| Meneja Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati, Latifa Salum (kushoto) akimkabidhi zawadi ya begi mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mnadani, Swaibath Abdalah kwa kufanya vizuri kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kupitia programu ya 'Code like a Girl' yaliyofanyika Chuo kikuu cha UDOM Jijini Dodoma hivi karibuni kwa ufadhili wa kampuni ya Vodacom. |
No comments:
Post a Comment