| Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha (kushoto) wakati wa hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu iliyofanyika jana Jijini Dodoma. Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo. |
No comments:
Post a Comment