Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 31 March 2022

VODACOM NA WWF WAADHIMISHA WASAA WA MAZINGIRA

Vodacom Tanzania Foundation imeshirikiana na WWF kuadhimisha wasaa wa mazingira (Earth Hour ) kwa kupanda miti wilayani Kisarawe.

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jaffo (katikati) akiwa kwenye zoezi la upandaji miti katika kampeni ya Wasaa wa Mazingira (Earth Hour) yenye lengo la kuhamasisha upandaji miti ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Kampeni hiyo ilifanyika Wilayani Kisarawe, taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo ni mdau wa mazingira wameshirikiana na WWF katika kupanda na kusimamia miti Wilayani humo. Wa kwanza kushoto ni Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald.




No comments:

Post a Comment