Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Sunday, 12 July 2015

BENKI YA FNB YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Wateja wa Benki ya First National Bank (FNB), wakichukua chakula cha kufuturu walichoandaliwa na benki hiyo kwaajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan jijini Dar es Salaam.
Wateja wa Benki ya FNB wakifuturu chakuala kilichoandaliwa na benki hiyo kwajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani jiji ni Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa wateja wakubwa wa Benki ya FNB, Khalifa Zidadu akizungumza na wateja wa kiislam wa benki hiyo wakati wa hafla ya kufuturisha wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Maamur uliopo Upanga Dar es Salaam, Issa Othuman Issa, akaitoa neno la Shukurani kwa viongozi wa Benki ya FNB, (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kula futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Benki ya FNB, Dave Aitken (kushoto), akizungumza na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya kula futari jijini Dar es Salaam.





No comments:

Post a Comment