Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 23 December 2022

PATA MENGI KUTOKA DStv SIKU YA BOXING DAY

 

Pata mengi kutoa DStv!

Na hii ni ratiba ya mechi za EPL siku ya Boxing Day!

Mchongo ni huu, msimu huu wa sikukuu @dstvtanzania wanakupa zawadi ukilipia kifurushi chako wao wanakupandisha cha juu yake bila malipo ya ziada. Changamkia sasa ofa hii na upate burudani hii isiyopimika!

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#MsimuWaSokaLaKibabe

MIAKA MIWILI YA MAFANIKIO YA WATU BAKI NDANI YA DStv

Katika kusherehekea miaka miwili ya kazi nzuri wanayofanya kundi la wachekeshaji @watubaki leo kutakua na show kubwa itakayofanyika Mlimani City!

Burudika na kipindi cha Watu Baki kinachoruka kila siku za Jumamosi saa 3 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Poa 144 inayopatikana kupitia @dstvtanzania kwa kifurushi cha Poa TShs 10,000/= tu.

Thursday, 22 December 2022

WORLD BANK FINANCING: WHERE 1.8TRI/- WILL BE SPENT


The World Bank has approved two financing programmes for Tanzania totaling 775 million US dollars (equivalent to 1.8tri/-) to Support Inclusive and Resilient Economic Recovery and Improved Healthcare Services.

According to the WB, the new International Development Association (IDA) financing consists of a 500 million US dollars credit for the first Tanzania Inclusive and Resilient Growth Development Policy Financing and a 250 US dollars million credit plus a 25 million US dollars grant for the Tanzania Maternal and Child Health Investment Programme.

The statement availed to the media said that, Tanzania has experienced a contraction of its tourism sector and a spike in import prices for fuel and other commodities in the wake of the Covid-19 pandemic and the war in Ukraine.

But, prudent macroeconomic management has allowed the country to weather the external shocks and minimise the erosion of hard-won development gains.

“Tanzania Inclusive and Resilient Growth Development Policy Financing is the first in a series of two operations to support policy and institutional reforms that are critical to unleashing private sector growth, increasing transparency, boosting Tanzania’s risk management capacity, and building economic resilience against future shocks driven by climate change and other external factors” reads part of the statement.

BENKI YA DUNIA YAIMWAGIA TANZANIA SHILINGI TRILIONI 1.8 KUKUZA UCHUMI NA KUBORESHA SEKTA YA AFYA

Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Victoria Kwakwa (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Dkt. Saada Salum Mkuya, Jijini Washington D.C nchini Marekani wakati wa mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hivi karibuni.

Dodoma, 22 Desemba 2022 – Benki ya Dunia imeiidhinishia Tanzania, mkopo wenye masharti nafuu pamoja na msaada vyote vikiwa na thamani ya dola za Marekani milioni 775 (Sawa na takriban shilingi za Tanzania trilioni 1.8), kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa bajeti, kuboresha uchumi na huduma za afya.

Mchanganuo wa fedha hizo unaonesha kuwa Shirika la Kimataifa la Maendeleo (IDA) litatoa mkopo wa dola za Marekani milioni 500 (sawa na shilingi trilioni 1.1) kwa ajili ya kufufua uchumi ulioathiriwa na UVIKO-19 na Vita vinavyoendelea baina ya Ukraine na Urusi, vilivyosababisha kusinyaa kwa shughuli za kiuchumi na kupanda kwa bei ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nje yakiwemo mafuta na bidhaa nyingine.

Dola milioni 250 (sh. bilioni 581) zitatumika kwa ajili ya program ya afya ya mama na mtoto kwa njia ya kupima matokeo (PfoR) inayotekelezwa Tanzania Bara na dola za Marekani milioni 25 (sh. bilioni 58.1) zilizotolewa kama msaada na Mfuko wa Dunia wa kusaidia wanawake, vijana na watoto zitatumika kwa ajili ya mradi wa uwekezaji kiuchumi (IPF) kwa upande wa Zanzibar.

Wednesday, 21 December 2022

STRATEGIC PROJECTS: PRESIDENT SAMIA GOES FOR HEALTHY BORROWING


President Samia Suluhu Hassan has reiterated the government’s plan to continue seeking for loans to finance numerous strategic projects in the country for long-term development.

The Head of State made the remarks on Tuesday at State House, Dar es Salaam during the signing ceremony of a contract for the construction of the 506-kilometer Standard Gauge Railway (SGR) section between Tabora and Kigoma.

“With this contract, the government has invested 10.04 billion US dollars, equivalent to 23.3trl/-, in the Dar-Mwanza and Tabora-Kigoma SGR lines; it should be noted that all of this money is from loans that we received from a variety of sources,” she explained.

President Samia added, “Today and in the future, if we feel it is profitable, we will continue to borrow to construct various projects for sustainable development.”

