Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Friday, 29 December 2023
Friday, 22 December 2023
PAET YAPONGEZA TAQA DALBIT KUFUNGUA KITUO CHA CNG
Thursday, 21 December 2023
VODACOM YAENDESHA MAFUNZO YA MASOMO YA TEHAMA
Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne shule ya sekondari ya Sangu, Bi. Witness Charles Mwambelo, yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao. |
Meneja Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Naiman Moshi (kulia) akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya masomo ya TEHAMA na Sayansi kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne shule ya sekondari ya Samoja, Bi. Sarafina Mussa Sanga yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao. |
Walimu na wanafunzi wakifuatiliamafunzo ya 'coding' kupitia programu ya Vodacom Tanzania inayojulikana kama 'Code Like a Girl' yaliyofanyika katika chuo cha TEKU mwishoni mwa wiki jijini Mbeya. Kupitia programu yake inayojulikana kama ‘Code Like a Girl’ kwa kushirikiana na Tanzania Data Lab (dLab), imefanikisha mafunzo ya Tehama na Coding kwa wanafunzi wa kike zaidi ya 2000 nchini pamoja na kuwapa ushauri wa kitaaluma ili kuwajenga kimasomo vijana hao. |
LAKE ENERGIES NA M-PESA WASHIRIKIANA KWENYE MALIPO
Mkurugenzi wa Huduma za Rejaraja wa Lake Energies Tanzania, Fredy Mchau (kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Operesheni za M-Pesa wa Vodacom, Tito Mbise (kushoto) kwa pamoja wakijaza gari mafuta mara baada ya kuzindua huduma ya LIPA KWA SIMU katika kituo cha mafuta Samora Avenue jijini Dar es Salaam. Kupitia ushirikiano huo madereva wataweza kulipia kwa simu na kurudishiwa 10% ya pesa yao pamoja na kuweza kukopa mafuta kupitia huduma ya ‘CHOMOKA’ wanapokuwa hawana salio la kutosha. |
Mmoja wa mteja akilipia mafuta kwa kutumia huduma ya LIPA KWA SIMU katika kituo cha mafuta Samora Avenue iliyozinduliwa kwa ushirikiano baina ya M-PESA na Lake Energies jijini Dar es Salaam. Kupitia ushirikiano huo madereva wataweza kulipia kwa simu na kurudishiwa 10% ya pesa yao pamoja na kuweza kukopa mafuta kupitia huduma ya ‘CHOMOKA’ wanapokuwa hawana salio la kutosha. |
Mkurugenzi wa Operesheni za M-Pesa wa Vodacom, Tito Mbise (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma za Rejaraja wa Lake Energies Tanzania, Fredy Mchau (wa pili kulia) pamoja na Mkuu wa Idara ya Malipo wa Vodacom M-Pesa, Killian Kamota (wa kwanza kushoto) na Maneja Masoko na Mawasiliano, Matina Nkurlu (wa kwanza kulia) wakizindua huduma ya LIPA KWA SIMU katika kituo cha mafuta Samora Avenue jijini Dar es Salaam. Kupitia ushirikiano huo madereva wataweza kulipia kwa simu na kurudishiwa 10% ya pesa yao pamoja na kuweza kukopa mafuta kupitia huduma ya ‘CHOMOKA’ wanapokuwa hawana salio la kutosha. |
Katika jitihada endelevu za kuchochea malipo kwa kidijitali, wateja wa Lake Energies sasa wanaweza kulipia mafuta kwa kutumia huduma ya kulipa kwa simu ya M-Pesa kutoka Vodacom katika vituo vyake vya mafuta nchi nzima.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ushirikiano huo Dar es Salaam kwa niaba ya Mkurugenzi wa M-Pesa, Mkurugenzi wa Operesheni za M-Pesa wa Vodacom, Tito Mbise, alisisitiza kuwa hii ni sehemu ya mkakati wa M-Pesa kuhamasisha matumizi ya malipo ya kidijitali kuhakikisha usalama, urahisi, na uwazi katika shughuli za biashara.
"Kupitia ushirikiano huu, mbali na kurahisisha malipo, wateja watarudishiwa 10% ya malipo yao ya mafuta wanapofanya malipo kupitia M-Pesa siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili kuanzia msimu huu wa msimu wa sikukuu mpaka mwezi wa Januari. Tunaelewa kwamba watu wengi wanasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine kuwatembelea jamaa na wapendwa wao wakati huu, hivyo suluhisho hili la malipo ya kidijitali linakuja wakati muafaka kwa sababu watu hawatalazimika kuwa na wasiwasi wa kubeba pesa taslimu ambazo huhatarisha usalama wao," alielezea Bw. Mbise.
Mbali na kurudishiwa pesa papo hapo ya kiasi cha 10%, kulipa katika vituo vya Lake Energies kupitia M-Pesa pia itaendelea kuwaongeza wateja nafasi za kushinda zawadi mbalimbali kupitia kampeni inayoendelea ya 'Sambaza Shangwe, Gusa Maisha'. Baadhi ya zawadi ni pesa taslimu, pikipiki, luninga za kisasa, simu janja, na router za 5G.
DStv FOR BUSINESS OFFER DISCOUNT OF UP TO 50%
Make your guests entertained away from home, give them what they love to watch at home to their new adapted homes.
