Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 11 April 2019

UBALOZI WA KENYA WAPANDA MITI KUMSHEREHEKEA WANGARI MAATHAI

Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mh Dan Kazungu akipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika hivi karibuni wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa.
Balozi wa Kenya nchini Tanzania (3 kushoto) na wafanyakazi wa ubalozi huo wakipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa Mashariki. Tukio hili limefanyika hive karibuni wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa.
Dk Reginald Mengi (mwenye tai nyekundu) akipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika hivi karibuni wakati wa tafrija fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa. Wa tatu kulia ni Balozi wa Kenya, Mh Dan Kazungu, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Sanjay Rughani (kulia) na wafanyakazi wa ubalozi huo.
Wawakilishi kutoka Ubalozi wa Norway na UNDP, Nancy Shedrack na Helge Flaard wakimwagilia mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika hivi karibuni wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa. Katikati ni Balozi wa Kenya, Mh Dan Kazungu.

No comments:

Post a Comment