Ms Samia continued by stating that all loans must be repaid, directing those who are in different positions and are collecting revenue to tighten the screws.

“For instance this month, two loans matured simultaneously and the government was required to pay them all. There were also certificates for significant projects that we were required to pay for as well,” she said.

The President also directed the Ministry for Finance and Planning to ensure they declare publicly and elaborate how the loans have been utilized.

Tanzania Railways Corporation (TRC) and two Chinese firms signed the contract for the construction of the Tabora-Kigoma lot.

The contract was awarded jointly to China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) and China Railway Construction Company (CRCC).

President Samia witnessed the signing of the agreement for the construction, which will encompass the construction of 506 kilometres at a cost of 6.34trl/-.

NMB YAPATA TUZO YA MWAJIRI BORA BARANI AFRIKA

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi akikabithiwa tuzo ya Mwajiri Bora Afrika kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na Afisa Mkuu Rasilimali Watu, Emmanuel Akonaay kwenye hafla fupi ya kupokea tuzo hiyo ya “The Best Employer Brand - Africa”. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko, Rahma Mwapachu na kushoto ni Mwakilishi kutoka Idara ya Rasilimali Watu, Pamela Deteba.

Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB imedhihirisha umahiri na ukubwa wake kiutendaji na kiundeshaji nchini baada yakufanikiwa kunyakuwa tuzo ya mwajiri bora barani Afrika – the Best Employer Brand Africa.


Ushindi huo mkubwa ulipatikana wiki jana mjini Port Louis huko Maurituis ambako NMB ilitunukiwa tuzo hiyo inayotambua umakini katika kuzingatia maslahi na maendeleo ya wafanyakazi na waandaaji wake ambao ni taasisi ya ajira ya Employer Branding Institute.


Akipokea nishani hiyo jana makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Filbert Mponzi, alisema tuzo hiyo ya nne ya mwajiri bora mwaka huu, ni ushahidi mwingine wa jinsi taasisi hiyo kubwa ya fedha nchini inavyothamini wafanyakazi wake.

“Thamani ya wafanyakazi kwetu sisi NMB ni kubwa sana kwani wao ndiyo rasilimali inayoongoza na chanzo cha mafanikio yetu yote na tuzo mbalimbali ambazo tumekuwa tunazipata ,” Mponzi alisema baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo na Afisa Mkuu Rasilimali Watu, Emmanuel Akonaay.

Tuesday, 20 December 2022

USIKOSE CARABAO CUP WIKI HII NDANI YA DStv PEKEE

 

Lipia kifurushi chako cha sasa upate kifurushi cha juu bure.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi.

Y9 MICROFINANCE LAUNCHES 5 NEW BRANCHES TO BOOST SERVICE DELIVERY FOR ITS CUSTOMERS


Y9 Microfinance has launched five new branches in Dar es Salaam to boost service delivery, as it targets to reach more Tanzanians.

The Five branches are located at Makumbusho, Mbezi Louis, Tandika, Kigamboni and Buguruni. These branches will be a game changer in increasing convenience to customers who can’t afford a direct purchase of a smartphone and are looking for financing options.


Speaking during the launch, Y9 CEO, Faith Pella said the move is in line with its strategy to grow Y9 Microfinance business by taking the smartphone loan services closer to its customers. “We are offering 4G smartphone loan services to different groups including the employed, entrepreneurs (SMEs) and individuals” she said.

"We are delighted to inform our customers that they can now access our services conveniently at our Y9 centers across Dar es Salaam and we will continue to open up in every region to reach more customers in the country," She continued.


This device financing compliments the partnership between Y9 and Samsung that aims at offering affordable yet quality smartphones to Tanzanians. Customers can now easily get a smartphone of your choice for as low as 40,000 through Y9 Microfinance and pay as low as 2,000 per day as loan repayment, " The Y9 CEO stated.

Monday, 19 December 2022

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU KIBAHA

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, Sara Msafiri, akiangalia kabati za kuhifadhia vitabu zilizotolewa kwa Shule ya Msingi Sofu Shilingi Milioni 37 iliyofanyika katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibaha. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Kibaha, Festo Issango.

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, Sara Msafiri, akiangalia Viti 50 na meza vilivyotolewa katika hafla ya makabidhiano ya misaada mbalimbali kutoka NMB kwa shule sita zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 37 kwa Shule ya Sekondari Pangani wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa shule za Sekondari na Msingi za Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani.

Benki ya NMB imekabidhi vifaa vya kusaidia maendeleo ya elimu wilayani Kibaha vyenye thamani ya zaidi ya TZS milioni 37 kama sehemu ya kuchangia ustawi wa huduma za kijamii nchini.

