Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Monday, 9 March 2015

DKT. MOHAMED SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA HOTELI YA PARK HYATT ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar. Kulia ni Kaimu Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini na kushoto ni mmiliki wa Hoteli hiyo Sheikh Ali Sayeed Albawardy.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar. Kulia ni Kaimu Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini na katikati ni mmiliki wa Hoteli hiyo Sheikh Ali Sayeed Albawardy.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana na Sheikh Ali Sayeed Albawardy mmiliki wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar alipotembelea sehemu mbali mbali za Hoteli hiyo iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar baada ya kuifungua rasmi.
Wasoma utenzi Amina Mohamed na Khadija Ridhiwani (kulia) walipokuwa wakitoa burudani hiyo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na viongozi mbali mbali wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar iliyopo mtaa wa Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini akiwa Kaimu waziri wa Fedha alipokuwa akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar kwa wananchi pamoja na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein azungumze na wananachi baada ya kuifungua Hoteli hiyo iliyopo mtaa wa Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati alipokuwa akizungumza na wananchi na viongozi mbali mbali na wawekezaji walioalikwa katika ufunguzi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar yenye hadhi ya juu katika mtaa wa Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Baadhi ya waalikwa mbali mbali wakiwemo wawekezaji na wafanyabiashara wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi na viongozi mbali mbali na wawekezaji walioalikwa katika ufunguzi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar yenye hadhi ya juu katika mtaa wa Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Sheikh Ali Sayeed Albawardy baada ya kumalizika kwa sherehe za ufunguzi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar. Katikati ni Meneja Mkuu wa Hoteli hiyo Bi. Mercela Heendoerfer. (Picha na Ikulu).

KAYMU.CO.TZ CELEBRATES WOMEN'S DAY WITH TOP FASHION SELLER


Dar-es-Salaam, March 8, 2015: Women’s Day is a day to celebrate acts of courage and willpower by women who have played an important role in the history of their countries, communities and families in one way or another, and to continue promoting the importance of increased opportunity and equality for women across the globe.

Kaymu.co.tz Tanzania’s leading online marketplace celebrates Women’s Day with Mrs. Dorah Mgaya, a successful businesswoman, who sells her fashion and beauty products through Kaymu.

Mrs. Mgaya who owns D&M Jewelers, is one of the many sellers who has had success with selling online.

Sunday, 8 March 2015

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kushoto) akiwaongoza baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika tukio la kujitolea damu lililoandaliwa na benki hiyo kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam jana.
Meneja Mahusiano ya Kibiashara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Lukemelelo Kaduma (katikati) akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam mwishoni jana. Anayemtoa ni mtaalamu wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), Peter Chami na kushoto ni mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Benard Elikana.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jolanda Songoro (kushoto) akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam mwishoni jana. Anayemtoa ni mtaalamu wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), Peter Chami.
Meneja wa Idara ya Mikopo Midogo wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jacob Samuel (kulia) akijitolea damu pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa ni mtaalamu wa damu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), Peter Chami.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NBC, William Tendwa naye akishiriki tukio lililoandaliwa na benki hiyo la kujitolea damu kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.

NORTHERN CORRIDOR INTEGRATION PROJECTS SUMMIT - KIGALI, RWANDA, 7 MARCH 2015

"All the countries represented here seek prosperity and well-being of our citizens.The results we have achieved together so far should motivate us to do more and faster. With political will and prompt follow-through, we can achieve the tangible results the people of our region need and deserve.”

- President Kagame opening the 9th Northern Corridor Integration Projects Summit attended by President Museveni, President Kenyatta, President Salva Kiir Mayardit, President Kikwete as well as Vice President Rufyikiri of Burundi and Foreign Minister Ghebreyesu of Ethiopia.








RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI RWANDA MACHI 7,2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni jana Machi 7, 2015 akitokea Kigali Rwanda, alikoalikwa na Rais Paul Kagame wa Rwanda kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Wakati akiwa Kigali, miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete ameudhuria mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini (Northern Corridor Integration Projects) katika Hoteli ya Serena mjini Kigali. Mkutano wa jana ​pia umehudhuriwa na wakuu wa nchi za Kenya, Uganda na wenyeji Rwanda. Mbali na nchi hizo na mbali na Tanzania, nchi za Burundi na Sudan Kusini pia zili​alikwa kuhudhuria mkutano huo. Mkutano huo ulijadili hatua za utekelezaji wa miradi mbali mbali iliyokubaliwa kulingana na maelekezo yaliyotolewa katika mkutano wa nane wa namna hiyo uliofanyika Nairobi, Kenya, Desemba 11, mwaka jana, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni jana Machi 7, 2015 akitokea Kigali Rwanda, alikohudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzake wa Jumiya hiyo katika mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi hizo kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini (Northern Corridor Integration Projects) katika Hoteli ya Serena mjini Kigali. Mkutano wa jana ​pia umehudhuriwa na wakuu wa nchi za Kenya, Uganda na wenyeji Rwanda. Mbali na nchi hizo na mbali na Tanzania, nchi za Burundi na Sudan Kusini pia zili​alikwa kuhudhuria mkutano huo. Mkutano huo ni ulijadili hatua za utekelezaji wa miradi mbali mbali iliyokubaliwa kulingana na maelekezo yaliyotolewa katika mkutano wa nane wa namna hiyo uliofanyika Nairobi, Kenya, Desemba 11, mwaka jana, 2014.
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda, tayari kwa mkutano na viongozi wenzake wa Jumiya hiyo katika mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi hizo kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini (Northern Corridor Integration Projects) katika Hoteli ya Serena mjini Kigali.
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda kabla ya kuanza kwamkutano wa tisa wa wakuu wa nchi hizo kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini (Northern Corridor Integration Projects) katika Hoteli ya Serena mjini Kigali, Machi 7,2015.
Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame amesema kuwa hatua ya Mwenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Nchi Zilizoungana Kutekeleza Miradi ya Miundombinu Ukanda wa Kaskazini za Northern Corridor Projects ni hatua muhimu katika kufungua utekelezaji wa miradi ya miundomninu katika kanda nyingine za EAC. 

Saturday, 7 March 2015

BENKI YA NMB KATIKA SHEREHE YA KUMKARIBISHA MKURUGENZI WAO MPYA

Benki ya NMB imemkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wao mpya, Ineke Bussemaker ambaye anachukua nafasi ya Mark Wiessing. Wiessing amepangiwa kituo kingine cha kazi ndani ya Benki ya Rabobank iliyopo Brazil.
Wiessing ataanza rasmi majukumu yake Brazil mwezi wa tano mwaka huu.

Ineke Bussemaker anakuja NMB akitokea Uholanzi ambako alikuwa Mtendaji Mkuu katika Kitengo cha Malipo katika Benki ya Rabobank hivyo ni mtu mwenye uzoefu wa juu wa masuala ya kibenki na biashara ya kimtandao, utaalamu ambao utaisaidia benki ya NMB kukua zaidi.

Kabla ya RaboBank, Ineke alishika nyadhifa mbalimbali za juu katika benki za Citibank, ABN Amro ya Uholanzi, Uingereza na Denmark.

Mark Wiessing anaiacha NMB ikiwa imekua kwa kasi kwa miaka minne ya uongozi wake, ambapo NMB ina matawi zaidi ya170 na ATM zaidi ya 600 nchi nzima, huku ikiwa na wateja zaidi ya milioni mbili.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa NMB, Ineke Bussemaker akitoa hotuba fupi kwa wageni waalikwa, uongozi wa juu wa benki na bodi ya wakurugenzi wa NMB katika hafla iliyoandaliwa na NMB kwaajili ya kumkaribisha Mkurugenzi mpya na kumuaga Mkurugenzi aliyemaliza muda wake, Mark Wiessing. Hafla hiyo ilihudhuriwa na bodi ya wakurugenzi wa NMB, uongozi wa juu wa benki hiyo pamoja na wafanyabiashara na wateja wa NMB.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa NMB, Ineke Bussemaker akisalimiana na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Juma Reli katika hafla iliyoandaliwa na NMB kwaajili ya kumkaribisha Mkurugenzi mpya na kumuaga Mkurugenzi aliyemaliza muda wake, Mark Wiessing. Hafla hiyo ilihudhuriwa na bodi ya wakurugenzi wa NMB, uongozi wa juu wa benki hiyo pamoja na wafanyabiashara na wateja wa NMB.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa NMB, Ineke Bussemaker katika mazungumzo na Meya wa Ilala, Jery Slaa na Mwenyekiti wa Bodi ya NMB, Prof Joseph Semboja katika hafla iliyoandaliwa na NMB kwaajili ya kumkaribisha Mkurugenzi mpya na kumuaga Mkurugenzi aliyemaliza muda wake, Mark Wiessing. Hafla hiyo ilihudhuriwa na bodi ya wakurugenzi ya NMB, Uongozi wa juu wa benki hiyo pamoja na wafanyabiashara na wateja wa NMB.




