Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Wednesday, 17 April 2019

BENKI YA CRDB, UBA WAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA MAJI WA RUFIJI


BENKI ya CRDB kwa kushirikiana na Benki ya UBA (Tanzania) zimedhamini utekelezaji wa mradi wa umeme wa maji wa Rufiji (Rufiji Hydro Power Project) unaotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ikiwa ni mkakati wakusaidia juhudi za Serikali kukamilisha mradi huo.

Akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amesema kuwa Benki ya CRDB ikiwa benki ya kizalendo imeamua kuungana na jitihada za Serikali kufanikisha miradi mbalimbali, na sasa wametilia mkazo katika mradi huo muhimu unaolenga kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme nchini.

Kwa upande wa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Mwinyimvua Hamisi alisema, dhamana hizo zilizokabidhiwa ni muhimu sana katika kuhakikisha kwamba utekelzaaji wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji wa mto Rufiji unaanza bila kuchelewa na kuhakikisha kwamba ratiba iliyokubaliwa baina ya serikali na mkandarasi itatekelezwa kwa mujibu wa mkataba.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Shaaban alisema “Jambo hili la uwekaji wa dhamana ni muhimu sana kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huu kwani ni mradi wenye gharama kubwa kiasi cha shilingi za kitanzania trilioni 6.6 kwa hivyo ni mradi unaogharimu fedha nyingi katika historia ya nchi yetu katika miaka ya hivi karibuni.” Alisema Bi. Amina.

Kwa upande wake Naibu Gavana wa BoT, Dkt. Benard Kibese alisema, kazi kubwa ya BoT katika utekelezaji wa mradi ni kuweka mazingira mazuri ili kuhakikisha ushiriki wa taasisi za fedha za hapa nchini unakuwa mkubwa.

Mwisho kabisa Mkuurgenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Dkt. Tito Mwinuka aliishukuru serikali ya awamu ya tano chini wa uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwezesha hatua hiyo kufikiwa kwani mradi huo bila pesa kulipwa mkandarasi hawezi kufanya kazi yake ipasavyo. Dkt. Mwinuka alisema hatua ya leo inawezesha pesa kulipwa kwa mkandarasi pale zitakapohitajika au pale ambapo mkandarasi anastahili kulipwa kwa hivyo kuanzia sasa utekelezaji wa mradi huu hautakuwa na kikwazo chochote katika ulipaji wa pesa.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akiwa na Mkurugenzi Mtedanji wa benki hiyo, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kushoto) wakimkabidhi hati za dhamana Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Dkt. Tito Mwinuka (wa nne kulia), katika hafla fupi, iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam. Walioshuhudia ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Mwinyimvua H. Hamisi, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi.Amina Shaaban, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Bernard Kibese, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles E. Kichere na Balozi wa Misri hapa nchini Mhe. Mohammed Gabel Abulwafa. Wakandarasi wanaotekeleza mradi huo wanatoka nchini Misri.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Mwinyimvua Hamisi akizungumzia umuhimu wa utekelezaji wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji wa mto Rufiji, unaotekelezwa na Serikali ya awamu ya tano kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika hafla hiyo, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla hiyo, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Balozi wa Misri nchini Tanzania, Mohamed Gabel Abulwafa akizungumza katika hafla hiyo, iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.

MINISTERS MOVE TO MTUMBA GOVERNMENT CITY, DODOMA

Minister of State in the President's Office, Regional Administration and Local Government, Selemani Jafo shows off his office building, which remains under construction in Mtumba City yesterday. President John Magufuli last week ordered all Ministers to relocate to their offices in the Government City effective this week. Mr. Jafo and his team were also ordered to move to their incomplete building, one of its kind and will have the capacity to accommodate over 100 employees, with two conference rooms. 
Dodoma - Ministers, their Deputies, Permanent Secretaries and other employees have relocated to their new offices at Mtumba Government City in Dodoma, barely four days after President John Magufuli's directive.

The President equally inaugurated his new offices at Chamwino State House, 41 houses of State House employees, which can accommodate up to 160 employees as well as 20 new buildings of the government ministries at Mtumba Government City.

Read More >>

WATEJA WA TIGO MIKOA YA MBEYA NA IRINGA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI (GePG)

Mkuu wa Mauzo wa Tigo kwa mikoa ya Mbeya na Rukwa, Ladislaus Karlo (wa kwanza kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi wa Mfumo wa Kielekroniki wa Malipo Serikalini (GePG) kwa mkoa wa Mbeya namna mteja anavyoweza kutumia simu yake kufanya malipo. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Malipo ya Biashara kwa Tigo Pesa wa Tigo, Dennis Sakia na anayefuatia ni Afisa Uhusiano Msaidizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa mazingira Mbeya, Kadri Makongwa.
Afisa Uhusiano Msaidizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa mazingira Mbeya, Kadri Makongwa (kati kati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Kielekroniki wa Malipo Serikalini (GePG) kwa mkoa wa Mbeya. Kulia ni Meneja wa Malipo ya Biashara kwa Tigo Pesa wa Tigo Dennis Sakia na kushoto ni . Mkuu wa Mauzo wa Tigo kwa mikoa ya Mbeya na Rukwa Ladislaus Karlo.
Waandishi wa habari wakimskiliza Mkuu wa Mauzo wa Tigo kwa mikoa ya Mbeya na Rukwa Ladislaus Karlo (wa kwanza kushoto) wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Kielekroniki wa Malipo Serikalini (GePG) jijini Mbeya. Wa kwanza kulia ni . Meneja wa Malipo ya Biashara kwa Tigo Pesa wa Tigo Dennis Sakia na anayefuatia ni Afisa Uhusiano Msaidizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya, Kadri Makongwa.
Fanya malipo ya haraka, urahisi na kwa usalama kwa zaidi ya idara 300 za Serikali, mawakala na mamlaka mbali mbali kupitia Tigo Pesa
Wateja wa Kampuni ya Tigo wa mikoa ya Mbeya na Iringa sasa wanaweza kufanya malipo kutumia mfumo wa Kielektroniki wa Malipo Serikalini (GePG) baada ya kampuni hiyo kuongeza malipo ya Serikalini kwenye App yake ya Tigo Pesa.

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mbeya (WSSA) Afisa Uhusiano Msaidizi wa WSSA Mbeya Kadri Makongwa, alisema mfumo wa GePG umerahisisha upatikanaji wa ankara na kufanya malipo kwa wananchi na kuongeza kuwa umeleta faida nyingi ikiwa ni pamoja na kuboresha uwekaji wa kumbukumbu, utoaji wa taarifa, kupunguza ubadhirifu na kuongeza mapato kwa idara mbali mbali na taasisi za Serikali

“Mfumo wa GePG, pia imeongeza wigo wa upatikanaji wa huduma kwa wananchi na kuongeza fursa za biashara kwa kampuni zinazotoa huduma za malipo kama Tigo. Wananchi wanaweza kupokea ankara zao moja kwa moja kutoka ofisi na mashirika ya Serikali ikiwa ni pamoja na za kutoka(WSSA)

KITOMARI BLOG 5TH ANNIVERSARY - TUESDAY, 9 APRIL 2019

Exactly 5 years ago, Kitomari Banking & Finance Blog was born. A big thank you to all our Clients, who have been supporting us, a big thank you to our dedicated readers all over the world and a big thank you 'in advance' to all our future Clients. Appreciation also goes to our regulator, Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), for the continuous guidance and support.


Tuesday, 16 April 2019

VACANCY ANNOUNCEMENT AT AGA KHAN FOUNDATION - COUNTRY DIRECTOR, TANZANIA

TANZANIA REVENUE AUTHORITY COLLECTS 12TRI/-, MISSES THREE-QUARTER TARGET BY 1.6TRI/-


Tanzania Revenue Authority (TRA) collected 11.96tri/- in the 2018/19 fiscal year's three-quarter period, missing the nine-month target by a whooping 1.6tri/-

The revenue collection agency envisages collecting 18.1tri/- by the end of this financial year on June 30, 2019.

Read More >>

CRDB, UBA BANK GIVE 1.7TRI/- LOAN, RESOURCE MOBILISATION FOR STIEGLER'S PROJECT

CRDB Bank Board Chairperson, Ally Laay (fifth left), hands over a bank guarantee contract to TANESCO Managing Director, Dr. Tito Mwinuka in Dar es Salaam yesterday. CRDB and United Bank for Africa (Tanzania) have partnered in the historic financial syndication of 1.7tri/-. Third left is CRDB Bank Managing Director, Abdulmajid Nsekela, Egyptian Ambassador to Tanzania, Mohammed Gabel Abulwafa (seventh left), UBA (Tanzania) Managing Director, Unman Isiaka (third right) and Permanent Secretary in the Ministry of Energy, Hamisi Mwinyimvua.
The project will employ between 6,000 and 8,000 Tanzanians but wills start with 1,000 people next month and increase the number progressively.

