Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 29 April 2020

DIGITAL FINANCE: ANOTHER METHOD TO HELP SLOW THE SPREAD OF COVID-19

Since the outbreak of COVID-19, people across the country have taken steps to tackle the virus and slow the number of infections.

From closing schools, shutting hotels, and banning mass gatherings including the country’s Independence Day, efforts are being made to keep people safe and healthy.

Meanwhile, Tanzania is increasingly turning towards digital finance as another method to help slow the spread of COVID-19. One example is the use of mobile money to make payments, therefore removing the need to make physical transactions.

Within the past few years, mobile money has been an important way for people to manage their finances. Mobile money has emerged as a reliable and popular way of transferring money, with 2019 seeing the number of mobile money users increase by over 2 million compared to the year before, with nearly 23 million users.

Following The World Health Organisation’s recommendation that people turn to cashless transactions, mobile money has become an increasingly important way for people to carry out their day to day lives while helping to slow the spread of the virus.

ECOBANK GROUP ENTERS CROSS-BORDER REMITTANCE PARTNERSHIP WITH ALIPAY TO BRING MORE INCLUSIVE FINANCIAL SERVICES TO USERS

Alipay users to benefit from Ecobank’s cross-border remittance solution

Lomé, 28th April 2020 – The leading pan-African bank, Ecobank, has signed a cross-border remittance agreement with Alipay, the world’s leading payment and lifestyle platform, that aims to bring more inclusive financial services by providing a fast, safe, affordable and convenient way for workers to transfer money back home.

The partnership will facilitate instant transfers from Rapidtransfer, Ecobank’s remittance solution, to users of Alipay, which serves more than 1.2 billion people globally together with its local e- wallet partners. This provides an additional channel option which will increase options available to users, help lower transaction costs and enhance the quality of service in the market.

Nana ABBAN, Group Consumer Banking Head said: “Our panafrican cross-border remittance solution, Rapidtransfer, has over the years been delivering transparent, convenient, and affordable services to the African diaspora and their African-based dependants. So, it is a natural extension for us to use it to deliver the same advantages to migrant workers across Africa. Through our partnership with Alipay we are further leveraging the scale and capacity of our unified payments ecosystem on the global stage.”


USIKOSE TAMTHILIA YA NYAVU KUTOKA DStv TAREHE 4 MAY



Akili isiyoshughulika ni karakana ya shetani. Hii imeonekana katika kisa cha Tamthilia ya kusisimua NYAVU, ambapo ndani yake utakutana na mrembo FIFI anayejikuta akianzisha mahusiano na kijana STON maarufu ‘SHAFI’, ambapo baadae FIFI anagundua ukweli uliokuwa umejificha juu ya maisha ya STON, ikiwa ni kufahamu kuwa ameoa na anaishi na wazazi wake. Haitoshi mama yake STON anashirikiana na rafiki yake kuendesha Danguro...... Hii si ya kukosa! Tukutane tarehe 4 May 2020 ndani ya @maishamagicbongo 160 ndani ya @dstvtanzania.

#TupoNawe

Tuesday, 28 April 2020

KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA YAKINGA WATEJA WAKE WAENDAPO KUPATA HUDUMA VODASHOP

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya simu mteja wa Vodacom Abutwalib Mtua alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu, kuangalia namna watoa huduma wanavyowalinda wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo. Wengine kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia na Mkuu wa Idara ya Uhusiano, Jacqueline Materu.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya Power Bank mteja wa Vodacom, Naseeb Shaban alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu kuangalia namna watoa huduma wanavyowalinda wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Uhusiano, Jacqueline Materu.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akipimwa joto na Askari wa ulinzi wa Duka la Vodacom, Masafa Hamad Muba. Hii ni namna mojawapo ya kampuni hiyo inavyowalinda wateja wake katika kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya Power Bank mteja wa Vodacom, Ruth Samuel Mkuchu alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu kuangalia namna watoa huduma wanavyowalinda wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo.

SHUHUDIA WWE SMACKDOWN LIVE KUPITIA DStv USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI SAA 9 ALFAJIRI


Katika kusherehekea miaka 25 ya mastaa wa WWE, tunakuletea WWE Smackdown Live usiku wa kuamkia Jumamosi saa 9 alfajiri na marudio saa 9 Jumamosi kupitia SS4 ndani ya kifurushi cha Family.

Kupitia ofa ya Tupo Nawe Mteja wa kifurushi cha Bomba TShs. 19,000 lipia sasa kifurushi chako na @dstvtanzania itakupandisha kwenda kifurushi cha Family kwa mwezi mzima bila malipo ya ziada na ushuhudie Live tukio hili la kihstoria.

#ThereForYou

GEITA GOLD MINING LIMITED STEPS UP INTERVENTIONS TO FIGHT COVID-19


Geita Gold Mining Limited Managing Director, Richard Jordinson.


An official from Geita Town Council testing the public hand washing facilities donated by Geita Gold Mine.


Geita Gold Mining Limited (GGML) has rolled out a series of interventions and campaigns across its site and in the surrounding communities in the effort to stop the spread of COVID-19.

GGML has committed a total of TZS 1.6 billion to support the Government of Tanzania's efforts to curtail the spread of the virus and is working to ensure that all measures taken by GGML are aligned with the guidance issued by the Government of Tanzania.

GGML’s Acting Managing Director, Wayne Louw analyses from that fund GGML will donate about TZS 1.1 billion to national level interventions through the Covid-19 Emergency Fund set up under the Prime Minister’s Office.

He said the remaining TZS 500 million will be used to support regional and community interventions in Geita, including the provision of key medical supplies and equipment such as PPE, ventilators and oxygen masks.

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATOA MSAADA WA VITAKASA MIKONO KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia) akipokea sehemu ya lita 1,250 za vitakasa mikono kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), John Wanyancha (kushoto) ikiwa ni mchango wa Kampuni hiyo katika kupambana na ugonjwa wa homa ya mapafu maarufu kama COVID-19.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongea muda mfupi baada ya kupokea msaasa wa lita 1,250 za vitakasa mikono uliotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) ikiwa ni mchango wa Kampuni hiyo katika kupambana na ungonjwa wa homa ya mapafu maarufu kama COVID-19.
Mkurungenzi wa Mahusinao kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), John Wanyancha (kushoto) akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi lita 1,250 za vitakasa mikono ikiwa ni mchango wa Kampuni hiyo katika kupambana na ugonjwa wa homa ya mapafu au COVID-19. Kulia ni Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeunga mkono mapambano dhidi ya ugonjwa hatari wa homa ya mapafu maarufu kama COVID-19 kwa kutoa msaada wa lita 1,250 za vitasa mikono. Msaada huo umekabidhiwa kwa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

“Tunaamini msaada huu utawasaidia watakaoutumia kuwa salama dhidi ya virusi hatari vinavyosababisha ugonjwa wa homa ya mapafu au COVID-19,” alisema Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa kampuni hiyo, John Wanyancha.

Hii ni mara pili kampuni ya SBL inaiunga mkono Serikali katika Mapambano dhidi ya COVID-19. Wiki mbili zilizopita, SBL ilishirikiana na Wizara ya Afya kusambaza vipeperushi vyenye kutoa elimu ya kujikinga na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa homa ya mapafu katika sehemu mbali mbali nchini na kuvikabidhi kwa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya mbali mbali.

Monday, 27 April 2020

BENKI YA CRDB YAWAHAMASISHA WATEJA KUTUMIA MIFUMO YA KIDIJITALI KUPITIA KAMPENI YA POPOTE INATIKI

Meneja Mwandamizi wa Masoko Benki ya CRDB, Joe Bendera (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Msanii Harmonize (katikati) wakati wa uzinduzi na kampeni ya “POPOTE INATIKI” inayolenga kuwahamasisha wateja kutumia mifumo ya kidijitali kufanya miamala yao ya kifedha. Uzinduzi huo ulienda sambamba na kumtambulisha msanii Harmonize kama balozi mpya wa Benki ya CRDB. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB na uongozi wa msanii Harmonize.

Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu ya mifumo ya kidijitali kwa wateja wake ijulikanayo kama ‘POPOTE INATIKI’, inayolenga katika kuwaelimisha wateja na watanzania kwa ujumla juu ya matumizi ya mifumo hiyo katika upatikanaji wa huduma za benki popote pale walipo masaa 24.

