa kwa pamoja na Umoja wa Ulaya (EU), Jamhuri ya Finland, na Serikali ya Uingereza kupitia FCDO, umetangaza uzinduzi rasmi wa fursa mbili muhimu za ufadhili zenye lengo la kuchochea ukuaji wa biashara bunifu na endelevu nchini Tanzania.

Mradi huu unatekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP Tanzania) kama sehemu ya juhudi za kukuza mazingira ya uvumbuzi, ajira, na maendeleo shirikishi kwa wajasiriamali, hususan vijana na wanawake.


EU: FUNGUO SASA NI MHIMILI WA MFUMO WA UBUNIFU WA TANZANIA

Akizungumza wakati wa uzinduzi, Karina Dzialowska, Mkuu wa Idara ya Uchumi na Utawala wa Umoja wa Ulaya nchini, alieleza jinsi FUNGUO lilivyobadilika kutoka mradi wa majaribio hadi kuwa jukwaa la kimkakati:

“FUNGUO sasa ni mhimili wa mfumo wa Tanzania. Tunatoa wito mahsusi kwa vijana na wanawake wenye ndoto na uthubutu kushiriki. Tunataka angalau 40% ya ruzuku ziende kwa wanawake – lakini hili litatimia ikiwa watawasilisha maombi.”


FINLAND: FURSA KWA BIASHARA ZENYE UZINGATIFU WA MAZINGIRA

Kwa upande wake, William Nambiza, Mratibu wa Ushirikiano wa Maendeleo kutoka Ubalozi wa Finland, alielezea dhamira yao ya kukuza ajira zinazolinda mazingira kupitia mradi wa #GreenCatalyst:

“Kupitia ushirikiano wetu katika mradi wa FORLAND, tunataka kuendeleza biashara bunifu kwenye mnyororo wa thamani wa misitu – kama bidhaa za mianzi, useremala wa kisasa, au mkaa mbadala. Hii ni fursa ya kipekee kwa wajasiriamali wa mazingira.”


UNDP: BIASHARA ZINAZOTATUA CHANGAMOTO HALISI

Naibu Mwakilishi Mkaazi wa UNDP Tanzania, John Rutere, aliweka wazi athari chanya za FUNGUO:

Friday, 27 June 2025

VODACOM YATIMIZA MIAKA 25: KUADHIMISHA UUNGANISHWAJI KIDIJITALI

Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Kilimanjaro, Sifa Msuha (kulia), akizungumza na madereva wa bodaboda wakazi wa Marangu Mtoni, katika Manispaa ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, wakati wa kampeni ya maadhimisho ya miaka 25 ya Vodacom Tanzania Plc tangu kuanzishwa kwake. Kampeni hii ya kitaifa inalenga kuwafikia wateja wa kampuni hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, kwa ajili ya kuzungumza nao kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Vodacom.

DAR ES SALAAM, 27 JUNI 2025

Katika kuadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake nchini Tanzania, Vodacom Tanzania PLC imezindua kampeni maalum ya kitaifa iitwayo "Tupo Nawe, Tena na Tena", kama sehemu ya kutambua mchango wake katika kuimarisha mawasiliano na huduma za kidijitali kwa Watanzania.

Kampeni hiyo ya miezi minne inalenga kuwakumbusha wananchi namna ambavyo Vodacom imekuwa mshirika wa karibu katika safari ya maisha yao – kuanzia enzi za simu za kawaida hadi zama za kisasa za huduma za mtandao wa kasi wa 5G, M-Pesa, afya mtandaoni na elimu kupitia simu janja.

Tangu kuingia sokoni miaka 25 iliyopita, Vodacom imeendelea kuleta mapinduzi ya mawasiliano nchini, ikiongoza katika kutoa huduma bunifu zinazogusa nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Kupitia kampeni hii, kampuni hiyo inatoa shukrani kwa wateja wake wote waliokuwa sehemu ya mafanikio hayo, huku ikiahidi kuendelea kuwa mstari wa mbele katika utoaji wa huduma bora, za kisasa na zinazokidhi mahitaji ya wakati.

