Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 25 February 2015

JK APOKEA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE ZA SEKONDARI VILIVYOCHAPISHWA KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani. Wa kwanza kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine wakiangalia jinsi somo la sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiwa na vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani.
KWA PICHA ZAIDI, BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment