| Meneja wa Mkondo wa chini wa gesi asilia PanAfrican Energy Tanzania (PAET), Mhandisi. Sabas Oisso (kushoto) akiwa na Meneja Mkazi wa TAQA Dalbit nchini, Amr AbouShady (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Primefuels Africa, Nikesh Mehta wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha kujaza gesi asilia cha TAQA Dalbit jijini Dar es Salaam, Gesi inayosambazwa na PAET kutoka visima vya Songo Songo, ambao wamekuwa wakisambaza CNG kwenye viwanda na kwa matumizi ya magari tangu 2009. |
No comments:
Post a Comment