Tumekuwa pamoja na Watanzania kwa miaka 25 – katika mafanikio, changamoto na mabadiliko ya teknolojia. Tunaahidi kuendelea kuwa sehemu ya maisha yao kwa ubunifu zaidi katika miaka mingi ijayo,” imesema sehemu ya taarifa ya kampuni hiyo.

Kwa hatua hii, Vodacom inajidhihirisha tena kama mtandao unaoaminika zaidi nchini na mwezeshaji mkuu wa Tanzania kuelekea uchumi wa kidijitali.

DSE HOLDS 10TH ANNUAL GENERAL MEETING, APPROVES DIVIDEND OF TZS 125 PER SHARE

DAR ES SALAAM, 27 JUNE 2025

The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) held its 10th Annual General Meeting of Shareholders on June 25, 2025, during which the Board of Directors presented the Performance Report and Financial Statements for the year ended December 31, 2024.

The meeting provided shareholders with a comprehensive overview of the Exchange’s operational highlights and financial performance over the past year.

💰 Dividend Approval

One of the key resolutions from the meeting was the approval of a dividend payment of TZS 125 per share, reflecting the strong financial results posted by DSE and the Board’s commitment to delivering value to its shareholders.

TRC LAUNCHES CARGO SERVICES VIA SGR – A NEW MILESTONE IN TANZANIA’S TRANSPORT REVOLUTION

DAR ES SALAAM - 27 JUNE 2025

The Tanzania Railways Corporation (TRC) has officially launched cargo transportation services using the Standard Gauge Railway (SGR), marking a major milestone in modernizing the country’s transport and logistics sector.

According to a statement released Thursday by Fredy Mwanjala, TRC’s Head of Information and Public Relations, the service begins with one cargo train per day.

As per the schedule, the train departs Pugu Station at 4:00 a.m., makes a scheduled stop in Morogoro at 6:00 a.m. to allow passenger trains to pass, and is expected to arrive in Dodoma at 2:05 p.m.

Mwanjala stated that TRC intends to gradually increase the number of trains and wagons in the near future to meet growing cargo demands.

The Corporation welcomes businesses, institutions, and all stakeholders in the transport sector to take advantage of this modern, fast, and secure service to move their goods,” he said.

The statement noted that the launch of freight services follows the successful rollout of SGR passenger trains, which began operations on June 24, 2024. As of June 2025, more than 2.5 million travelers have used the passenger service.

TRC emphasizes that this transition to cargo transport marks a new chapter in maximizing the full potential of the SGR and contributing meaningfully to national economic development.


👉 Stay tuned to our blog for more updates on infrastructure, transportation, and economic opportunities shaping Tanzania’s future!

TRC YAANZA USAFIRISHAJI MIZIGO KUPITIA SGR – HATUA MPYA KATIKA MABADILIKO SEKTA YA USAFIRISHAJI

DAR ES SALAAM - 27 JUNI 2025

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limezindua rasmi huduma ya kusafirisha mizigo kupitia reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR), hatua inayochochea mageuzi makubwa katika sekta ya usafirishaji nchini.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Alhamisi na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa TRC, Fredy Mwanjala, huduma hiyo inaanza kwa treni moja ya mizigo kwa siku. 

Treni hiyo yenye jumla ya mabehewa 10 imebeba mizigo mbalimbali ya takribani Tani 700.

Katika ratiba yake, treni hiyo itaondoka Kituo cha Pugu saa 10:00 alfajiri, na kusimama Morogoro saa 12:00 asubuhi kwa ajili ya kupisha treni za abiria, kabla ya kuwasili Dodoma saa 8:05 mchana.

Mwanjala alieleza kuwa TRC inapanga kuongeza idadi ya treni na mabehewa kwa awamu kadri mahitaji yanavyoongezeka ili kukidhi ongezeko la mizigo.

Shirika linawakaribisha wafanyabiashara, taasisi na wadau wote wa sekta ya usafirishaji kutumia fursa hii ya kisasa, ya haraka na yenye usalama wa hali ya juu kwa ajili ya kuhamisha bidhaa zao,” alisema Mwanjala.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa uzinduzi wa huduma ya mizigo umekuja baada ya mafanikio makubwa ya huduma ya treni za abiria. Tangu kuanzishwa kwake tarehe 24 Juni 2024, zaidi ya wasafiri milioni 2.5 wametumia huduma hiyo hadi kufikia Juni 2025.

