Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Wednesday, 22 May 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MAENDELEO WA SWEDEN MHE PETER ERIKKSON IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Mei 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia picha ya kuchorwa Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mhe. Peter Erikkson, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo wa Sweden na ujumbe wake pamoja na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje wa baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Andres Sjoberg.
Ikulu Blog

No comments:

Post a Comment