Akizungumza juu ya kampeni hiyo ambayo ilizinduliwa alhamisi iliyopita huku ikienda sambamba na kumtambulisha msanii ‘Harmonize’ kama balozi wa Benki ya CRDB, Afisa Biashara Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Joseph Witts amesema hadi kufikia mwezi machi mwaka huu 2020 zaidi ya asilimia 80 ya miamala inayofanywa na wateja wa benki hiyo inafanywa kwa njia za kidijitali kupitia mifumo ya SimBanking, SimAccount, Internet Banking, CRDB Wakala na TemboCard kupitia vifaaa vya manunuzi (PoS) na mtandaoni (e-commerce).

“Mwaka jana 2019, tumefanikiwa kuboresha mifumo hii yote ya utoaji huduma kidijitali kwa kiasi kikubwa sana hii ikiwa ni pamoja na kuongeza baadhi ya huduma katika mifumo hii, hivyo basi tumeona ni vyema tukajikita pia katika kutoa elimu kwa wateja,” alisema Dkt. Witts.

Dkt. Witts alisema Benki ya CRDB kupitia mkakati wake wa biashara wa 2018-2022 umejikita zaidi katika kuleta mabadiliko ya kidijitali ilikuendana na mahitaji ya wateja ambayo yamekuwa yakibadilika kila uchwao.

“Kupitia mifumo hii ya kidijitali hamlazimu mteja kufika katika tawi ili kupata huduma, popote pale Ulipo, uwe mjini, kijijini, nyumbani au mtaani, ndani ya nchi au nje ya nchi, muda wa kazi au muda ambao sio wa kazi, masaa 24 tunakuwezesha kufanya miamala yako ya kwa uharaka, unafuu na usalama, na ndio maana tunasema ‘POPOTE INATIKI’,” alisema Dkt. Witts.

Friday, 24 April 2020

MFAHAMU KIUNDANI MILLARD AYO KUPITIA KIPINDI CHA MAISHA YANGU NDANI YA DStv JUMAPILI HII SAA 1 USIKU


Jina lake ni maarufu sana kutokana na kazi anazozifanya, Millard Ayo, kijana shupavu na muandishi wa habari za uhakika, aliyepitia mikasa mingi hadi kufikia katika barabara iliyomfikisha katika kufanikisha ndoto yake.

Je ungependa kujua ni yapi aliyoyapitia?

Usikose kutazama kipindi cha Maisha Yangu Jumapili hii saa 1 usiku kupitia chaneli ya @maishamagicbongo 160 ndani ya DStv Kupitia kifurushi cha Bomba TShs. 19,000 tu.

Wednesday, 22 April 2020

TAASISI YA VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 300 KWA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ILI KUPAMBANA NA UGONJWA WA COVID-19

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akipunga mkono kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (hayupo pichani) wakati akikabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilizotolewa na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation jana ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo, ambapo walifanya makabidhiano kwa njia ya mtandao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Shaaban Seif Mohammed wanaonekana kwenye Skrini wakiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia wakati Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation walipokabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar jana ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika kwa njia ya mtandao.


MFAHAMU ASLAY KWA UNDANI KATIKA HOMA LIVE KUPITIA DStv IJUMAA HII SAA 3 USIKU


Kipaji chake kilianza kuonekana akiwa mdogo sana, akiwa miongoni mwa waimbaji wa kundi lililokuwa likiitwa Ya Moto Band. Hapa namzunguzia Aslay.

Balaa lake unalielewa akiwa stejini, basi Ijumaa hii atakiwasha Live kupitia Homa ndani ya chaneli @tvetanzania Kupitia DStv namba 295.

DStv YAENDELEA KUWAZAWADIA WATEJA WAKE. YAJA NA KAMPENI KABAMBE YA ‘DStv TUPO NAWE’


Katika kipindi hiki kigumu ambapo watu wengi wanashauriwa kubaki nyumbani, DStv imeamua kuwazawadia wateja wake maudhui mengi zaidi kwa kuwapandisha daraja punde wanapolipia vifurushi vyao.  

Katika kampeni hiyo ijulikanayo kama ‘Tupo Nawe’ ambayo imeanza rasmi Jumatatu April 20, 2020, wateja wote wa DStv wa kifurushi cha Bomba hadi kile cha Compact plus watapata zawadi ya kupandishwa kifurushi cha juu zaidi punde watakapolipia vifurushi vyao kwani ofa hii ni kwa wateja waliolipia na watakaolipia. 

Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania, Jacqueline Woiso amesema hii ni njia mojawapo ya kuwashukuru wateja wote kwa uaminifu wao na kuendelea kutumia DStv. “Nyakati zote tumekuwa tukiangalia namna bora ya kuwahakikishia wateja wetu huduma bora na maudhui bora na mengi na hii ni njia mojawapo ya kuwatunuku wateja wetu. Tungependa wateja wetu kipindi hiki wasikose burudani, habari na elimu na ndiyo sababu tumeongeza maudhui mbalimbali katika vifurushi vyetu” alisema Jacqueline.

Saturday, 18 April 2020

TAASISI YA VODACOM TANZANIA FOUNDATION YACHANGIA SHILINGI BILIONI 2 KUSAIDIA JUHUDI ZA SERIKALI KUPAMBANA NA COVID-19

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 jana kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu (wa nne toka kulia), ili kusaidia juhudi za Serikali katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo (wa tatu kulia), Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn Mworia (wa pili kushoto) na Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom, Alex Bitekeye.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 jana kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (wa tatu kushoto). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn Mworia (wa pili kushoto) na Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom, Alex Bitekeye (kushoto).




COVID-19 IS CHANGING HOW BUSINESSES OPERATE

In the weeks since Africa recorded its first cases of COVID-19, business activity on and around the continent has been significantly affected in many ways.

In recent years, Tanzania has embarked upon an ambitious industrialization drive, with the goal of transforming the country into a semi-industrial, middle-income country by 2025. The country has worked to build a national economy, with a diverse range of industries and businesses.

The outbreak of the COVID-19 in Tanzania, however, is prompting businesses across multiple sectors to overcome a set of new challenges. In March, many of the country’s hotels announced that they were to temporarily suspend operations.

Meanwhile, the government has also announced plans to postpone the country’s May Day celebrations, as well as other indoor and outdoor mass gatherings, adding that people should remain indoors where possible.

Friday, 17 April 2020

TANZANIA’S PRIVATE SECTOR HAS TAKEN AN ACTIVE ROLE IN THE FIGHT AGAINST COVID-19

In recent days there has been much news on how various measures have been taken to stop the spread of COVID-19.

This week, the Government has announced plans to build a new medical facility in Dar es Salaam, designed to help treat COVID-19 and other illnesses. The project, which is expected to be finished in six months, is likely to provide medical support for people in Dar Dar es Salaam and surrounding areas.

Meanwhile, it is also encouraging to see countries from across the region come together to create a plan to help ensure the uninterrupted supply of goods and services. For example, the Southern Africa Development Community has recently pledged measures for ports to continue transporting goods across the region, including countries that do not have access to the sea.

Wednesday, 15 April 2020

LILE PINDI LA KITAALAM, PINDI LA BURUDANI NA MATUKIO #HOMATVE IJUMAA HII LINAKULETEA @OFFICIALALIKIBA


Lile pindi la kitaalam, pindi la burudani na matukio #HomaTVE Ijumaa hii linakuletea @officialalikiba.

Atapiga muziki Live, atapiga stori zote unazotaka kusikia kutoka kwake, huku @sseboefm akifikisha maswali yako. Na baadae tukio la kushtukiza litatokea 🔥🔥🔥

Hakika Hii si ya kukosa, ni Ijumaa hii ndani ya @tvetanzania Kupitia DStv chaneli namba 295.

Thursday, 9 April 2020

AFRICAN DEVELOPMENT BANK GROUP UNVEILS $10 BILLION RESPONSE FACILITY TO CURB COVID-19

The Facility is the latest measure taken by the Bank to respond to the pandemic and will be the institution's primary channel for its efforts to address the crisis

ABIDJAN, Ivory Coast, April 8, 2020/ -- The African Development Bank Group (www.AfDB.org) on Wednesday announced the creation of the COVID-19 Response Facility to assist regional member countries in fighting the pandemic.