Read More >>

TANZANIA MORTGAGE MARKET UPDATE AS AT 31 DEC. 2018

TANZANIA BANKERS ASSOCIATION NEWSLETTER - MAR. 2019

Monday, 15 April 2019

WORLD BANK CONFIDENT OF TMRC TO SPEND 25BN/- IN MORTGAGE FINANCE BY JUNE

COURT CONVICTS VODACOM TANZANIA CEO, ACCOMPLICES OF ECONOMIC SABOTAGE


Vodacom Tanzania Managing Director, Hisham Hendi (pictured) and his eight accomplices were last week convicted of economic sabotage and sentenced to seven years imprisonment or payment of over 6bn/- fine.

The 6bn/- fine includes the 5.8bn/- loss that the government and Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) suffered and 120m/- as total fine for each of the seven counts the the accused faced.

Read More >>

CAREER OPPORTUNITIES AT JOHARI ROTANA, DAR ES SALAAM




BANK OF TANZANIA, IFC LAUNCH CAMPAIGN ON CREDIT REPORTING, FINANCIAL LITERACY

Bank of Tanzania (BOT) in collaboration with the International Finance Corporation (IFC), have launched a public awareness programme for Tanzanians aiming to increase the understanding and awareness of credit reporting and access to credit.

The public awareness campaign "Get your Credit Report today and check your Financial Health to plan a better tomorrow" is supported by various players across the financial sector, who have pledged their commitment to spread the awareness message of why access to credit is important and how people can live a better life by having access to their credit reports and history.

Read More >>

CRDB BANK BULLISH ABOUT 2019 PROSPECTS

CRDB Bank CEO, Abdulmajid Nsekela, announces the bank's financial performance for 2018 at a press conference in Dar es Salaam over the weekend. The bank recorded an impressive increase in profit by 77% to 64.1bn/- up from 36.2bn/- recorded in 2017.
CRDB Bank is bullish about 2019 prospects after posting a 77 per cent rise in net profit last year.

CEO, Abdulmajid Nsekela said they were optimistic that they would improve on the results of last year when they posted a net profit of 64.1bn/- up from 36.2bn/- in 2017.

Read More >>

UNILEVER EYES CHEMICOTEX SHARES


Unilever Tanzania has expressed interest to acquire shares of one of the country's fast moving consumer goods companies - ChemiCotex Industries Limited, widely known for its "Whitedent" toothpaste brand.

The company, a subsidiary of British-Dutch consumer goods conglomerate, Unilever, announced in a public notice last week through its Managing Director, David Minja that it was in preparations to notify the Fair Competition Committee (FCC) of its intention to acquire ChemiCotex Industries Limited's shares.

Read More >>

Saturday, 13 April 2019

FRENCH AMBASSADOR TO TANZANIA HOSTS MEMBERS OF THE MEDIA TO A RECEPTION AT HIS RESIDENCE IN DAR ES SALAAM

French Ambassador to Tanzania, His Excellency Ambassador Frédéric Clavier welcomes members of the Media to a reception at his residence in Dar es Salaam on Thursday.
French Ambassador to Tanzania, His Excellency Ambassador Frédéric Clavier addresses members of the Media to a reception at his residence in Dar es Salaam on Thursday.

French Ambassador to Tanzania, His Excellency Ambassador Frédéric Clavier addresses members of the Media to a reception at his residence in Dar es Salaam on Thursday. Behind him are staff of the French Embassy.
Economic Attache' of the French Embassy to Tanzania, Mashaka Ntobela (right), Director of Agence Francaise De Development, Stephanie Mouen (centre) and Arden Kitomari (left) from Kitomari Banking & Finance Blog at the reception. 
French Embassy to Tanzania Consul and Head of Administration, Carole Bouvier-Loisel (right), Press Officer at the French Embassy, Iku Kasege (centre) and Arden Kitomari (right) from Kitomari Banking & Finance Blog at the reception.
French Embassy to Tanzania Consul and Head of Administration, Carole Bouvier-Loisel (right), Mwananchi Communications Executive Editor, Bakari Machumu (centre) and Arden Kitomari (right) from Kitomari Banking & Finance Blog at the reception.
French Ambassador to Tanzania, His Excellency Ambassador Frédéric Clavier (right) and Arden Kitomari from Kitomari Banking & Finance Blog at the reception.
Speech of the French Ambassador to Tanzania, His Excellency Ambassador Frédéric Clavier, when he hosted members of the Media to a reception at his residence in Dar es Salaam on Thursday.

