| Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo akifafanua kwa wafanyakazi wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd, Moshi mkoani Kilimanjaro kuhusu uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa mingine ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kudumu mpaka kipindi cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya. |
No comments:
Post a Comment