Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 29 April 2020

USIKOSE TAMTHILIA YA NYAVU KUTOKA DStv TAREHE 4 MAY



Akili isiyoshughulika ni karakana ya shetani. Hii imeonekana katika kisa cha Tamthilia ya kusisimua NYAVU, ambapo ndani yake utakutana na mrembo FIFI anayejikuta akianzisha mahusiano na kijana STON maarufu ‘SHAFI’, ambapo baadae FIFI anagundua ukweli uliokuwa umejificha juu ya maisha ya STON, ikiwa ni kufahamu kuwa ameoa na anaishi na wazazi wake. Haitoshi mama yake STON anashirikiana na rafiki yake kuendesha Danguro...... Hii si ya kukosa! Tukutane tarehe 4 May 2020 ndani ya @maishamagicbongo 160 ndani ya @dstvtanzania.

#TupoNawe

No comments:

Post a Comment