***************************************************************************************************

Dear Friends from the Media,

Distinguished guests,

Ladies and Gentlemen

I would like to express my sincere appreciation to you all for finding time to be with us to day. It is both an honour and a pleasure for me to welcome you to the French Residence this evening.

Looking at all of you who have accepted my invitation, I can proudly say you have given me a great honor!

I especially would like to thank all Senior Executives, we are most honoured that you were able to find the time amongst your compelling daily responsibilities.

Your presence here tonight is not only a great pleasure, but also an indication of the dynamism of media in Tanzania. It is important to remind ourselves that Media is key to a vivid, dynamic, democratic society. There is no development without access to knowledges, no democracy without access to information. I would even say that there is no unity and no cohesion without the togetherness created by the information and the entertainment provided by media.

In these modern times technologies are changing the shape of the media communities at an incredible pace, both positive and negative. In all countries around the world, this comes with new challenges and new responsibilities. Media will play an increasing role in creating and shaping public opinion and strengthening the society. One of France’s contributions to this goal is the presence in Tanzania since 2010 of Radio France international broadcasting in Kiswahili.

CURRENT VACANCIES AT THE AFRICAN DEVELOPMENT BANK



TIGO YATOA ZAWADI ZA MAMILIONI KWA MAWAKALA WA TIGO PESA

Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Tigo Pesa, James Sumari (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni mbili, Mshindi wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa iliyokuwa inajulikana kama ‘Cash In Promotion’, Said Khatibu kutoka Zanzibar, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Tigo Pesa, James Sumari (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni mbili, Mshindi wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa iliyokuwa inajulikana kama ‘Cash In Promotion’, Mojelwa Mlinga kutoka Dar es Salaam kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Tigo, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Tigo Pesa, James Sumari (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) muda mfupi kabla ya kukabiudhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa iliyokuwa inajulikana kama ‘Cash In Promotion’,Kulia ni Mojelwa Mlinga, mshindi kutoka Dar es Salaam na kushoto Said Khatibu kutoka Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Tigo Pesa, James Sumari (katikati) akiwapongeza kwa kuwanyanua mikono juu washindi wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa iliyokuwa inajulikana kama ‘Cash In Promotion’. Kulia ni Mojelwa Mlinga kutoka Dar es Salaam na kushoto Said Khatibu kutoka Zanzibar.
Washindi wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa iliyokuwa ikijulikana kama ‘Cash In Promotion’.Said Khatibu (kushoto) kutoka Zanzibar na Mojelwa Mlinga kutoka Dar es Salaam na (kulia) wakifurahia mfano wa hundi walizabidhiwa baada ya kuibuka washindi katika promosheni hiyo.
Kampuni ya Tigo Tanzania, jana imetoa zawadi za mamilioni ya shilingi kwa mawakala wake wa huduma ya Tigo Pesa kupitia promosheni iliyomalizika hivi karibuni ya ‘Wakala Cash In Promotion’.

Promosheni hiyo ya nchi nzima ilianza Machi 1 na kumalizika Machi 31 ikilenga kuwahamasisha mawakala wa Tigo Pesa kufanya miamala zaidi na wateja ili kujishindia zawadi za fedha taslimu.

Akizungumza wakati wa kutoa zawadi kwa baadhi ya washindi jijijni Dar es Salaam jana,mkuu wa kitengo cha bidhaa wa Tigo Pesa James Sumari alisema jumla ya Mawakala 97,000 walishiriki katika promosheni hiyo ya mwezi mmoja.

“Promosheni hii ya aina yake, ni ya saba kwa Mawakala wetu. Tangu tulipoanza hadi kufikia hivi sasa, tumewazawadia mawakala 12,000 zaidi ya fedha taslimu shilingi bilioni 1. Washindi hawa wametoka kila kanda hapa nchini na tumeendelea kuona mwitikio mkubwa wa Mawakala kupitia promosheni hii na ni mpango wetu kuendelea kuwarushia tunachokipata kupitia wao wakati tukiendela na safari ya kufikisha huduma jumuifu za kifedha nchi nzima,” alisema Sumari