Kwa TRC, kuanza kwa usafirishaji wa mizigo ni hatua muhimu inayofungua ukurasa mpya wa matumizi ya SGR katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa.


👉 Endelea kufuatilia blogu yetu kwa taarifa zaidi kuhusu maendeleo ya miundombinu, usafiri na fursa za kiuchumi nchini Tanzania!

Thursday, 26 June 2025

SBL YAKABIDHI MRADI WA MAJI KWA WAKAZI 14,000 WA KWADELO, WILAYA YA KONDOA, MKOANI DODOMA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Mheshimiwa Dkt. Ashatu Kijaji (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi wa Maji wa Kwadelo, uliofadhiliwa na Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kama sehemu ya mchango wake kusaidia serikali kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama nchini. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Dkt. Obinna Anyalebechi, na kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kondoa, Saudi Ndwata, wakishiriki tukio hilo lililofanyika tarehe 26 Juni 2025 katika Kata ya Kwadelo, Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Mheshimiwa Dkt. Ashatu Kijaji (kulia), akimkabidhi ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Kwadelo kama ishara ya kukabidhi rasmi Mradi wa Maji uliofadhiliwa na Kampuni ya Serengeti Breweries Limited.

Dodoma, 26 Juni 2025 - Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na shirika la Africa Community Advancement Initiative (Africai), imezindua rasmi Mradi wa Maji wa Kwadelo katika Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma – hatua inayoendeleza dhamira ya kampuni hiyo katika kuchochea maendeleo endelevu kupitia upatikanaji wa maji safi na salama vijijini.

Uzinduzi huo ulifanyika Juni 26, 2025, na kuhudhuriwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, aliyekuwa mgeni rasmi katika tukio hilo.

Mradi huo umegharimu kiasi cha shilingi milioni 292 na unatarajiwa kunufaisha zaidi ya wakazi 14,750 wa Kata ya Kwadelo. Utekelezaji wake umehusisha:

  • Ufungaji wa pampu ya kisasa ya maji (submersible pump)
  • Ujenzi wa nyumba ya mashine
  • Tanki la kuhifadhi maji la saruji
  • Mtandao wa mabomba ya kusambaza maji
  • Vituo 11 vya kuchotea maji vyenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya lita 107,000 za maji kwa siku

“Maji ni uhai. Mradi huu unaakisi imani yetu ya dhati kuwa upatikanaji endelevu wa maji ni msingi wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi,” alisema Obinna Anyalebechi, Mkurugenzi Mtendaji wa SBL.

TANZANIA HOSTS ARSO 2025 AS TBS AND SICPA UNVEIL INNOVATIVE STANDARDISATION SOLUTIONS

ZANZIBAR, 26 JUNE 2025 – Tanzania has taken centre stage in continental standardisation efforts as it hosts the 72nd General Assembly and Council Meetings of the African Organisation for Standardisation (ARSO), being held from 23rd to 28th June 2025 in Zanzibar.

The high-profile event, coordinated by the Tanzania Bureau of Standards (TBS) in collaboration with the Zanzibar Bureau of Standards (ZBS), brings together policymakers, industry leaders, regulators, and innovators from across Africa to shape the future of standardisation, trade facilitation, and consumer protection across the continent.

Partnering for Progress: TBS and SICPA Tanzania

As part of its commitment to strengthening industrial development and promoting regulatory excellence, TBS has invited strategic stakeholders—including SICPA Tanzania, a key technology and security solutions partner—to join the platform. The aim: to spotlight Tanzania’s efforts in tax revenue protection, trade facilitation, and quality assurance.

SICPA Tanzania, a fully Tanzanian-operated company with over 150 local employees, has played a vital role in advancing standardisation and compliance through its digital traceability and authentication systems. The company supports TBS via the Fuel Integrity Solution, which helps ensure fuel quality, reduce fraud, and secure vital tax revenues.

Additionally, in partnership with the Tanzania Revenue Authority (TRA), SICPA implements the Electronic Tax Stamp (ETS) system—an innovation designed to enhance tax collection, curb illicit trade, and promote fair market competition.

