Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 28 July 2015

KAMPUNI YA TIGO YAZINDUA MINARA MKOANI GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa (aliyevaa suti) akikata utepe kuzindua mnara mpya wa mtandao wa Tigo katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani Mbogwe Mkoani Geita.
Wakazi wa Kijiji cha Ilolangulu Wilayani Mbogwe Mkoani Geita, wakimsikilza Mkuu wa Mkoa huo Fatma Mwassa, wakati wa uzinduzi wa mnara mpya wa mtandao wa Tigo.
Meneja Masoko wa Tigo kanda ya Ziwa, Ali Mashauri (kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa, alipofika kuzindua mnara mpya katika Kijiji cha Ilolangulu Wilayani Mbogwe.

No comments:

Post a Comment