| Mtoa huduma katika kituo cha mfumo wa m-mama kilichozinduliwa jijini Dar es Salaam, akielezea namna mfumo wa m-mama unavyofanya kazi baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Saadi Mtambule. Utekelezaji wa huduma ya m-mama unafanywa kwa ushirikiano na Vodacom Tanzania Foundation, USAID, Touch Foundation, na Pathfinder katika kuiunga mkono serikali kurahisisha upatikanaji wa usafiri wa dharura kwa wajawazito ili kuokoa vifo vya akina mama na watoto wachanga, kwa sasa huduma hii inapatikana katika mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment