Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Thursday, 26 February 2015

BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB) YAUNGANISHA MATAWI YAKE NA MKONGO WA TAIFA

Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (kushoto) akipokea hati ya mradi wa mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) toka kwa Ofisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Senzige Kisenge (kulia). Mradi huo umeunganisha matawi ya benki ya TPB kimawasiliano ya kisasa.
Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (wa pili kulia) akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 maeneo mbalimmbali nchini.
Mtatuzi wa Masuala ya Kiufundi, Fredrick Bernard akifafanua jambo wakati wa hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 maeneo mbalimmbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika jana Makao Makuu ya TPB Dar es Salaam.
Baadhi ya Maofisa wa TTCL wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 ya benki hiyo maeneo mbalimmbali nchini.
Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (kushoto) pamoja na Ofisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Senzige Kisenge wakipongezana kwenye hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 ya benki hiyo maeneo mbalimmbali nchini.
Picha ya pamoja ya maofisa wa TPB na TTCL walioshiriki katika hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 ya benki hiyo maeneo mbalimmbali nchini.
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imedhamiria kuunganisha matawi yake yote katika mfumo wa kisasa wa mawasiliano kupitia mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) ili kuberesha huduma na mawasiliano katika huduma zake.

Taarifa hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa alipokuwa akizungumza katika makabidhiano ya mradi mpya wa benki hiyo uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 maeneo mbalimmbali nchini.

WORLD BANK APPROVES NEW FINANCING FOR MORE AFFORDABLE HOUSING IN TANZANIA AS ITS CITIES EXPAND


WASHINGTON D.C. February 24, 2015 – The World Bank Group’s Board of Executive Directors today approved $60 million in new financing from the highly-concessional International Development Association (IDA)* to help Tanzania develop a viable mortgage finance market for affordable housing. The new financing will build on the achievements of the ongoing 2010 Housing Finance Project (HFP) and brings the total IDA investment in the project to $100 million.

The HFP has overseen the establishment of the Tanzania Mortgage Refinancing Company (TMRC) which is playing a key role in developing the mortgage market. The Company provides long term financing to mortgage lenders which has encouraged an increasing number of banks to offer mortgages. Improved access to financing has also contributed to the growing supply of affordable housing coming onto the market.

The project, which is being implemented by the Bank of Tanzania, is also delivering a comprehensive capacity building program on the mortgage market targeting service providers, financial intermediaries, market professionals, policy makers, regulators, government authorities, the judiciary and the general public.

“Tanzania's rapid urbanization in recent years has underscored the urgency to improve access to finance for affordable housing,” says Philippe Dongier, World Bank Country Director for Tanzania, Burundi and Uganda. “Developing mortgage markets will make it possible for ordinary families (including those that have low incomes) to invest in their own housing as opposed to renting or building slowly over many years as and when they set aside some savings. The mortgage market will go a long way in addressing the constraints to accessing housing credit which many working urban residents face, and it will further expand the construction industry and associated jobs.”

PUSH MOBILE, UMOJA WA MATAIFA (UN), WIZARA KUKABILI EBOLA

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Push Mobile, Freddie Manento (kushoto) wakitiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kukabiliana na ugonjwa wa ebola kwa kutoa elimu kwa jamii kupitia ujumbe mfupi maneno katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za Mratibu mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa jijini Dar. Anayeshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dkt. Jama Gulaid. 
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Push Mobile, Freddie Manento wakionyesha hati za makubaliano ya ushirikiano huo.
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Push Mobile, Freddie Manento kwa pamoja wakionyesha ujumbe mfupi wa maneno unaotoa elimu ya ugonjwa wa ebola kwa baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari (hawapo pichani) waliohudhuria hafla hiyo.
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dkt. Jama Gulaid akimshukuru Ofisa Mtendaji Mkuu wa Push Mobile, Freddie Manento (kushoto) mara baada ya hafla fupi ya kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano huo. Kulia ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akishuhudia tukio hilo. (Picha na Umoja wa Mataifa).
KAMPUNI ya simu ya Push Mobile imetiliana saini na serikali ya Tanzania na Umoja wa Mataifa (UN) ya kuwafikia watu milioni 10 ikiwahabarisha kuhusu ugonjwa hatari wa ebola.

Kwa mujibu wa taarifa ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa mjini hapa kampuni hiyo ya simu imesema kupitia ushirikiano huo kampuni hiyo ya simu itaunga mkono juhudi za serikali ya Tanzania na Umoja wa Mataifa wa kutoa elimu dhidi ya ugonjwa huo ujumbe mfupi utakaoelezea ugonjwa wa ebola.


Wednesday, 25 February 2015

NORTON ROSE FULBRIGHT EXPANDS ITS FOOTPRINT IN AFRICA THROUGH STRATEGIC ALLIANCES IN EAST AFRICA AND ZIMBABWE

Peter Martyr, global chief executive,
Norton Rose Fulbright.
Global legal practice Norton Rose Fulbright continues to expand its footprint in Africa by agreeing strategic alliances with leading law firms Shonubi Musoke & Co Advocates in Uganda, and Gill, Godlonton & Gerrans in Zimbabwe.

Shonubi Musoke & Co Advocates is one of Uganda’s top tier law firms with offices in Kampala, Uganda, and with an association in Bujumbura, Burundi. Gill, Godlonton & Gerrans is one of Zimbabwe’s largest law firms and is based in Harare. The firms will collaborate on selected client matters to provide seamless legal support to clients, particularly in the areas of energy and infrastructure. The 
Rob Otty, managing director, Norton Rose
Fulbright in South Africa.
alliances will see Norton Rose Fulbright significantly extend its current African coverage, which comprises offices in Dar es Salaam, Johannesburg, Cape Town, Durban and Casablanca, into East Africa and Zimbabwe.

Rob Otty, managing director of Norton Rose Fulbright in South Africa, commented:


“Our alliance with Gill, Godlonton & Gerrans and Shonubi Musoke & Co Advocates reflects the strategic importance of Africa to our global business. Gill, Godlonton & Gerrans and Shonubi Musoke & Co Advocates bring an unparalleled breadth of experience in their respective countries, which will now be available to our clients.”

Peter Martyr, global chief executive, Norton Rose Fulbright, commented:

“Africa is a key hub for our clients, and expanding across the region is of great importance to us. We see immediate opportunities in Africa in particular across energy and infrastructure, mining and commodities. Investment into other sectors is also gaining pace, particularly in financial institutions, technology and agriculture.

PRESIDENT YOWERI MUSEVENI COMMISSIONS THE KAMPALA NORTHERN BYPASS UPGRADE

"At the ground breaking ceremony of Kampala Northern bypass upgrade, on Monday. I thank the EU for the great work done.

We are going to also work on the road from Kireka-Namugongo especially for pilgrims traveling to the Martyrs shrine.


I have been commissioning roads all over the country, most are funded by the Government. Our budget is getting bigger." - Yoweri Kaguta Museveni, President of Uganda.




VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutia saini makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na kampuni yake kupitia huduma ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa. Anayeshuhudia kulia ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutia saini makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na kampuni yake kupitia huduma ya Tigopesa na Vodacom kupitia huduma yake ya M-Pesa. Anaeshuhudia kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (kushoto, aliyekaa) na Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kulia, aliyekaa), wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni yao kupitia huduma ya M-Pesa na Tigopesa. Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Vodacom Tanzania, Ngayama Matongo na kulia ni Meneja wa Chapa ya Tigo, William Mpinga.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza (wa pili toka kushoto) na Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, wakibadilishana nakala za mkataba wa makubaliano ya kutoa huduma za kutuma na kupokea fedha na miamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni yao kupitia huduma ya M-Pesa na Tigopesa, wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Vodacom Tanzania, Ngayama Matongo na kulia ni Meneja wa Chapa ya Tigo, William Mpinga.
Huduma za kutuma na kupokea fedha na kufanya mihamala mbalimbali ya malipo zinazotolewa na makampuni ya Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-Pesa na Tigo kupitia huduma yake ya Tigopesa zitazidi kuimarika kutokana na makampuni hayo kuingia makubaliano ya kutoa huduma hizo kwa ushirikiano.Ushirikiano huo utawawezesha wateja wa makampuni hayo kutuma na kupokea fedha na kufanya mihamala ya malipo moja kwa moja.

Makubaliano hayo ambayo yametangazwa leo yatawawezesha mamilioni ya wateja wanaotumia huduma za M-Pesa na Tigopesa kupata huduma kwa ubora zaidi kwa kuwa mteja akipokea au kutaka kutuma pesa au kufanya malipo hatolazimika kutoa fedha kwenye mtandao mmoja kwenda mwingine kama ilivyo sasa bali atafanya akitakacho moja kwa moja na bila kutozwa malipo ya ziada.

BENKI YA NMB YATOA MSAADA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA NA SHULE YA MSINGI MWANAKWEREKWE, ZANZIBAR

Benki ya NMB imetoa msaada wa zaidi ya madawati 50 kwa ajili ya kusaidia Shule ya Msingi ya Mwanakwerekwe na vitanda vya wagonjwa kwa ajili ya hospitali ya Mnazi Mmoja, misaada yote ikiwa na thamani ya Shilingi Milioni 10.

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas akikabidhi vitanda vya kujifungulia wakina mama wajawazito kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Asha Ali Abdalla kwaajili ya hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas alisema msaada huo ni mwitikio wa NMB kusaidiana na wananchi pamoja na serikali katika kutatua changamoto za elimu na afya nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Asha Ali Abdalla alipokea vifaa vya hospitali kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein na kuishukuru Benki ya NMB kwa kuwa mstari wa mbele katika kutatua changamoto mbalimbali kwenye sekta ya elimu na afya.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas akiwaelekeza jambo wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanakwerekwe baada ya Benki ya NMB kukabidhi msaada wa madawati 50.
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas, akikabidhi madawati kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanakwerekwe.

Millardayo.com

SIMU ZA OBI MOBILES ZAINGIA TANZANIA

Simu ya Obi aina ya S550-Crane.
MWANZILISHI mwenza wa kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya mawasiliano ya Obi Mobiles, yenye makao makuu yake Singapore, John Sculley amesema ujio wa kampuni hiyo nchini Tanzania, utaongeza wigo wa utumiaji wa tehama na hasa matumizi ya zana za kisasa za mawasiliano.

Obi Mobile inatumia teknolojia iliyobuniwa mjini Toronto, Canada na kampuni ya Inflexionpoint.

John Sculley, ambaye alishawahi kuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Apple amesema teknolojia hiyo mpya ambayo ilizinduliwa India na Mashariki ya Kati mwaka 2014 imelenga kuwanufaisha vijana ambao ndio watumiaji wa kubwa wa simu za kisasa.

Amesema kwa kuingiza bidhaa za Obi nchini Tanzania wanatarajia kuwawezesha vijana kuwa na simu ambazo zinawatumikia wao kwa maarifa na umaridadi zaidi.
S550-Hornbill.
“Simu hizi zimepokewa vyema zilikozinduliwa na tunararajia Tanzania nazo watazipokea kwa kasi hiyo hiyo” alisema Sculley.

Kwa mujibu wa ofisa huyo, simu za Mobile nchini Tanzania zinauzwa kati ya sh 50,000 na bei ya juu ni 350,000.

Alizitaja aina hizo za simu kuwa ni Hornbill S551; Falcon S451; Crane S550; Wolverine S501; Fox S453 ; Racoon S401 na Power GO F240 simu ambayo ina betri yenye uwezo wa 2,800mAH na yenye uwezo wa kuchaji simu nyingine.

Amesema watu wa Obi Mobiles wanaamini kwamba teknolojia ni kwa ajili ya watu wote na ndio maana mauzo ya teknolojia zao ni rahisi kwa ajili ya watu wote.

Alisema kwa kuwa na vifaa vya teknolojia ya Obi, vijana watakuwa na nafasi ya kutumia fursa zilizopo za kiuchumi na kijamii.

S453-Fox
Sculley amesema kwa muono wake teknolojia haitakiwi kuwa ngumu kuitumia wala kutengeneza changamoto kwa watumiaji wake kwa kuiwekea vikwazo.

Teknolojia za Obi Mobile zinazotumia mfumo wa Android ni za daraja la juu na kamba simu zote za Obi zilizoingizwa nchini zina uwezo wa kuwa na intaneti.

Kampuni hiyo inatarajia kuzindua simu hizo nchini Tanzania mwezi ujao .

Akizungumzia mkakati wa kampuni hiyo kwa bara la Afrika , Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobile MENA, Amit Rupchandani: “Walaji wengi wanataka kujiondoa katika simu za kawaida kwenda katika simu za kisasa. Hata hivyo,gharama za uwekezaji katika teknolojia ya kisasa ni kikwazo kikubwa kwa watu wengi.”

Obi Mobiles, wamesema kwamba kwa kuelewa hilo, wamewezesha kuwa na simu zenye uwezo mkubwa na kwa bei nafuu ili kufikia kila kundi katika bara la Afrika.

Simu hizi ambazo vijana watazipenda zimeelezwa kutengenezwa kumudu maisha yao na kuwapendezesha.

TANZANIA'S EXPORTS TO INDIA INCREASE BY 70PC

Dar es Salaam. Tanzania’s exports to India increased by about 70 per cent last year as the two countries amplify efforts to boost their bilateral trade relations, it was revealed on Monday.

Tanzania exported goods worth $1.3 billion (Sh2 trillion) to the world’s tenth-largest economy – by nominal gross domestic product – last year from $752.2 (Sh1.2 trillion) exported the previous year, the Indian High Commissioner said in Dar es Salaam.

“This is the first time that Tanzania’s exports have shown an impressive growth,” Mr Debnath Shaw as he addressed a high level business delegation from Federation of Gujarat Industries, Vodadara and Gurarat.

The growth, according to the Indian diplomat, stems from efforts such as organising seminars, exhibitions and business visits between governments and members of the private sector from the two countries.

TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY’S DIRECTIVE TO MOBILE OPERATORS

Dar es Salaam. Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has directed mobile service providers to adhere to the law when reviewing their tariffs following a recent change of bundles that concerned the public.

The regulator also asked the operators to file the tariffs with it before they become effective but all the directives seems to be for future use as it did not clearly state any irregularity.

When The Citizen called TCRA to clarify whether the directives mean that the mobile operators had broken the law or should revert to the old tariffs, the agency’s spokesperson Mr Innocent Mungy said the recently changed tariffs were under promotion and that the operators did not violate any regulation.

JOMO KENYATTA INTERNATIONAL AIRPORT CONSTRUCTION CONTRACT UNDER INVESTIGATION

The new terminal at Jomo Kenyatta International Airport,
whose modern passenger terminal construction contract,
according to new evidence, was varied by more than Sh9
billion.
Nairobi, Monday. New evidence has emerged of how the contract for the construction of a modern passenger terminal at Jomo Kenyatta International Airport was varied by more than Sh9 billion.

The revelation comes a few days after the Kenya Airports Authority (KAA) sent home four top managers, including Managing Director Lucy Mbugua, to pave the way for investigations into alleged corruption at the region’s largest airport.

The contract, signed in 2013 between the authority and Chinese firm Anhui Construction Engineering Group Ltd, was a variation of the original contract signed in 2011, with the introduction of a new inflated provision for Sh9.5 billion

The first contract signed in December 2011 between KAA and the company was for an agreed sum of Sh59.4 billion.

AGA KHAN UNIVERSITY TO INVEST $1BN IN EAST AFRICA

The Chancellor of the Aga Khan University (AKU), His Highness the Aga Khan, confers a master’s degree in education on Ms Mwanapili Mwinyi Kambi at the 2015 AKU convocation in Dar es Salaam yesterday.
Dar es Salaam. The Aga Khan University has announced a $1 billion (Sh1.8 trillion) investment in education in East Africa. At the same time, the Aga Khan – the spiritual leader of Shia Ismaili Muslims – yesterday said Africa must move rapidly to establish and reinforce a healthy civil society to help improve quality of life.

The investment, to be released over 15 years, will see new campuses and graduate schools in the region, with $700 million coming to Tanzania. Speaking at the university’s graduation ceremony in Dar es Salaam, the Aga Khan said both the developed and the developing worlds need quality civil society organisations to manage the future. Vibrant and ethical civil society organisations are critical if the quality of human life across the world is to be improved, he added.

RASILIMALI ZAWEZA KUNUFAISHA SEKTA YA UWEKEZAJI NCHINI - MARK OTTY

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EY, Bw. Mark Otty, amesema Tanzania ina rasilimali nyingi ambazo zinahitaji watu kuwekeza, hasa katika sekta ya miundombinu, kilimo, huduma za Kifedha, mawasiliano, madini pamoja na gesi asilia.

Otty ameyasema hayo jana wakati wa alipokutana na waandishi wa habari kwenye ofisi ya kampuni hiyo hapa nchini, yenye makao yake makuu nchini Uingereza. Amesema kutokana na rasilimali zilizopo zitavuta uwekezaji na uchumi wa nchi unaweza kukua.

Mkurugenzi huyo amesema kazi kubwa ya kampuni hiyo ni ushauri wa uchumi, biashara pamoja na ukaguzi kwa sekta za serikali na sekata binafsi.

Amesema katika ziara yake nchini ni pamoja na kukutana na Rais Jakaya Kikwete na kujadili masuala mbalimbali likiwemo la ujio wake nchini na jinsi kampuni yake na serikali wanavyoshirikiana katika shughuli mbalimbali za biashara.

Kwa upande wa Meneja Mkazi wa Kampuni ya EY, Bw. Joseph Sheffu amesema kuna maeneo mengi wameayatafiti na kuona kuna fursa ya uwekezaji kutokana na taratibu bora zilizopo nchini katika sekta ya uwekezaji.

Bw. Sheffu amesema kampuni hiyo ina wahasibu, wataalam wa kodi pamoja na wakaguzi ambao wameweza kupata ujuzi katika mataifa mbalimbali hivyo huduma inayotolewa na taasisi hiyo imekuwa ni bora.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EY, Mark Otty akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) alipokutana nao Februari 24, 2015 kwenye ofisi za kampuni hiyo, jijini Dar es salaam.
Meneja Mkazi wa Kampuni ya EY, Bw. Joseph Sheffu (kushoto) akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati walipokutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EY, Bw. Mark Otty (kulia) kuzungumzia ujio wake hapa nchini. (Picha na Othman Michuzi).

Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

JK APOKEA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE ZA SEKONDARI VILIVYOCHAPISHWA KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani. Wa kwanza kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine wakiangalia jinsi somo la sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiwa na vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
KWA PICHA ZAIDI, BOFYA HAPA

JK GRANTS CHARTER TO AGA KHAN VARSITY

President Jakaya Kikwete holds talks with His Highness the Aga Khan at State House on Monday before the Head of State granted a charter to the Aga Khan University.
Dar es Salaam. President Jakaya Kikwete on Monday granted a charter to the Aga Khan University, making it the first foreign-based institution to get the document.

President Kikwete handed the certificate to His Highness the Aga Khan at a ceremony at State House.

The Head of State said the government of Tanzania had for many years enjoyed a cordial relationship with the Aga Khan Foundation (AKF), which runs the university and other Aga Khan projects in the country.

Tuesday, 24 February 2015

REGULATION CAN ONLY HAVE A LIMITED IMPACT ON FINANCIAL INCLUSION

Emmanuel Tumusiime-Mutebile, Governor the Bank of Uganda.
The problem with a regulatory approach to the promotion of financial inclusion is that regulations cannot force financial institutions to provide customers with services when it is not profitable for them to do so.
The main cause of financial exclusion is the difficulty in serving the financially excluded in a commercially viable manner, since the costs of providing such services are high, especially in rural areas, whereas the income that can be generated from the poor is low.
Consequently financial exclusion can only be reduced through innovations that lower the cost of providing services or which can create new services that are both wanted by and affordable to the poor.
In a market economy, the institutions best placed to generate these innovations are in the private sector — institutions that have the incentive and expertise to do so.

UGANDA SECURITIES EXCHANGE GETS NEW CHIEF EXECUTIVE

After more than a year of sourcing, the governing council of the Uganda Securities Exchange (USE) has appointed Mr Paul Bwiso as the new Chief Executive Officer (CEO).
Mr Bwiso, who admits his love for reading and playing basketball, is not new to the USE.
For the last six years, he has been the general manager, Dyer and Blair Investment Bank of Uganda, a member of the USE. He was also a member of the USE governing council.
“My plan is to correct the way we have been doing things,” Mr Bwiso told Daily Monitor in an interview.

SAFARICOM SHARES AT ALL-TIME HIGH AS NAIROBI SECURITIES EXCHANGE SOARS TOWARD 5500 (KENYA)

The Nairobi Securities Exchange indicative 20-Share index edged closer to the 5,500 mark buoyed by price rally of blue chips.
The index gained 27.7 points in Thursday’s trading to close at 5473.8 as telecommunication giant Safaricom touched an all-time high and beer maker East African Breweries Limited (EABL) traded at the highest price in the last one year.
“On sustained foreign investor demand, EABL touched a new 52-week high of Sh355. Also keeping up with the momentum, Safaricom touched an all-time high of Sh15.30 mainly buoyed by local investor demand,” said Standard Investment Bank.
The two counters are the largest with Safaricom valued at Sh607 billion and EABL at Sh276 billion.

SOUTH SUDAN, SOMALIA TO WAIT LONGER TO JOIN EAST AFRICAN COMMUNITY

Somalia and South Sudan will have to wait longer to join the East African Community (EAC).
According to a communiqué after the 16th EAC Heads of State Summit that ended in Nairobi Friday, the earliest the two states can be admitted to the regional bloc is next year.
South Sudan’s bid to join the EAC has stumbled in the wake of the civil war that broke out pitting forces loyal to vice president Dr Riek Machar against those supporting President Salva Kiir Mayardit.

NIGERIA, CHINA TRADE TRANSACTION HITS $191 BILLION

The Consul-General of the People’s Republic of China in Lagos, Mr Liu Kan, says the volume of trade between Nigeria and China in 2014 was about N38.01 trillion ($18.1 billion).
Liu said on Wednesday in Lagos that there was relative increase in the exchange of goods and services in the year over the 2013 transactions.
“Today, Nigeria is China’s third major export destination in Africa after South Africa and Angola, while China is Nigeria’s largest source of imports and third major trade partner. According to China Customs, the trade volume between China and Nigeria in 2014 rose to about 18.1 billion dollars which is an increase over our 2013 transaction

POWERING EAST AFRICA


25-27th March 2015
Nairobi, Kenya
The Powering East Africa meeting will take place at the Windsor Golf and Country Club, Nairobi, Kenya on 25-27th March 2015.
Powering East Africa will welcome ministers from Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Ethiopia and Zambia as well as the leading utility and regulatory companies from the region to focus on what is needed to unlock investment in transmission for regional growth and development. Efficient transmission of power will allow governments in Africa to effectively utilise the power currently generated and deliver on election promises to bring electricity to rural and urban areas. This meeting will unite international financiers, donor organisations, power developers and regional governments in a closed meeting to examine what crucial first steps must be taken to solving the transmission crisis.
To be added to the mailing list for this meeting, please email amy.offord@energynet.co.uk

11 MW POWER FACILITY COMMISSIONED IN NORTHERN MOZAMBIQUE

Aggreko, in partnership with Electricidade de Moçambique (EDM), the state power utility have successfully commissioned 11 MW of generation capacity in the port city of Nacala, northern Mozambique. This facility will be further increased by 7 MW in the coming weeks, bringing the total capacity of the plant to 18 MW.
With consistent annual GDP growth of more than 7% and a rapidly expanding industrial sector, power demands across Mozambique are increasing exponentially. In its role as the national power utility and system operator in Mozambique, EDM are working to bring high quality electricity throughout the country by increasing generation capacity and further developing transmission and distribution networks.
The strain on power supplies in northern Mozambique has been increased due to recent seasonal flooding that has caused disruption to power networks in a number of Northern provinces. The additional generation capacity from the Aggreko plant comes on-line at a critical time, helping ensure power supplies are maintained to essential services in Nampula province.

KENYA EIGTH LARGEST GEOTHERMAL POWER PRODUCER IN THE WORLD, STUDY SAYS

Olkaria IV Geothermal Power Plant.
A new study presented to World Bank by KenGen has revealed that Kenya is the eighth largest geothermal energy producer in the world; this is after the completion of the additional 280MW to the national grid in Olkaria.
The energy production has so far come with several benefits to Kenyans as it has contributed to lowering the cost of doing business by displacing thermal power and has added to Kenya’s green energy initiatives.

EGYPT TO OFFER SOLAR POWER PROJECTS AT EEDC

A solar power plant.
Egypt will increase its solar power capacity from 4.3GW to 8GW in the next ten years, in a bid to meet the energy needs of the country.
This was announced by the investment minister Ashraf Salman, who said that the additional capacity of electricity will be generated through solar power. “…We anticipate that 4.3GW of that need will be generated by solar power,” the minister added.
The government expects to start signing photovoltaic project deals during the Egypt Economic and Development Conference which will be held in March this year. ““Significant contracts for investment in solar and coal power stations will be made available at the EEDC and we think it highly likely that they will be signed at the conference,” the minister added.

US$145M APPROVED FOR TANZANIA-KENYA POWER LINE PROJECT

Power line construction.
African Development Bank (AfDB) has approved the US$ 145m outstanding loan to Kenya to pave way for construction of the 508 km Tanzania-Kenya power line project.
AFDB said in a statement that the funds will see through construction of 508 km transmission line and substations, which will help transmit 2,000MW of electricity between Kenya and Tanzania (about 93 km in Kenya and 415 km in Tanzania).
The 508-km and 400-kilovolt (kV) power line is anticipated to enhance regional power connections between the two countries and boost access to cheap power, as well as spur industrial production.

GHANA TO RECEIVE POWER GENERATING SHIPS THIS MARCH

A power generating ship.
Karpowership Ghana Company, a subsidiary of Turkish Karadeniz Energy Group will deliver two temporal power generating vessels/stations to Ghana on March this year to help boost the country’s electricity needs. This will be in follow-up to an agreement signed last year June between Electricity Company of Ghana (ECG) and the company.
The ship-floating power stations project is under the finance of Karpower, which is an independent power producer. Previously the company had signed a 10 year power purchase agreement with the Electricity Company of Ghana (ECG).

SOUTH AFRICA: THE REGENCY LUXURY APARTMENT DEVELOPMENT LAUNCHED IN MENLYN

The Regency's exterior rendering.
The City of Tshwane has undergone immense growth in recent years, spurred on by growing investor confidence in the area, as well as by considerable investment in infrastructure projects by the local government, says Executive Mayor of the City of Tshwane Metropolitan Municipality, Mr Kgosientso David Ramokgopa.
Commenting on The Regency, a luxury residential high-rise that is being developed in Menlyn and marketed by Pam Golding Properties, the Mayor notes that the positive growth in the city and its local economy is serving to further enhance the city’s status as South Africa’s capital.