Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday 31 March 2020

BENKI YA DCB YAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA CORONA

Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Mazingira wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khalid Massa (wa pili kushoto), akitakasa mikono yake katika moja ya vifaa 100 vya kutakasia mikono vyenye thamani ya zaidi ya shs milioni 30 vilivyotolewa na Benki ya Biashara ya DCB vitakavyowekwa katika vituo mbalimbali vya daladala na mwendokasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa hatari wa homa ya mapafu wa Corona (Covid-19). Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za wizara jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa. Wa tatu kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi.
Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi (katikati), akitakasa mikono yake katika moja ya vifaa 100 vya kutakasia mikono vyenye thamani ya zaidi ya shs milioni 30 vilivyotolewa na Benki ya Biashara ya DCB vitakavyowekwa katika vituo mbalimbali vya daladala na mwendokasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa hatari wa homa ya mapafu wa Corona (Covid-19). Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za wizara jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Mazingira wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khalid Massa. 
Mfamasia wa Wizara ya Afya, Neema Nagu (katikati), akitakasa mikono yake katika moja ya vifaa 100 vya kutakasia mikono vyenye thamani ya zaidi ya shs milioni 30 vilivyotolewa na Benki ya Biashara ya DCB vitakavyowekwa katika vituo mbalimbali vya daladala na mwendokasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa hatari wa homa ya mapafu wa Corona (Covid-19). Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za wizara jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Mazingira wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khalid Massa.
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa (kushoto), akiweka kitakasa mikono katika chupa katika hafla ambayo DCB ilikabidi vifaa vifaa 100 vya kutakasia mikono vyenye thamani ya zaidi ya shs milioni 30 vilivyotolewa na Benki ya Biashara ya DCB vitakavyowekwa katika vituo mbalimbali vya daladala na mwendokasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa hatari wa homa ya mapafu wa Corona (Covid-19). Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za wizara jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Mazingira wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khalid Massa na Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Masasi.
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa (wa tatu kushoto), akikabidhi baadhi ya vitakasa 100 nyenye thamani ya zaidi ya shs milioni 30 vilivyotolewa na benki hiyo vitakavyowekwa katika vituo mbalimbali vya daladala na mwendokasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa hatari wa homa ya mapafu wa Corona (Covid-19). Vifaa hivyo vilipokelewa katika ofisi za Wizara ya Afya jijini Dar es Salaam hivi karibuni na Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Mazingira wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khalid Massa (wa tatu kulia), Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Masasi (wan ne kulia) pamoja na maofisa wengine.

No comments:

Post a Comment