Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Monday, 18 August 2025

MIAKA 5 YA UONGOZI MADHUBUTI, UADILIFU, UNYENYEKEVU, MAONO NA MATOKEO MAKUBWA

Kitomari Banking & Finance Blog leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kufanikisha miaka mitano ya uongozi wa mafanikio katika nafasi hiyo.

Ruth Zaipuna amekuwa nguzo muhimu katika sekta ya benki nchini, kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii, na kuongeza thamani ya benki sokoni.

Kila la heri katika kuanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.

No comments:

Post a Comment