| Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne shule ya sekondari ya Sangu, Bi. Witness Charles Mwambelo, yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao. |
No comments:
Post a Comment