Kiasi hicho ni sehemu ya asilimia moja ya faida baada ya kodi ambayo benki hiyo utenga kila mwaka kusaidia kutatua changamoto zinazoikabili jamii na kuwekeza katika miradi ya maendeleo.

Akizungumza kabla ya makabidhiano hayo, Meneja waTawi la NMB Kibaha, Bw Festo Isango, aliyemwakilisha Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam inayojumuisha pia Mkoa wa Pwani, alisema bajeti ya mwaka huu ya benki hiyo ya uwajibikaji kwa jamii ni zaidi ya TZS bilioni mbili.

DStv YAJA NA OFA KABAMBE MSIMU HUU WA SIKUKUU


  • Ukilipia kifurushi chako unapewa cha juu yake bila malipo ya ziada
Kama kawaida DStv haiwaachi wateja wake mikono mitupu msimu wa sikukuu! Msimu huu wateja wote wa DStv wanapata mserereko ambapo kuanzia tarehe 19 Desemba 2022 hadi 24 Janunari 2023 mteja wa DStv atakayelipia kifurushi chake atapandishwa nakuunganishiwa kifurushi cha juu yake kwa mwezi mzima bila malipo ya ziada.

Akitangaza kuzinduliwa kwa kampeni hiyo ya msimu wa sikukuu, Mkuu wa thamani kwa wateja wa MultiChoice Tanzania, Hilda Nakajumo amesema kuwa ofa hii ni kwa wateja wote wa DStv watakaolipia vifurushi vyao katika kipindi hicho ambapo DStv itawatunuku kifurushi cha juu yake bila malipo ya ziada.

Amesema hata kama mteja kifurushi chake kilimalizika na alikuwa hajalipia, atapata ofa hiyo punde tu atakapo huisha kifurushi chake cha awali.

“Msimu huu wa sikukuu tunaileta familia ndugu na jamaa pamoja ili kuhakikisha kuwa hawapungukiwi na burudani, tumeamua kuwazawadia ofa hii kabambe ili kuwawezesha kupata burudani ya hali ya juu kwa kufurahia chaneli nyingi Zaidi za DStv zikiwemo katuni kwa ajili ya Watoto, michezo, tamthilia, habari na makala mbalimbali”, alisema Hilda.

Saturday, 17 December 2022

MSHINDI WA 'NMB MASTABATA KOTEKOTE' DODOMA AKABIDHIWA PIKIPIKI YAKE

Meneja wa NMB Tawi la Kambarage, Emiliana Wilson (kushoto) akimkabidhi funguo na pikipiki, Salumu Jumanne Rajabu (katikati) ambaye ni mshindi wa droo ya NMB MastaBata Kotekote. Makabidhiano hayo ya pikipiki hiyo yalifanyika Jijini Dodoma. Kulia ni Meneja Mwandamizi wa Fedha Kitengo cha Kadi Benki ya NMB, Erick Emmanuel.

Mkazi wa Kizota Jijini Dodoma, Salum Jumanne Rajabu alikabidhiwa pikipiki yake baada ya kushinda katika promosheni ya “NMB MastaBata Kotekote’ inayohamasisha matumizi ya kadi na kuscan QR (Lipa Mkononi).

Rajab alikabidhiwa pikipiki hiyo na Meneja wa NMB Tawi la Kambarage Jijini Dodoma, Emiliana Wilson ambaye alisema mshindi huyo alipatikana katika kwenye droo lililoendeshwa wiki iliyopita.


Rajabu alisema ni utaratibu wake kutumia NMB mastercard kwa ajili ya kufanya miamala na kulipia huduma mbalimbali kupitia kadi yake.

Friday, 16 December 2022

SERENGETI BREWERIES UNVEILS THE EABL SUSTAINABILITY REPORT PAINTING A RESILIENT FUTURE

Serengeti Breweries Limited (SBL) staff, Corporate Relations Director - John Wanyancha (centre), Communications Manager - Rispa Hatibu (right) Governance Relations Manager - Neema Temba (left) celebrating the second Sustainability Report under the parent company East Africa Breweries Limited (EABL), held at SBL’s Chang’ombe plant in Dar es Salaam.

Representatives from various stakeholders working with Serengeti Breweries Limited (SBL) in a group photo with SBL staff during the launch of the second sustainability report under the flagship company East Africa Breweries Limtied. The launch was held at SBL’s Changombe plant in Dar es Salaam. From left, Hamadi Kissiwa National Environment Management Council (NEMC) Eastern Zone Manager, SBL’s Government Relations Manager Neema Temba, Maximillian Sarakikya Deputy Principal Kaole Wazazi College, SBL’s Corporate Relations Director John Wanyancha, SBL Communications Manager, Rispa Hatibu, Green Initiative Engineer Colleta Kyaitela and Michael Salali, Chairman, Foundations for Good Hope (FDH).

December 16, 2022 - Serengeti Breweries Limited (SBL) has launched the 2022 EABL Sustainability Report- second of its kind- depicting plenty of performances on their Environment, Social and Governance (ESG) commitments.

Through its Society 2030: Spirit of Progress initiatives, a ten year action plan to manage their most material ESG issues which falls under their core six pillars (Positive drinking, championing inclusion and diversity, sustainability by design, low carbon world, preserving water, and doing business the right way), SBL has emerged strong and exemplary in delivering best outcomes.



The launch was attended by SBL stakeholders from Foundation for Disabilities Hope (FDH), Green Initiative, National Environmental Management Council (NEMC) and the media.

PIGA ROAD TRIP ZA KIBABE NA NMB FRI-YAY!!!


Kabla haujaweka gia na kuanza safari, pitia kwanza huu mchongo wa wese kitonga uliopewa nguvu na NMB Fri-yay ambapo, ukilipia kwa NMB Mastercard / Lipa Mkononi (QR) utapata punguzo kabambe!!!

Kubwa zaidi, kwa kituo Cha Puma Upanga, kama Umebima na NMB, utapata punguzo la 20%!!!

TAZAMA MECHI YA MSHINDI WA TATU NDANI YA DStv

 
Jiunge na kifurushi cha Bomba kwa TShs. 23,000 kwa mwezi ili uweze kutazama mechi ya mshindi wa tatu kati ya Croatia vs Morocco ndani ya DStv pekee.

Kulipia, piga *150*53#

Thursday, 15 December 2022

BENKI YA CRDB, IFC ZAKUBALIANA MAENEO SITA YA USHIRIKIANO

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dk. Ally Laay (wa tatu kulia), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa nne kulia) wakiwa katika kikao na Mkurugenzi wa IFC anayesimamia ushirikiano na Taasisi za Fedha Duniani, Tomasz Telma (wa pili kushoto), na Mwakilishi Mkazi wa IFC nchini Tanzania, Frank Ajilore (wa kwanza kushoto) walipokutana kujadili ushirikiano baina ya Taasisi hizo jijini Washington, Marekani jana 14 Desemba 2022. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (wa tatu kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina Benki ya CRDB, Joseph Maji.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa IFC anayesimamia ushirikiano na Taasisi za Fedha Duniani, Tomasz Telma (wa pili kulia) na Mwakilishi Mkazi wa IFC nchini Tanzania, Frank Ajilore (wa kwanza kushoto) walipokutana kujadili ushirikiano baina ya Taasisi hizo jijini Washington Marekani jana 14 Desemba 2022.

Washington, Marekani; 15 Desemba 2022 - Benki ya CRDB na Shirika la Kimataifa la Fedha la Benki ya Dunia (IFC) wamekubaliana maeneo sita mahususi ya ushirikiano katika juhudi zao za pamoja za kukuza ujumuishi wa kifedha nchini Tanzania na ukanda mzima wa Afrika Mashariki.

Makubaliano hayo yamefikiwa na ndio watendaji wakuu wa taasisi hizo mbili wakati wa mkutano wao huko Washington uluofanyika sambamba na Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika na Marekani.

Katika mkutano huo, ujumbe wa Benki ya CRDB uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Dk Ally Laay, Makamu mwenyekiti, Prof Neema Mori, na Mkurugenzi Mtendaji wa Group, Abdulmajid Nsekela, huku IFC ikiwakilishwa na Mkurugenzi anayesimamia ushirikiano na Taasisi za Fedha Duniani, Tomasz Telma.

IFC ni mshirika wa muda mrefu na wa kimkakati wa Benki ya CRDB na imekuwa na jukumu muhimu katika kusaidia mkakati wa benki tangu 2014.

“IFC imekuwa na mchango mkubwa katika mafanikio ya Benki ya CRDB katika kipindi cha miaka minane iliyopita na katika kufanikisha utekelezaji wa mkakati wetu wa miaka mitano ambao unamalizika mwaka huu,” alisema Nsekela katika taarifa yake iliyowasilishwa kwa vyombo vya habari jijini siku ya Jumatano.

INSTANT OPENING OF NMB BANK ACCOUNTS USHERS IN NEW BANKING ERA IN TANZANIA

Dar es Salaam Regional Commissioner - Amos Makalla (left) and NMB Bank Chief of Retail Banking - Filbert Mponzi, wave flags during the launch of NMB Pesa Account that is a simplified digital solution of account opening in Dar es Salaam.

A new banking era has unfolded in the country after NMB Bank yesterday debuted a novel solution of opening accounts within two minutes that has added fresh impetus to the national financial inclusion agenda and digital finance journey.

Retail Banking and Business Chief Filbert Mponzi said once the new customer on-boarding process is completed, the account and services like NMB Mkononi are instantly activated to enable transacting to start immediately.

With ordinary and unbanked folks in mind, the lender launched the NMB Pesa Account service, which is Tanzania’s fastest digital account opening experience, at the upcountry Magufuli Bus Terminal in Dar es Salaam.

“This is a digital finance solution for helping to address financial services challenges, which is not only an instantaneous exercise but also very cheap since it does not have costs such as maintenance charges,” Mr Mponzi told the gathering that witnessed its launch.

He told the event’s chief guest, Dar es Salaam Regional Commissioner Amos Makala, that opening of NMB Bank accounts is now possible anywhere digitally with the support of their mobile sales staff. He said the process is also paperless and does not require visiting the bank’s 228 branches.

That reality impressed the regional commissioner who in his inaugural speech said the development accords all Tanzanians the opportunity to own a bank account.

NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIDIJITALI 'NMB PESA AKAUNTI'

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Gabriel Makalla (kushoto) akipeperusha bendera pamoja na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara - NMB, Filbert Mponzi (kulia) wakiashiria kuzindua Rasmi NMB pesa Akaunti katika Stendi ya Mabasi ya Magufuli Jijini Dar es salaam. NMB pesa Akaunti ni mfumo wa kidigitali wa ufunguaji wa akaunti wa benki ya NMB.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akimsikiliza Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa benki ya NMB, Filbert Mponzi wakati akimueleza juu ya mfumo wa malipo kwa kuskani QR (Lipa Mkononi) ya Benki ya NMB katika moja ya Duka lililopo kwenye Stendi ya Mabasi ya Magufuli mara baada ya kuzindua NMB pesa Akaunti ya Benki ya NMB.

Zama mpya ya huduma za kibenki imejili nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’ ambayo ni akaunti Ya kidijitali inayomwezesha mteja kufungua na kuanza kuitumia ndani ya dakika mbili tu, imezinduliwa leo stendi ya mabasi yaendayo mikoani ya Magufuli Bus Terminal.

Hatua hiyo kubwa inaongeza msukumo mpya katika jitihada za taifa za ujumuishwaji wa kifedha na upatikanaji wa huduma za fedha kidijitali kiurahisi.

Kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Bw Filbert Mponzi, sifa kubwa ya suluhisho la NMB Pesa Akaunti ni kuwa na mchakato mfupi wa kufungua akaunti mpya.


“Hii ni suluhisho yakusaidia kutatua changamoto za kifedha ambayo si tu ni akaunti inafunguliwa hapo hapo mteja alipo lakini pia utaweza kupata mikopo isiyo na dhamana, kutoa, kuweka au kutuma fedha, kulipia bili mbalimbali na kubwa zaidi haina gharama za ada za mwezi,” Bw Mponzi alisema.

NBC ANNOUNCES OVERSUBSCRIPTION OF TWIGA BOND BY 30%

Director of Business Banking at NBC Bank, Elvis Ndunguru (third left) along with other senior officers from the bank as well as representatives from the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) and Bank of Tanzania (BOT), showing the statistics of the achievements made in the sale of the Bank's bond known as NBC Twiga Bond that was oversubscribed by 30% from the target of TZS 30 Billion of the first tranche. The announcement was made in Dar es Salaam yesterday.

  • NBC Twiga Bond oversubscribed by 30% from the target of TZS 30 Billion of the first tranche
  • The net proceeds from the NBC Twiga Bond will lend to retail, small and medium-sized businesses, agricultural activities, businesses whose products and services directly impact women and youth, and local and multinational corporations.
Dar es Salaam – December 2022: National Bank of Commerce (NBC) announced its first Twiga Bond issuance oversubscription; the bank has surpassed its targets by 30% whereby TZS 38,911,200,000 was raised, representing a subscription of 130%.

This is NBC bank's first public issuance aimed at supporting lending to retail, small and medium-sized businesses, agricultural activities, businesses whose products and services directly impact women and youth and local and multinational corporations.

Speaking during the announcement event held in Dar es Salaam yesterday, NBC's Director of Business Banking, Elvis Ndunguru said the bond sold for one month was officially closed on December 7th this year with great success compared to the bank's expectations.

"As one of the largest lenders in Tanzania, we are thrilled to announce the success of the 1st tranche of Twiga bond issued early last month and oversubscribed by 30%, raising a total of TZS 38,911,200,000 from the initial target of TZS 30 Billion,’’ he announced.

BENKI YA NBC YAFUNGA MAUZO YA HATI FUNGANI YA TWIGA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (wa tatu kushoto) sambamba na maofisa wengine kutoka benki hiyo pamoja na wawakilishi kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakionesha takwimu za mafanikio yaliyopatikana kwenye mauzo ya hati fungani ya Benki hiyo ijulikanayo kama NBC Twiga Bond ambapo benki hiyo ilikukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 38.9 ikilinganishwa na Shilingi Bilioni 30 zilizotarajiwa kukusanywa hapo awali. Hafla ya kutangaza matokeo ya mauzo ya hati fungani hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na mafanikio yaliyopatikana kwenye mauzo ya hati fungani ya Benki hiyo ijulikanayo kama NBC Twiga Bond ambapo benki hiyo ilikukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 38.9 ikilinganishwa na Shilingi Bilioni 30 zilizotarajiwa kukusanywa hapo awali. Hafla ya kutangaza matokeo ya mauzo ya hati fungani hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Sambamba nae ni pamoja na maofisa wengine kutoka benki hiyo pamoja na wawakilishi kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Dar es Salaam - Disemba 14, 2022: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kufunga mauzo ya hati fungani yake iliyofahamika kama NBC Twiga Bond kwa mafanikio makubwa ambapo benki hiyo imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 38.9 ikilinganishwa na Shilingi Bilioni 30 zilizotarajiwa kukusanywa hapo awali. Mafanikio hayo ni asilimia 130 ya malengo yaliyotarajiwa.

Akizungumza kwenye hafla fupi ya utangazaji wa matokeo ya mauzo ya hati fungani hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta fedha nchini wakiwemo wawakilishi kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru alisema dhamana hiyo ya mwezi mmoja ilifungwa rasmi Disemba 7 mwaka huu kwa mafanikio makubwa ikilinganishwa na matarajio ya benki hiyo.

“Awali lengo letu lilikuwa ni kukusanya takribani kiasi cha Bilioni 30 na tumefunga hati fungani hii tukiwa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 38.9 ambayo ni sawa na asilimia 130 ya malengo yetu ya awali. Kiasi kilichopatakana kimetoka kwa wawekezaji takribani 661 kutoka sekta mbalimba ikiwemo wawezekazi binafsi wakubwa kwa watoto chini ya usimamizi wa wazazi, taasisi na mashirika mbalimbali kutoka kila kona ya nchi,’’ alibainisha Ndunguru.

Wednesday, 14 December 2022

FRANCE VS MOROCCO - NUSU FAINALI LEO USIKU

Nusu Fainali ya Kombe la Dunia leo saa 4 usiku France vs Morocco kupitia kifurushi cha Bomba kwa TShs 23,000 tu!

Piga *150*53# kulipia kifurushi hiki. 

30 GOLFERS MEET IN KILOMBERO FOR UHURU GOLF TOURNAMENT


In celebration of 61 years of Independence (Uhuru Day), Kilombero Sugar Golf Club organized a golf tournament which invited all golfers across the country to participate where a total of 30 golfers from Dar es Salaam and Morogoro participated.

While opening the tournament, Kilombero Golf Club Chairman Fakihi Fadhili, said the purpose of the tournament is to bring together golfers across the country, compete and have fun in the quest to enhance golf as a distinct sport and which has few players. He added that the tournament will help golfers meet and network further. The Kilombero Golf Captain Pierre Redinger shared a couple of ground rules that golfers needed to abide to, interestingly the first rule was to have fun!!

The Kilombero Sugar Golf course which is located within the Kilombero Sugar Company Estate, has 18 holes and tournament was carried in a stroke play method. In an interview, Morris Komba a seasoned golfer from Kilombero Golf Club shared a bit of history of the Kilombero Golf Club saying it was founded on 2002 by David Haworth (the then Managing Director for Kilombero Sugar Company) under the captainship of Gerrie Odendaal (the then Field Manager for Kilombero Sugar Company) and currently the club has a total of 35 players. He further mentioned that Kilombero Golf club has been engaging in other tournaments and have been hosting golfers from Morogoro, Kilimanjaro and Dar es Salaam and from many other places.

Tuesday, 13 December 2022

NMB YAIMARISHA MTAJI WA RASILIMALI WATU KUPITIA PROGRAMU YA MANAGEMENT TRAINEE

Wahitimu wa Programu ya Management Trainee wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Mtendaji Mkuu wa NMB – Filbert Mponzi (kushoto), Mjumbe wa Bodi wa NMB – Ramadhani Mwikalo na Afisa Mkuu Rasilimali Watu – Emmanuel Akonaay (kulia).

Programu ya Benki ya NMB ‘Management Trainee’ inayotoa mafunzo kazini kwa wahitimu wa vyuo vikuu umeiwezesha taasisi hiyo kuimarisha mtaji wake wa rasilimali watu na kuisadia kuwa muajiri bora nchini.



Hadi sasa programu hiyo iliyoanza takribani miaka 13 iliyopita imezalisha wataalamu wa maswala ya kifedha na kibenki zaidi ya 60.

Wanufaika nane wa uwekezaji huo walihitimu wiki jana jijini Dar es Salaam na kuahidi kufanya kazi kwa bidii na weledi wa hali ya juu.



“Ndoto zetu za kuwa wataalamu wa masuala ya kibenki leo zimetimia. Tunaahidi kufanya kazi kwa nguvu zetu zote kama waajiriwa wa taasisi bora na kubwa ya fedha nchini Tanzania,” Amanda Eseko alisema kwa niaba ya wenzake.

Aidha, aliongeza kuwa miaka miwili ya mafunzo mbalimbali waliyopitia haikuwa ya lelemama. Hata hivyo, alifafanua, miaka hiyo imekuwa ya manufaa makubwa kwao kwasababu wamejifunza mambo mengi na kupata fursa ya kufanya kazi NMB na kulihudumia taifa kwa ujumla.

Afisa Mkuu Rasilimali Watu wa NMB, Emmanuel Akonaay, alisema ana matumaini makubwa sana na vijana hao ambao hana shaka wataisaidia benki hiyo kuendelea kuwa kinara wa huduma za kifedha nchini.

Monday, 12 December 2022

NMB MASTABATA 'KOTE KOTE' YAZIDI KUPASUA ANGA

Meneja Mwandamizi Biashara za Kadi Benki ya NMB, David Ngusa (kulia) na Meneja wa NMB Tawi la Bank House, Seka Urio (kushoto) wakimkabidhi tiketi ya kuhudhuria tamasha la Fullmoon Party visiwani Zanzibar, Elihuruma Minja (katikati), mshindi wa droo ya nne ya Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote’ inayohamasisha matumizi ya kadi baldala ya pesa taslimu.

Kampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote,’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, imezidi kupasua anga baada ya zawadi zenye thamani ya Sh. Mil. 10.5 kutolewa kwa washindi 76 jana, hivyo kufanya jumla kuu ya zawadi kufikia zaidi ya Sh. Mil. 96.5 kati ya Sh. Mil. 350 zilizotengwa.

Washindi 76 walipatikana wakati wa droo ya tano iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, ambako pia washindi wa pikipiki wa droo ya nne na washindi wa safari ya Zanzibar iliyolipiwa kila kitu na NMB, walikabidhiwa zawadi na tiketi zao.

Katika droo hio iliyochezeshwa chini ya Ofisa wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Salim Bugufi, ilishuhudiwa David Kaaya akiibuka mshindi wa bodaboda yenye thamani ya Sh. Mil. 3, huku washindi wengine 75 wakijinyakulia Sh. 100,000 kila mmoja.

Katika hafla hiyo, Elihuruma Minja na Grace Mponeja walikabidhiwa tiketi za safari ya kwenda Zanzibar (wao na wenza wao), ambako watahudhuria tamasha la Zanzibar Full Moon Party, huku Hamza Hamood akikabidhiwa pikipiki aliyoshinda katika droo iliyopita.

Akizungumza kabla ya droo hiyo, Meneja Mwandamizi Biashara za Kadi NMB, David Ngusa, alisema tayari zawadi zenye thamani ya Sh. Mil. 86 zilishatolewa kwa washindi mbalimbali waliopatikana katika wiki nne za kampeni hiyo inayofanyika kwa msimu wa nne sasa.

BANK OF TANZANIA PLACES YETU MICROFINANCE BANK PLC UNDER STATUTORY ADMINISTRATION


Pursuant to powers conferred upon the Bank of Tanzania under Section 56 (1)(g)(i) & (iii) of the Banking and Financial Institutions Act, 2006, the Bank of Tanzania has effective from today, Monday, 12th December 2022, taken over and placed Yetu Microfinance Bank Plc under statutory administration. 

The decision to take over and place Yetu Microfinance Bank Plc under statutory administration follows failure of the bank to meet regulatory requirements regarding liquidity and capital adequacy. Thus, to permit Yetu Microfinance Bank Plc to continue with banking operations while under the state of shortage of liquidity and undercapitalization is detrimental to the interest of depositors and poses systemic risk to the stability of the financial system. 

The Bank of Tanzania has suspended its Board of Directors and Management and appointed a Statutory Manager to manage the affairs of Yetu Microfinance Bank Plc. Thus, Yetu Microfinance Bank Plc will not be open for normal business for a period not exceeding 90 days during which the Bank of Tanzania will determine an appropriate resolution option. 

The Bank of Tanzania assures the public that it will continue to protect the interests of depositors and maintain stability of the banking sector. 

GOVERNOR,
BANK OF TANZANIA, 
12 DECEMBER, 2022.

Thursday, 8 December 2022

DIAMOND TRUST BANK PLC SHINES AT THE TOP 100 EXECUTIVE AWARDS

From left - Henry Mwiki (Chief Information Security Officer) holds his award for CIO/Director of Information Technology of the Year, followed by Meiyer Mushemakweli (Head of Customer Experience) who was named Head of Customer Experience Personnel of the Year and Simon Luoga (Head of Human Resources) who was named CHRO/Director of Human Resources Personnel of the Year.

Diamond Trust Bank Tanzania recently scooped awards at the Top 100 Executive Awards 2022.

Three officials from Diamond Trust Bank last week scooped Top 100 Executive Awards 2022 in different categories. 

These distinguished professionals were awarded and recognized for their positive impact in their respective fields of practice within the banking industry. The DTB senior members that excelled at the awards ceremony are Henry Mwiki (Chief Information Security Officer), Meiyer Mushemakweli (Head of Customer Experience) and Simon Luoga (Head of Human Resources).

AFRICAN MARKETS BUILD RESILIENCE IN A CHALLENGING ENVIRONMENT

Deputy Permanent Secretary, Economic Management Policies in the Ministry of Finance and Planning, Lawrence Mafuru (third right) and Absa Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji (fourth left) display the just launched Absa Africa Financial Markets Index report 2022 booklet at a function in held Dar es Salaam yesterday. Mafuru was representing Finance Minister, Dr. Mwigulu Nchemba. On Mafuru’s left is Absa’s Finance Director, Obedi Laiser and Absa Bank Tanzania Head of Global Markets, Esther Maruma. On Mponji's right is Jeff Gable, Chief Economist & Head of FIC Research, Absa Bank Regional Office.

Wednesday, 7 December 2022

JIACHIE NA BURUDANI KABAMBE NDANI YA DStv PEKEE


Kipindi hiki cha mapumziko jiachie na buradani kabambe ndani ya @dstvtanzania pekee!

Piga sasa *150*53# kulipia kifurushi chako cha Bomba TShs. 23,000 tu usipitwe na burudani hizi.

YAPI MERKEZI JOINS BUSINESS LEADERS ON TPSF AWARDS

Yapi Merkezi Vice Chairman, Erdem Arioglu speaking at the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Awards and thought leadership session, part of the event held in Dar es Salaam last Friday. The event was attended by business leaders from across different sectors and industries.
Yapi Merkezi Vice Chairman, Erdem Arioglu listening attentively during the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Awards and thought leadership session, part of the event held in Dar es Salaam last Friday. The event was attended by business leaders from across different sectors and industries.
A panel of speakers made of business leaders engaging during the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Awards and thought leadership session, part of the event held in Dar es Salaam, last Friday. The event was attended by business leaders from across different sectors and industries.
Yapi Merkezi Vice Chairman, Erdem Arioglu engaging with the audience attending the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Awards and thought leadership session, part of the event held in Dar es Salaam last Friday. The event was attended by business leaders from across different sectors and industries.

KAMPUNI YA KILOMBERO YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA ATE 2022

Dar es salaam - Kampuni ya Sukari ya Kilombero imefanikiwa kunyakua tuzo katika kipengele cha cha Uanagenzi na Mafunzo (Apprenticeship and Internship) huku ikishika nafasi ya pili katika kipengele cha Ushirikishwaji wa Watanzania (Local Content) na kupokea cheti cha shukrani kwa kudhamini hafla hiyo wakati wa tuzo za zitolewazo na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) zilizofanyika Disemba 2, 2022 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Philip Isdory Mpango (kulia) akikabidhi cheti cha shukrani kwa Cleopatra Nasari, Mkuu wa Rasilimaliwatu Idara ya Kilimo wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero (katikati) kwa kudhamini hafla ya Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) na kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Desemba 2, 2022. Kushoto ni Mhe. Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu.
Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Joyce Ndalichako (kulis) akimkabidhi tuzo Meneja wa Maghala wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero (kushoto), Anthony Rweyemamu baada ya Kampuni kushinda nafasi ya pili katika kipengele cha Ushirikishwaji wa Watanzania (Local Content) katika Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) zilizofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City tarehe 2 Desemba 2022 ambapo kampuni hiyo ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa hafla hiyo.
Anthony Rweyemamu, Meneja wa Maghala wa Kampuni ya Sukari ya Kilombero akipokea tuzo ya mshindi wa katika kipengele cha Uanagenzi na Mafunzo katika Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) zilizofanyika tarehe 2 Desemba 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambapo kampuni hiyo pia ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa hafla hiyo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Kilombero Sugar Company Limited wakiwa katika Tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) zilizofanyika Desemba 2, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City. Kampuni hiyo ilitajwa kuwa mshindi wa kipengele cha Uanagenzi na Mafunzo, na Mshindi wa pili katika kipengele cha Ushirikishwaji wa Watanzania (Local Content) na kupokea cheti cha shukrani kwa kudhamini hafla hiyo. Kutoka kushoto ni Meneja Masuala ya Biashara - Bruno Daniel, Mkuu wa Rasilimaliwatu Idara ya Kilimo - Cleopatra Nasari, Meneja wa Maghala Dar es Salaam/Morogoro - Anthony Rweyemamu na Mtafiti wa Masoko Lenin Rugaimukamu.