Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Monday, 2 December 2024
ABSA BANK SHINES IN THE 2024 CONSUMER CHOICE AWARDS AFRICA
BENKI YA LETSHEGO FAIDIKA YAKOPESHA SH. BIL. 5.3 MBEYA, YAFUNGUA TAWI JIPYA
Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Mheshimiwa Beno Malisa akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo mkoani Mbeya maeneo ya Soweto. |
Mbeya: Benki ya Letshego Faidika imetumia jumla ya Shilingi 5,348,067,950.91 kukopesha wateja 1,305 wa mkoa wa Mbeya. Hayo yamesemwa na mjumbe wa Bodi ya Benki ya Letshego Faidika, Bw Adam Mayingu wakati wa ufunguzi wa taji jipya la benki hiyo maeneo ya Soweto mkoani Mbeya.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Letshego Faidika, Bw Baraka Munisi akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo mkoani Mbeya maeneo ya Soweto. |
Awali tawi hilo lilikuwepo kwenye Jengo la Royal Zambezi kabla ya kuhamia Soweto, karibu na barabara ya Moondust. Bw Mayingu amesema kuwa kiasi hicho cha fedha kimekopeshwa kwa wateja wao mbalimbali serikalini na sekta binafsi.
Mjumbe wa bodi wa Benki ya Letshego Faidika, Bw Adam Mayingu akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo mkoani Mbeya. |
Amesema kuwa Benki ya Letshego Faidika ni matokeo ya muungano kati ya taasisi ndogo ya kifedha, Faidika, na Benki ya Letshego Tanzania ambayo ilianza kufanya kazi Julai Mosi mwaka jana.
Alisema kuwa tawi la mkoa wa Mbeya lina historia ya kipekee ambapo kwa upande wa Benki ya Letshego ilianza kutoa huduma mwaka 2016 na kwa upande wa Faidika ulianza kutoa huduma mwaka 2008.
“Mpaka sasa tumeweza kuwahudumia wateja zaidi ya 3,417 kwa Mkoa wa Mbeya pekee. Pia, tuna satellite 6 ambazo ziko Ileje, Mkwajuni, Mbarali, Tukuyu, Kyela, na Mbozi. Tunalojivunia sana, kwani linaleta uthibitisho wa dhamira yetu ya kusaidia maendeleo ya kijamii na kiuchumi Mbeya na mikoa mengine,” alisema Bw Mayingu.
Mkurugenzi wa Benki Kuu tawi la Mbeya Dkt. James Machemba akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki ya Letshego Faidika lililopo eneo la Soweto mkoani Mbeya. |
Alisisitiza kuwa huduma za benki hiyo zinalenga kuboresha maisha ya wananchi kwa kutoa suluhisho la kifedha kwa watumishi wa umma, wafanyabiashara, wajasiriamali wadogo na wa kati, na huduma nyingine kama mikopo ya magari, akaunti za akiba, na bima.
“Kauli mbiu yetu, "Tunaboresha Maisha," inaendelea kuimarisha dhamira yetu ya kuwa washirika wa kweli wa maendeleo.”
“Kauli mbiu yetu, "Tunaboresha Maisha," inaendelea kuimarisha dhamira yetu ya kuwa washirika wa kweli wa maendeleo.”
Kwa mara nyingine tena, napenda kutoa pongezi za dhati kwa timu ya Letshego Faidika kwa kazi kubwa ya kuandaa uzinduzi huu. Pia, niwashukuru washiriki wote wa kikundi kazi kilichoshiriki kuhakikisha kuwa uzinduzi huu unafanikiwa.
RAIS SAMIA ALIPONGEZA JUKWAA LA CEO ROUNDTABLE KWA MAENDELEO YA UCHUMI
"Tunahitaji kuendelea kuzingatia masuala muhimu kama mabadiliko ya tabianchi na kutathmini athari zake kwenye mazingira ya biashara," aliongeza. Akielezea ushiriki wake hivi karibuni kwenye mkutano wa COP 29, Dkt. Mpango alisisitiza ahadi ya Tanzania katika malengo ya kimataifa ya tabianchi na kusema ni muhimu kujenga uchumi imara licha ya changamoto za tabianchi.
ABSA BANK WINS BEST PRESENTED FINANCIAL REPORT AWARD
Absa Bank Tanzania has emerged as the first winner of the 2023 Best Presented Financial Report award in the Mid-Sized Banks Category at the annual awards organized by the National Board of Accountants and Auditors (NBAA).
The 2023 awards witnessed intense competition, with 86 participants across various categories meeting NBAA’s criteria. The winners were presented with their awards by the event’s guest of honor, CPA Benjamin Mashauri, Chief Internal Auditor of the Ministry of Finance.
Speaking shortly after receiving the award, Mr. Muhsin Kaye, Financial Controller at Absa Bank Tanzania, said the recognition highlights the bank’s expertise, experience, and the skillset of its team in preparing financial reports.
“This victory reflects our accountability as a bank, as well as integrity and transparency in presenting our reports. We assure our customers and Tanzanians at large that we will continue to prepare reports in line with the required standards and principles. This is a proud moment for our bank and our customers,” said Mr. Kaye.
NCBA BANK PLANTS 1,000 TREES AT JANGWANI GIRLS SECONDARY SCHOOL
MEGA BEVERAGES YAADHIMISHA MIAKA 20, TOLEO MAALUM LA K-VANT PREMIUM SPIRIT
Subscribe to:
Posts (Atom)