Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 14 January 2022

BENKI YA NCBA YAHITIMISHA BAHATI NASIBU YA 'SHINDO LA AKIBA' KWA KISHINDO

Mkuu wa Biashara ya Fedha na Suluhu za Usimamizi, Bw Khalifa Zidadu (katikati), Kaimu Mkuu wa Huduma za Wateja Binafsi na Bima wa Benki ya NCBA Tanzania (kulia), Bw Rahim Kanji, Meneja wa Tawi la Amani Place Benki ya NCBA Tanzania (kushoto) na Bi Neema kutoka Bodi ya Michezo na kubahatisha Tanzania (Kushoto) wakiongea wakati wa droo ya mwisho ya shindano la ‘Shindo la Akiba’.

Kaimu Mkuu wa Huduma za Wateja na Bima wa benki ya NCBA Tanzania, Bw Rahim Kanji (kulia) akiongea na Mshindi Mkuu aliyeshinda shilingi za kitanzania Milioni 10 hapo katika droo la mwisho ya droo ya ‘Shindo la Akiba’. Kushoto kwake ni Bw. Khalifa Zidadu, Mkuu wa Biashara ya Fedha na Suluhu za Usimamizi wa Fedha.
Moja ya zawadi walizoshinda washindi wakati wa droo katika kampeni ya Shindo la Akiba.

No comments:

Post a Comment