| Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya simu mteja wa Vodacom Abutwalib Mtua alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu, kuangalia namna watoa huduma wanavyowalinda wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo. Wengine kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia na Mkuu wa Idara ya Uhusiano, Jacqueline Materu. |
No comments:
Post a Comment