DStv for Business Stay packages are the right fit for your Hotel, B&B or guest house and let your guests feel every moment.
Get up to 50% offer this Holiday season.
Call us: 0769 977 111
Wednesday, 20 December 2023
AfDB STAFF TO LEAVE ETHIOPIA OVER DIPLOMATIC INCIDENT
- African Development Bank Group’s international staff to leave Ethiopia over serious diplomatic incident
ABIDJAN, Ivory Coast, December 20, 2023/ -- The African Development Bank (www.AfDB.org) has decided to withdraw all its international staff from Ethiopia immediately. The office will remain open under an Officer-in-Charge.
These measures will not affect nationally recruited staff from Ethiopia who will continue their work and remain in the full employment of the Bank. The Bank will assure them and their families of its duty of care.
These decisions follow the recent breach of diplomatic protocol and assault by Ethiopian security forces on two of the African Development Bank’s international members of staff.
Specifically, on the 31st of October 2023, two Addis Ababa based staff were unlawfully arrested, physically assaulted, and detained for hours without charge or any official explanation.
This was a gross violation of their personal diplomatic immunities, rights, and privileges under the African Development Bank Group’s Host Country Agreement with the Government of the Federal Democratic Republic of Ethiopia.
On learning of the incident, African Development Bank President Dr Akinwumi Adesina immediately contacted the highest levels of authority in the Ethiopian government, following which the Bank’s two staff members were released.
Tuesday, 19 December 2023
Monday, 18 December 2023
ECOBANK NOW OFFICIAL SPONSOR OF CAF AFCON 2023
Lomé, Togo, 13 December 2023 – The Confederation of African Football (CAF) has announced Ecobank, the leading pan-African banking group, as an Official Sponsor of the TotalEnergies Africa Cup of Nations Côte d’Ivoire 2023. The TotalEnergies CAF Africa Cup of Nations, the biggest event in Africa, will kick off on 13 January 2024 in Côte d’Ivoire.
Jeremy Awori, Chief Executive Officer, Ecobank Group, said: “The TotalEnergies CAF AFCON tournament highlights the immense sense of pride that Africans across our continent and around the world feel during the matches. As the pan-African bank, we are proud to associate Ecobank with the Confederation of African Football to contribute to the success of TotalEnergies Africa Cup of Nations Côte d’Ivoire 2023, the largest and most-enjoyed football tournament, inspiring passion across Africa. Football transcends borders. It brings communities together, fully aligning with Ecobank’s commitment to drive regional integration. It is an honour for Ecobank to play a key role in bringing millions of Africans together to live their passion for football, making sure that loyal customers benefit from this experience.”
Ecobank carries the pan-African spirit in its DNA, and this partnership with the Confederation of African Football demonstrates its commitment to its pan-African heritage, reinforcing its connection with hundreds of millions of Africans who will be celebrating the magic of football at AFCON 2023. 16 of the 35 African countries in which Ecobank has a presence are among the 24 that are competing in Côte d’Ivoire.
STANBIC DONATES AID WORTH 10MN/- TO HANANG VICTIMS
Speaking after the handover of the items, Head of Personal and Private Banking, Omari Mtiga, ‘The donation is in support of the people of Hanang after being hit by the mudslides.
Our contribution renders to support the displaced people as part of our responsibility to our communities but also responds to the urgent call made by our Honorable President Dr. Samia Suluhu Hassan post the tragedy that struck the region in the early morning hours of December 03, 2023,” said Mtiga.
On his part, Hanang District Council Director, Francis Namaumbo, thanked the bank for its support where he assured the lender that the government will fully supervise the distribution of the food items reach the victims as required.
VODACOM YATOA BIMA ZA AFYA KWA AKINA MAMA MWANZA
Maryglory Mtika wa Vodacom Tanzania (kushoto) akiwa na mmojawapo wa akina mama na mtoto wake waliopatiwa bima ya bure kwa mwaka mzima katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou-Toure jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni yake inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, kampuni hii imekabidhi kadi za bima kwa akina mama 100 na watoto 100 hospitalini hapo ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kwa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu. |
Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) kutoka Vodacom Tanzania akifurahi pamoja na mmojawapo wa akina mama waliopatiwa bima ya bure kwa mwaka mzima katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou-Toure jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni yake inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, kampuni hii imekabidhi kadi za bima kwa akina mama 100 na watoto 100 hospitalini hapo ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kwa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu. |
Mshindi wa pesa taslimu shilingi milioni 10 kupitia kampeni ya Vodacom Tanzania PLC inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, Bw. Simon Bundala (wa pili kulia) akiwa ameshikilia mfano wa hundi aliyokabidhiwa na Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) pamoja na msanii wa Bongo Flava, Dogo Janja (wa kwanza kushoto) na Straton Mchau, Meneja Mauzo Mwandamizi Kanda ya Ziwa (wa pili kushoto) katika viwanja vya Posta jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo. |
Wednesday, 13 December 2023
SERENGETI BREWERIES JOINS ELITE UN GLOBAL COMPACT
To sustain its sourcing of cereals from local farmers, the company is running an agribusiness program with a network of over 400 farmers, which involves training them on regenerative agricultural practices, the MD said. The company three years ago launched a scholarship scheme for bright students from the farming communities to support the agribusiness program. Over 230 students have been awarded the scholarships, Obinna said.
Subscribe to:
Posts (Atom)