Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Monday, 19 June 2023

NMB YATENGA BILIONI 2.5 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE



Benki ya NMB yaacha Alama!

Kama ishara na kumbukumbu ya kuadhimisha miaka 25 ya mafanikio, NMB imetoa TShs. bilioni 2.5 kwa ajili ya kujenga Shule ya mfano katika eneo na Mkoa atakayoelekeza Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Dkt. Samia Suluhu Hassan. NMB inaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuinua sekta ya Elimu nchini.

#Miaka25YaNMB
#NMBKaribuYako

No comments:

Post a Comment