Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926_270926

Absa Banner_170926_270926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Wednesday, 10 August 2022

USIKOSE REAL MADRID VS FRANKFURT KATIKA FAINALI YA UEFA SUPER CUP NDANI YA DStv


Inakwenda kuwa Jumatano ya Kibabe sana kwa wapenzi wa #Soka ambapo wote tutaelekeza mawazo na macho yetu kwenye mtanange wa Real Madrid dhidi ya Frankfurt katika fainali ya UEFA Super Cup.

Uhondo ni kuwa kupitia kifurushi cha Poa TShs. 9,900/= tu utapata kutazama Live mechi hii ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#MsimuWaSokaLaKibabe

No comments:

Post a Comment