Elevating Standards Through Innovation

“Our partnership with TBS at ARSO 2025 reflects our shared mission to modernise compliance and traceability infrastructure in Tanzania and across Africa,” said Mr. Alfred Mapunda, Managing Director of SICPA Tanzania. “We are honoured to showcase our solutions to African standardisation bodies, and to support Tanzanian authorities in achieving their ambitious goals in securing tax systems and empowering consumers.”

BENKI YA NBC YAKABIDHI KOMBE LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA YANGA SC

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani (kulia), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw. Theobald Sabi (kushoto), wakimkabidhi kikombe cha ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya NBC (NBC Premier League) kwa nahodha wa Yanga SC, Bakari Mwamnyeto (katikati), baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa msimu wa 2024/2025. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, mara baada ya mchezo wa mwisho wa ligi baina ya Yanga SC na Simba SC, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2–0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi.
Wachezaji na viongozi wa klabu ya Yanga SC wakifurahia pamoja na kombe lao baada ya kukabidhiwa na kutangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya NBC (NBC Premier League) kwa msimu wa 2024/2025. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Bw. Theobald Sabi (wa tatu kulia), na Rais wa Klabu ya Yanga, Mhandisi Hersi Said (wa tatu kushoto), wakiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wengine pamoja na wachezaji wa timu hiyo wakati wa hafla ya makabidhiano ya kombe.

DAR ES SALAAM, Juni 26, 2025 – Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara (NBC Premier League), imekabidhi rasmi kombe la ubingwa kwa klabu ya Yanga SC baada ya kuibuka kidedea kwa msimu wa 2024/2025. Hafla hiyo muhimu ilifanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ikiambatana na mechi ya mwisho ya msimu dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Simba SC.

Katika mtanange huo maarufu kama ‘Kariakoo Derby’, Yanga SC iliibuka na ushindi wa mabao 2-0, na hivyo kutawazwa mabingwa rasmi wa ligi hiyo. Tukio la kukabidhi kombe lilihudhuriwa na maelfu ya mashabiki pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athuman Nyamlani, na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bw. Theobald Sabi.

NBC Yajizatiti Kuendeleza Maendeleo ya Soka

Akizungumza katika hafla hiyo, Bw. Sabi alieleza kuwa NBC inajivunia kuwa sehemu ya mafanikio ya Ligi Kuu ya Tanzania kupitia udhamini wake wa kudumu, akiongeza kuwa benki hiyo ina dhamira ya kuwekeza zaidi kwenye maendeleo ya wachezaji na ustawi wa mchezo huo.

Tangu tuanze kudhamini Ligi Kuu ya NBC, tumeshuhudia ushindani mkubwa na wa kuvutia. Ushindani huu si tu umepandisha kiwango cha mchezo, bali pia umetuletea burudani ya hali ya juu,” alisema Sabi.

Wednesday, 25 June 2025

TIB DEVELOPMENT BANK SECURES 30BN/- SOFT LOAN TO BOOST SME FINANCING IN TANZANIA

BY OUR CORRESPONDENT – DAR ES SALAAM
25 June 2025

In a major stride to support small and medium enterprises (SMEs), TIB Development Bank has secured a TZS 30 billion soft loan from the East African Development Bank (EADB). The financing facility is aimed at expanding access to affordable capital for SMEs, with repayment periods of up to 15 years.

TIB, the largest development finance institution (DFI) in the country, said the loan will allow SMEs to borrow from TZS 200 million upwards, with priority given to businesses in high-impact sectors including agro-processing, manufacturing, extractives, energy, ICT, tourism, education, and healthcare.

ENABLING GROWTH THROUGH CAPITAL ACCESS

Speaking at the signing ceremony, TIB’s Acting Director of Planning and Business Development, Mr Joseph Chilambo, emphasized the importance of providing adequate capital to enable SMEs to scale effectively.

“We believe that providing SMEs with substantial seed capital will enable them to execute their innovative projects more effectively than giving them small amounts,” Mr Chilambo said.

He noted that the bank's long-term goal is to help transform informal enterprises into fully formalized businesses, strengthening the broader economic ecosystem.

“The ultimate goal is to see more informal businesses across the country transition into the formal sector,” he added.