US ENERGY FIRM SUES KENYA FOR CANCELLING LICENCE

A screen grab of WalAm Energy Inc's website. In 2012, Kenya cancelled WalAm’s licence for non-performance.
WalAm Energy Inc wants to institute an international arbitration against Kenya for cancelling the firm’s licence for the exploration and development of the Suswa geothermal field.

The firm is represented by Nairobi-based J Miles & Co in the case filed on February 23 at the US-based International Centre for Settlement of Investment Disputes, against Kenya’s Ministry of Energy, and the Attorney General Githu Muigai.

FALLING OIL PRICES NOT ENTIRELY BAD FOR UGANDA

Although the tumbling global oil prices will slow down investment in Uganda’s petroleum sector and delay further the expected flow of petrodollars, experts say the price crash presents Kampala with a rare opportunity to put its house in order if the country is to avoid the oil curse.

“To sustain growth and poverty reduction, Uganda’s economy requires a stronger reallocation to more productive and high return sectors, and a sustained transformation of subsistence agriculture,” Stefan Dercon, chief economist at the UK’s Department for International Development (DfID) told a Bank of Uganda forum on February 25, which discussed the implications of the current oil price volatility on the country’s economy.

Speaking at the event, BoU Governor Emmanuel Tumusiime-Mutebile said that even if oil prices dropped too low in future and little revenue was earned from the commodity, Uganda’s economy could continue to thrive if it was well managed.

UGANDA'S DEBT ON THE RISE - MOODY'S

Uganda’s debt level is on the rise due to capital flight and a decline in donor support, hampering the country’s economic growth prospects, a Moody’s Investors Service report published last week says.

Mathias Angonin, a Moody’s analyst and the author of the report, said that the long-term health of government finances will depend largely on mobilising new sources of revenue.

“The level of earnings from Uganda’s minerals and other exports will depend on improvements in domestic security,” Mr. Angonin said.

EY TANZANIA TEAM DONATES US$ 3,500 AND TZS 712,000 TO FIGHT BRUTALITY AGAINST PEOPLE WITH ALBINISM IN TANZANIA

On 2nd March 2015, staff and Partners of EY Tanzania hosted Ms. Maria Stanford a representative from the society of people with albinism in Tanzania at EY offices in Oysterbay.
The representative, herself a victim of brutality against people with albinism lost both of her arms to wicked people who broke into her house located near Lake Victoria in North-western Tanzania and managed to overcome her as she slept, cut-off and vanished with both her hands.

Although she later identified the perpetrators who were amongst her fellow villagers, they were never brought to justice. On behalf of the Partners and staff, Joseph Sheffu the Country Managing Partner of EY Tanzania called upon the entire community to work together with the Government organs at all levels of the community in protecting our sisters and brothers born with albinism, identify and bring the perpetrators to justice and ultimately eradicate this barbaric act against fellow human beings.


At the event, which was prevailed with sadness and also joyfulness for Maria’s courage, forgiveness and positivity about life, the team raised a total of US$3,500 to support the cause for the people with albinism in Tanzania. The team also raised TZS 712,000 specifically to assist Maria meet her basic needs. In addition, Partners and staff have committed to raise additional funds to enable Ms Maria obtain limited functioning Prosthetic hands and a new embroidery machine to enable her to continue with her embroidery business at the local village. Maria thanked EY community for the support and appealed to the Government of Tanzania to do more in protecting people with albinism in Tanzania.

SERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa Balozi huyo jana, Masaki Jijini Dar es salaam, kulikofanyika hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, jijini Arusha. Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.

Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kushoto) akionyesha kitu kwenye karatasi kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa pamoja na Mbunge wa Viti Maalum - Monduli, Mh. Namelock Sokoine, wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, jijini Arusha. Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.

Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga akitoa hotuba yake mbele ya Ujumbe wa Wilaya ya Monduli pamoja na Waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, jijini Arusha. Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.
Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Twalib Mbasha wakisaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Monduli. Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo. Wengine pichani ni Mbunge wa Viti Maalum - Monduli, Mh. Namelock Sokoine (katikati), Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, Sapunyu pamoja na Afisa wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Idara ya Miradi wa Ubalozi wa Japan nchini, Takashi Higuchi.
Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Twalib Mbasha wakibadilishana mikataba mara baada ya kuisaini, wakati wa hafla ya fupi iliyofanyika jana nyumbani kwa Balozi huyo, Masaki jijini Dar. Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri ya Monduli dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi miwili ya wilaya hiyo. Wengine pichani ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia) Mbunge wa Viti Maalum - Monduli, Mh. Namelock Sokoine pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, Edward Sapunyu.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, jijini Arusha. Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.
Mbunge wa Viti Maalum - Monduli, Mh. Namelock Sokoine akizungumza machache mbele ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Picha ya pamoja.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiagana na Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mh. Kazuyoshi Matsunaga mara baada ya hafla hiyo.

WAZIRI NYALANDU AKUTANA NA WAZIRI MWENZAKE WA UTALII WA KENYA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN

Na Geofrey Tengeneza – Berlin Ujerumani 

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu amekutana na waziri mwenzake wa Biashara na Utalii wa Kenya Bibi Phylis Kandie katika banda la Kenya na kuwa na mazungumzo yanayohusu ushirikiano wa nchi mbili katika sekta ya Utalii. Mazungumzo hayo hayakuwa rasmi hivyo hayakuhudhuriwa na wandishi wa habari Aidha Wiziri Nyalandu alitembelea banda la Tanzania na kuzungumza na washiriki wa maonesho ya ITB kutoka makampuni mbalimbali washiriki hao kwa ambapo amewapongeza kwa kuitangaza vema Tanzania katika maonesho hayo.
Mh. Waziri Nyalandu akihojiwa katika banda la Tanzania na mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Check inn cha Qatar Bw. Tajamul Hussain kuhusu utalii wa Tanzania kwa ujumla.
Mkurugenzi wa kampuni ya usafirishaji watalii ya Zara tours kutoka Moshi Tanzania Bibi Zainabu akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalndu alipotembelea banda la Tanzania kujionea namna waoneshaji wa Tanzania wanavyoitangaza Tanzania katika maonesho ya ITB Berlin.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiwa na Waziri wa Biashara na Utalii wa Kenya Bibi Phylis Kandie mara baada ya mazungumzo yao.
Waziri wa Biashara na Utalii wa Kenya Mh. Phylis Kandie akisakata rhumba na Waziri wa Maliasili na utalii wa Tanzania Mh. Nyalandu katika banda la Tanzania.
Michuzi Blog

MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES GETS STATE-OF-THE-ART PHARMACY LABORATORY FROM PEPFAR

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) Professor Eligious Lyamuya (left) observes as USAID Health Office Director Miriam Lutz (right) receives scissors from Ruth Ng'wananogu, Quality Assurance Officer at MUHAS Pharmacy School (center) for a ribbon cutting ceremony to hand over a new state-of-the-art pharmacy laboratory to MUHAS on Thursday, March 5, 2015.

USAID supported renovation of the laboratory and the provision of new equipment as part of the President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR). The kitted and renovated research and development laboratory, valued at approximately $400,000, will ensure that quality drugs reach the people of Tanzania.

Michuzi Blog