The Facility is the latest measure taken by the Bank to respond to the pandemic and will be the institution's primary channel for its efforts to address the crisis. It provides up to $10 billion to governments and the private sector.

Akinwumi Adesina, President of the African Development Bank Group, said the package took into account the fiscal challenges that many African countries are facing.

"Africa is facing enormous fiscal challenges to respond to the coronavirus pandemic effectively. The African Development Bank Group is deploying its full weight of emergency response support to assist Africa at this critical time. We must protect lives. This Facility will help African countries to fast-track their efforts to contain the rapid spread of COVID-19," Adesina said, commending the Board of Directors for its unwavering support.

HIVI NDIVYO BENKI YA NMB INAVYO WAJALI NA KUWALINDA WAFANYAKAZI NA WATEJA WAKE DHIDI YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA


Benki ya NMB katika kuunga juhudi za Serikali kutokomeza ugonjwa wa COVID-19, imehakikisha kwamba wafanyakazi na wateja wake wanakaa katika mazingira salama.


EMOTEC YABUNI MFUMO WA KAMERA WENYE UWEZO WA KUMTAMBUA MTU MWENYE HOMA KALI

Bw. Moses Hella, Mkurugenzi wa kampuni ya Emotec Limited, inayojishughulisha na mifumo mbali mbali ya kiteknolojia ya kibunifu, akielezea mfumo mpya wa kamera unaoweza mtambua mtu mwenye homa kali kwa muda mfupi, hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mfumo huo umelenga katika kuisaidia serikali kwenye janga la Covid19.
Na Mwandishi Wetu
Kampuni inayoshughulika na masuala ya teknolojia iliyoanzishwa na Watanzania 'EMOTEC', imebuni mfumo wenye uwezo wa kumtambua mtu mwenye homa kali, ndani ya muda mfupi.

Homa kali ni miongoni mwa dalili za mtu aliyeathirika na Ugonjwa wa COVID-19, unaosababishwa na Virusi vya Corona.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa teknolojia hiyo, tarehe 7 Aprili 2020 jijini Dar es Salaam, Moses Hella, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, amesema mfumo huo unafanya kazi pindi unapowekwa katika kamera.

Hella amesema kamera yenye mfumo huo, ina uwezo wa kutambua watu wengi wenye homa kali, ndani ya muda mfupi. Ambapo hutambua joto la mtu mmoja, ndani ya sekunde chache.

Tuesday, 7 April 2020

PATA KUJUA ALIYOYAPITIA GETRUDE MONGELLA KWA KUTAZAMA MARUDIO YA KIPINDI CHA MAISHA YANGU LEO JUMANNE SAA 4 USIKU NDANI YA DSTV TANZANIA


Jifunze mengi huku ukipata kujua aliyoyapitia Getrude Ibengwa Mongella, mwanamke wa Shoka, Mama wa nguvu, Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Afrika.

Kwa kutazama marudio ya kipindi cha Maisha Yangu siku ya Jumanne saa 4 usiku kupitia @maishamagicbongo 160 ndani ya @dstvtanzania.

Wednesday, 1 April 2020

PATA BURUDANI KUPITIA ULIMWENGU WA KIMICHEZO SUPERSPORT RELIVE KWENYE DSTV PEKEE


Ni wiki nyingine tena bila Ligi, lakini kupitia DStv Supersport Relive inakupa kuangazia matukio pamoja na makala za kimichezo.

Ambayo wiki hii kupitia SS7 utapata nafasi ya kuangazia marudio ya mechi kali za kimataifa, SerieA pamoja na mechi zilizowahi kuweka historia katika Ligi kuu ya Uingereza #PL.

Na kama wewe ni mpenzi wa WWE ndani SS9 wiki hii utapata kutazama show kali ikiwemo Royal Rumble, Table For 3, WWE Ride along, yote haya ni kupitia kifurushi cha Bomba.


Burudani yote Hii ni kupitia ulimwengu wa kimichezo Supersport Relive kwenye DStv pekee.