PROF. KABUDI AFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI WA CHINA JIJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Ubalozi wa China jijini Dodoma. Ufunguzi wa ofisi hizo umefanyika tarehe 12 Aprili 2019 na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Joseph Kakunda, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri anayeshughulikia uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki, Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Azan Zungu, Mzee Job Lusinde na Meya wa Jiji la Dodoma, Mhe. Prof. Davis Mwamfupe. Katika hotuba yake, Mhe. Prof. Kabudi ameupongeza Ubalozi wa China hapa nchini kwa uamuzi wa kufungua ofisi hizo na kuwataka wakazi wa Dodoma na wananchi kwa ujumla kuzitumia ofisi hizo kwa ajili ya kujiimarisha kibiashara na uwekezaji. 
Sehemu ya viongozi waliohudhuria ufunguzi wa Ofisi za Ubalozi wa China jijini Dodoma wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (hayupo pichani) alipohutubia hafla hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akitoa hotuba yake. 
Sehemu ya wageni waalikwa nao wakifuatilia hotuba ya Prof. Kabudi (hayupo pichani wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Ubalozi wa China jijini Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Caesar Waitara na kushoto ni Bw. Charles Mbando, Katibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Sehemu ya ujumbe wa China wakifuatilia hotuba ya Mhe. Prof. Kabudi (hayupo pichani).
Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke akizungumza wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Ubalozi huo jijini Dodoma. Mhe. Wang Ke alisema kuwa ufunguzi wa Ofisi hizo ni kuunga mkono kwa dhati mpango wa Serikali ya Tanzania wa kuhamia makao makuu ya nchi uliotangazwa na Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bofya hapa kwa picha zaidi

Thursday, 11 April 2019

UBALOZI WA KENYA WAPANDA MITI KUMSHEREHEKEA WANGARI MAATHAI

Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mh Dan Kazungu akipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika hivi karibuni wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa.
Balozi wa Kenya nchini Tanzania (3 kushoto) na wafanyakazi wa ubalozi huo wakipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa Mashariki. Tukio hili limefanyika hive karibuni wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa.
Dk Reginald Mengi (mwenye tai nyekundu) akipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika hivi karibuni wakati wa tafrija fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa. Wa tatu kulia ni Balozi wa Kenya, Mh Dan Kazungu, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Sanjay Rughani (kulia) na wafanyakazi wa ubalozi huo.
Wawakilishi kutoka Ubalozi wa Norway na UNDP, Nancy Shedrack na Helge Flaard wakimwagilia mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika hivi karibuni wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa. Katikati ni Balozi wa Kenya, Mh Dan Kazungu.

NATIONAL BANK OF COMMERCE MANAGING DIRECTOR PAYS A COURTESY CALL ON RETIRED PRESIDENT MKAPA

Tanzania’s retired President, Benjamin Mkapa, in a buoyant mood as he bids farewell to NBC Limited Managing Director Theobald Sabi, shortly after the MD concluded a courtesy visit at his office in Dar es Salaam recently. Looking on (left) is NBC Public Affairs Manager, William Kallaghe.
Tanzania’s retired President, Benjamin Mkapa, shakes hands with NBC Limited Managing Director Theobald Sabi, shortly after the MD concluded a courtesy visit at his office in Dar es Salaam recently. Looking on (left) is NBC Public Affairs Manager, William Kallaghe.

THE FUTURE OF A CASHLESS ECONOMY

Across the globe, new technologies are rapidly replacing coins and notes, with variations among countries. According to the World Payment Report (2018), non - cash transaction global volumes continue to grow at a double-digit rate of 10.1% within an ecosystem of 482.6 billion people. Multiple reports have also shown that the emergence of digital technologies is driving unprecedented change across African countries and Tanzania has joined the bandwagon of nations experiencing robust shifts in digital technology. These paradigm shifts include liberalisation of financial systems, improvements in infrastructure technology and innovations in payment systems.

Prior to Tanzania’s independence, people paid for goods and services using various currencies such as: The East African rupee, the Zanzibari rupee, the Zanzibari riyal, British East Africa Florin and the German East African rupee. Since the government issued its first Tanzanian shillings in 1966, the country has by and large been a cash-based economy where the majority of businesses and transactions operate on a cash basis only. The introduction of M-Pesa in 2008 revolutionized the payment/transaction landscape in Tanzania; coupled with the advent of the Internet of Things, the rise of e-commerce will disrupt the way business is conducted.

In the last decade, the country has seen ground breaking innovation of electronic payment methods ranging from mobile money, online banking, credit and debit cards, charge card e-wallet or QR scan to the Government e-Payment Gateway System (GePG). Recently, the Bank of Tanzania (BoT) launched an Instant Payment System (TIPS) which is set to create a shared platform for payments originating from different delivery sources to facilitate inter-provider payment for electronic systems and the use of digital financial services among payment service providers. The TIPS ecosystem includes traditional banking services, mobile money and telco network operators providing financial services.