Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Friday, 7 January 2022

DStv YAFUNGUA MWAKA NA PANDA TUKUPANDISHE



Ameshatwaa Champions League na UEFA Super Cup ndani ya Chelsea ....Thomas Tuchel hajamaliza anataka na makombe yaliyopo England mojawapo ni hili la FA Cup. Chesterfield kazi wanayo ni ndani ya @dstvtanzania pekee..

@abouliongo anakwambia utapata kutazama mechi hii Kupitia kifurushi cha Compact kwa TShs 51,000 tu.

Wewe mteja wa kifurushi cha Bomba panda sasa kwa kulipia kifurushi cha Shangwe TShs 31,000/= DStv ikupandishe mpaka kifurushi cha Compact bila malipo ya ziada ili uweze kufurahia michuano hii.

Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

#BirianiIendelee

#PandaTukupandishe

No comments:

Post a Comment