Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 29 July 2019

BENKI YA EXIM YASHIRIKI BONANZA LA TANZANIA ON TWITTER (TOT BONANZA) KWA KUHAMASISHA UCHANGIAJI WA DAMU

Meneja Masoko na Mahusiano ya jamii wa Benki ya Exim, Bw Abdulrahman Nkondo akichangia damu wakati wa Bonanza la kijamii linalofahamika kama Tanzania On Twitter (TOT Bonanza) lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anaemuhudumia ni Afisa Mwandamizi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) Bw Peter Chami.
Afisa Uhamasishaji kutoka Mpango wa Taifa wa damu Salama - Kanda ya Mashariki Bi Fatuma Mjungu (Kushoto) akimuhudumia mmoja wa washiriki wa Bonanza la kijamii linalofahamika kama Tanzania On Twitter (TOT Bonanza) Bi Irene Lyimo aliejitokeza kuchangia damu wakati wa Bonanza hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment