Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Tuesday, 30 November 2021
MAMILIONI YA WATU WAISHIO VIJIJINI WANUFAIKA NA UWEKEZAJI WA SBL KWENYE MAJI SAFI NA SALAMA
Upatikanaji wa maji umekuwa mwiba kwa baadhi ya maeneo ya nchi, ambapo watu hupita siku kadhaa bila kuyapata huku wengine wakikabiliwa na mgao. Halikadhalika, Serikali imeshatoa hali ya tahadhari kwa watumiaji huku Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) ikiwaomba watumiaji kuhifadhi maji kila yanapotoka. Hii ni kutokana na upungufu wa kina cha maji katika maeneo ya Ruvu Juu na Mto Wami, changamoto inayosababishwa na ukosefu wa mvua.
Hata hivyo, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amewahakikishia Watanzania kuwa ofisi yake inachukua kila hatua ili kukabiliana na hali hiyo. Aidha, Waziri alisema wamekuwa wakifanya mageuzi makubwa ya kitaasisi, kifedha na kiufundi ili kupata huduma ya maji iliyo endelevu. Alisema, 'hadi sasa kuna wakala wa usambazaji maji vijijini wapatao 2,115 unaojumuisha wahasibu 1,362 na wataalam 1,611 katika maeneo ya vijijini’.
Wakati hayo yote yakiendelea, kampuni pendwa ya bia, Serengeti Breweries Limited (SBL) iko mstari wa mbele kuwekeza katika miradi ya maji safi na salama kwa mamilioni ya wakazi wa vijijini nchini Tanzania. Miradi hii ya maji imepewa jina, Water of Life, wenye lengo la kuchochea jumuiya yenye maendeleo endelevu. Mpango huu umeanishwa kwenye mkakati wake wa maendeleo wa muda mrefu unaoitwa Society 2030; Spirit of Progress.
ABSA FINANCIER OF CONSUMER CHOICE AWARDS AFRICA
KILOMBERO KUKUZA MCHANGO KATIKA UKUAJI WA UCHUMI
Mkuu wa Mauzo wa Illovo Sugar Africa, Ephraim Mafuru akizungumza katika Mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha uliofanyika jijini Dodoma hivi karibuni. |
29 Novemba 2021: Dodoma - Kampuni ya Sukari ya Kilombero, ambayo inamilikiwa na Kampuni ya Illovo Sugar Africa kwa Asilimia 75 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa asilimia 25, inatarajia kuanza mradi wake wa upanuzi ambao utakuza mchango wa kampuni hiyo katika ukuaji wa uchumi kutoka shilingi bilioni 340 za sasa hadi kufikia takribani shilingi bilioni 700 kwa mwaka.
Mradi huo wa upanuzi utakaohitaji uwekezaji mpya wa awali wa zaidi ya shilingi bilioni 550, unajumuisha kiwanda kipya kitakachokuza uwezo wa kampuni hiyo wa kutengeneza sukari na kupunguza uhaba wa sukari nchini kupitia chapa yake ya “Bwana Sukari”. Hii ni miongoni mwa mikakati ya kampuni hiyo katika kufikia maono yake ya kupunguza utegemezi wa nchi katika bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya nchi kwa kuhakikisha kuwa inajitosheleza katika uzalishaji wa sukari ifikapo 2025.
“Mradi wetu wa upanuzi utakuza uzalishaji wa sukari kutoka tani 126,000 hadi tani 271,000 kwa mwaka hivyo kuisaidia Serikali kuokoa takribani dola milioni sabini za kigeni katika uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi,” anasema Ephraim Mafuru, Mkuu wa Mauzo wa Illovo Sugar Africa, akizungumza katika Mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha uliofanyika jijini Dodoma.
COCA-COLA LAUNCHES REAL MAGIC PHILOSOPHY AND PLATFORM IN TANZANIA
The Coca-Cola system in Tanzania has unveiled a new brand philosophy and platform called Real Magic, which invites everyone to celebrate the real magic of humanity.
The platform refreshes the brand’s trademark promise – to unite and uplift people every day – with renewed relevance for the world we live in today. The platform is built from lessons of the last 18 months: that we can find the magic all around us when we come together in unexpected moments that elevate every day into the extraordinary. It also acknowledges the many contradictions experienced as new generations find harmony and human connection in a virtual and divided world.
“As we launch the Real Magic platform here in Tanzania, our goal is to share and celebrate the Real Magic moments in our everyday diverse lives with our consumers around the country as to unite and uplift them,” said Unguu Sulay, Managing Director, Coca-Cola Kwanza Tanzania.
“Coca-Cola’s mission has been to spread positivity and optimism for over 100 years and Real Magic continues that promise. We believe its core philosophy will resonate with people all over the globe: that we can all experience real magic in real moments when we come together. Through it we will connect and champion the diverse lives of our consumers in Tanzania through collaborations with our artists and influencers, to unite and uplift people in moments of Real Magic,” added Sulay.
FURAHIA TAMTHILIA YA LA FAMILIA NDANI YA DStv
Malikia wa mipasho @officialkhadijakopa anakukumbusha kufurahia tamthilia ya La Familia inayoruka kila siku za Jumatatu - Ijumaa saa 4 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo 160 ndani ya @dstvtanzania pekee.
Piga *150*53# kulipia kifurushi cha Bomba TShs 21,000 tu ili usikose burudani hii.
#ZigoLaSikukuu
#DStvJoy
#MMBLaFamilia
Friday, 26 November 2021
BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 116.34 KUJENGA BARABARA MTWARA
Tanzania imesaini makubaliano ya mkopo wenye masharti nafuu wa thamani ya dola za Marekani milioni 116.34 (takribani shilingi bilioni 268.18) kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kutoka Mnivata-Newala-Masasi mkoani Mtwara yenyeurefu wa kilomita 160 kwa kiwango cha lami.
Mkataba wa msaada huo umesainiwa jijini Dar es Salaam, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdul Kamara.
Bw. Tutuba alisema kuwa kusainiwa kwa mkataba huu utaongeza kiasi cha fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi inayoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kutoka takribani dola za Marekani bilioni 2.27 hadi kufikia dola za Marekani bilioni 2.39.
Mkataba wa msaada huo umesainiwa jijini Dar es Salaam, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdul Kamara.
Bw. Tutuba alisema kuwa kusainiwa kwa mkataba huu utaongeza kiasi cha fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi inayoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kutoka takribani dola za Marekani bilioni 2.27 hadi kufikia dola za Marekani bilioni 2.39.
SONGAS PAYS TZS 21.2 BILLION IN DIVIDENDS TO GOVERNMENT-OWNED ENTITIES
Songas is a strategic partner with the Government in meeting the growing energy demand since it began operations in 2004. The company is owned by Government related entities; Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) 28.69%, Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) 9.56% and Tanzania Development Finance Company Limited (TDFL) 7.65% as well as Globeleq 54.1%, a leading independent power producer solely focused in Africa.
In a statement, issued by the company, the Managing Director, Anael Samuel, said, ‘In 2021, TANESCO has received about TZS 4.4 billion (USD 1.9 million), TPDC TZS 11 billion (USD 5.2 million), while TDFL received about TZS 3.5 billion (USD 1.5 million). All amounts are subject to withholding tax.
PIGA *150*53# KULIPIA KIFURUSHI CHAKO CHA DStv SASA
Alibondwa kwenye Carabao Cup, Pep atakubali kufungwa tena na David Moyes tena pale pale sebuleni kwake?
Mtanange huu ni Live ndani ya @dstvtanzania pekee! Unakosaje?
Piga *150*53# kulipia kifurushi chako sasa.
#zigolasikukuu
#dstvjoy
TANZANIAN BANKS PLEDGE CUTS IN INTEREST RATES
President Samia Suluhu Hassan speaks during the 20th Conference of Financial Institutions (COFI) meeting on recovery of the economy from the Covid-19 pandemic and beyond in Dodoma yesterday. |
“President Samia Suluhu Hassan has continuously called upon banks to improve lending and reduce interest rates. The BoT has come up with a number of interventions for policy reforms that will see banks reducing interest rates soon,” he said during the conference that was themed: ‘Tanzania Economy: Recovery from Covid-19 Pandemic and Beyond’.
Debate on reduction of lending rates had been heightened during the past few months after BoT introduced in July some policy measures that were meant to lay a solid framework to increase liquidity and reduce the cost of lending to the private sector.
Among the measures, the BoT said it would introduce were a Sh1 trillion special loan fund for banks and other financial institutions to access money for lending to the private sector.
Speaking yesterday, Mr Nsekela, who doubles as managing director of the CRDB Bank Plc, said the banks have been doing simulation (coming up with statements on reducing various lending rates) - and will soon individually start to announce reduction of their interest rates.
He hailed BoT for taking measures to cushion the sector against the challenges caused by the viral Covid-19 pandemic.
He noted that the banking sub-sector has also put in efforts to improve its technology in order to reach more Tanzanians through digital products - adding that similar efforts had been made to ensure lending is extended to small-scale farmers.
He, however, noted that the sector was still grappling with high levels of Non-Performing Loans (NPLs), currently standing at Sh1.2 trillion.
The BoT Governor, Prof Florens Luoga, said that, to ensure sustainable economic growth, the banking sub-sector’s regulator has implemented a number of policies that aim to reduce loan interest rates, increase liquidity in banks and increase loans in the agriculture sector. The BoT was also sensitising on the use of digital payments, including a reduction of statutory minimum reserves.
Thursday, 25 November 2021
ABSA STARS AMONG RALLY OF IRINGA 2021 KEY MOVERS
One of the cars taking part in the Rally of iringa 2021 is daringly steered in a hair-raising manoeuvre. |
"DEBITA SOLVENTUR OMNIA.” ALL DEBTS MUST BE PAID.
By Godwin Jaha Semunyu
“The non-performing loans, wilful defaulters and court injunctions”
A few weeks back, I was privileged to attend a financial sector symposium by Mwananchi Communications as a buildup to Tanzania's 60 years of independence. An exciting and intuitive gathering that took us through the industry's journey to date. There's certainly light at the end of the tunnel - Kazi iendelee.
Ms. Esther Kitoka, Equity Bank Tanzania, Executive Director, perhaps the most insightful panelists of the night, spoke eloquently of the evolution of the Tanzania Banking sector and gave expert opinion on current issues like the interest rates and non-performing loans. She also spoke dotingly about the challenges banks face during loan recoveries and the growing tendency of loans defaulters to resort to court injunctions so as to frustrate the process. Take a loan, default and then frustrate recovery. The story of having a cake and eating it (too).
Looking back, similar sentiments were once shared by the former President, the late Dr. John Magufuli, when he directed the Judiciary fraternity to ensure timely disposal of commercial-related disputes, stating that over TShs. 500 billion was tied up in about 400 commercial cases, after defaulting customers filed lawsuits or sought court injunctions against the banks, consequently depriving the economy of the anticipated capital.
Wednesday, 24 November 2021
DENTSU TANZANIA TO HOST UPCOMING MARKETING WEEK
Dar es Salaam, 22nd November 2021 - Further cementing its presence in Africa’s fast-growing marketing sector, Dentsu Tanzania, one of the leading multinational media and digital marketing communications company has announced today the anticipation of their upcoming first ever Marketing week in Dar es salaam, Tanzania at their Headquarters in Masaki, Tanzania.
Dentsu Tanzania is expected to host an insightful event dubbed Dentsu Tanzania Marketing week on the 1-3 december 2021, this week will bring together industry experts , gurus and key players.The event aimed at bringing together Tanzania Advertising and Marketing experts to discuss the state of Marketing in Tanzania, Best practices as well as upcoming trends.
“The theme this year is “Data Driven Marketing” where we will look at how Data can drive brand building, Media Investments, Digital as well as creative communication” said Edward Shila the General Manager at Dentsu Aegis Network Tanzania.
UZINDUZI WA KAMPENI YA 'MAAJABU HALISI' NA COCA-COLA WAWAFIKIA WAFANYAKAZI WA BONITE BOTTLERS LTD MOSHI
Monday, 22 November 2021
USIKOSE KUTAZAMA MICHUANO YA UEFA NDANI YA DStv
Baada ya michuano ya #EPL wiki hii ndani ya @dstvtanzania tunaendeleza michuano ya #UEFA kupitia chaneli za SuperSport!
⚽Barcelona vs SL Benfica
📺 SS EPL, 223
⏰ 5:00 Usiku
Nani kuibuka kidedea?
Lipia sasa kifurushi chako cha Compact TShs. 51,000 tu kwa kupiga *150*53#
#Birianiiendelee
#ZigoLaSikukuu
#DStvJoy
NCBA YAHIMIZA WATANZANIA KUWA NA UTAMADUNI WA KUWEKA AKIBA
Benki ya NCBA Tanzania imechezesha droo ya kwanza ya sehemu ya kampeni yake inayojulikana kama ‘SHINDO LA AKIBA’ katika ofisi zake jinni Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi zawadi hizo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Huduma ya Benki wa Rejareja na Bima ya NCBA Tanzania, Bw. Rahim Kanji amesema kuwa, “leo tunafanya droo yetu ya kwanza ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa kampeni ya ‘SHINDO LA AKIBA’. Kampeni hii tuliizindua mwezi Oktoba na tunatarajia itafika kikomo mnamo mwezi Desemba 2021. Kampeni hii itajumuisha wateja wetu wote lakini pia tunawakaribisha wale ambao hawajafungua akaunti kwetu wafanye hivyo ili kunufaika na kampeni hii pamoja na huduma zetu za kiakiba pamoja na nyinginezo nyingi.”
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi zawadi hizo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Huduma ya Benki wa Rejareja na Bima ya NCBA Tanzania, Bw. Rahim Kanji amesema kuwa, “leo tunafanya droo yetu ya kwanza ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa kampeni ya ‘SHINDO LA AKIBA’. Kampeni hii tuliizindua mwezi Oktoba na tunatarajia itafika kikomo mnamo mwezi Desemba 2021. Kampeni hii itajumuisha wateja wetu wote lakini pia tunawakaribisha wale ambao hawajafungua akaunti kwetu wafanye hivyo ili kunufaika na kampeni hii pamoja na huduma zetu za kiakiba pamoja na nyinginezo nyingi.”
LORD WALNEY ATEMBELEA KIWANDA CHA SERENGETI BREWERIES
Mjumbe wa Biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Walney (kulia) akitizama baadhi ya bidhaa za SBL. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti. |
Mjumbe wa Biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Walney akionyeshwa shughuli zinavyofanyika katika kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali kilichopo Moshi. |
Friday, 19 November 2021
USIKOSE MECHI YA LIVERPOOL NA ARSENAL WIKIENDI HII
Je wewe utabiri wako ni upi?
Hakikisha hupitwi kwa kupiga *150*53# na kulipia mapema kifurushi cha Compact TShs. 51,000/- tu ili usikose mechi hii ndani ya @dstvtanzania pekee.
#BirianiIendelee
#ZigoLaSikukuu
#DStvJoy
Wednesday, 17 November 2021
SALAMA NA BALOZI TOGOLANI NDANI YA DStv
Piga *150*53# kulipia kifurushi chako cha Poa TShs. 9,900 mapema usipitwe na burudani hii.
#ZigoKamaLote
#ZigoLaSikukuu
#DStvJoy
VODACOM AT THE FINANCIAL SERVICES WEEK EXHIBITION
DStv YAFUNGA MWAKA NA ZIGO LA SIKUKUU!
Dar es Salaam, Novemba 16 2021 - Katika kunogesha zaidi shamrasharma za msimu wa sikukuu, kampuni ya MultiChoice Tanzania imetangaza ofa maalum kwa wateja wapya wa DStv yenye lengo la kuhakikisha kuwa watanzania wengi wanapata huduma hiyo ili waweze kufurahia burudani elimu na habari wao na familia zao msimu huu wa sikukuu.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo ya DStv iliyopewa jina la ‘ZIGO la Sikukuu, Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Ronald Baraka Shelukindo amesema kama ilivyo ada kwa DStv, kila unapofika msimu wa sikukuu hutoa ofa maalum kwa wateja wake ili kuwapa uhakika wa kupata huduma za DStv kipindi hiki ambapo ni cha sikukuu na watu wengi wakiwemo watoto huwa likizo hivyo kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa burudani nyumbani.
“Kwa wale ambao bado hawajajiunga na DStv, huu ndio wakati muafaka kwani kuna muendelezo wa ofa maalum ya DStv Poa iliyoanza Septemba mwaka huu ambapo kwa kuwajali wateja wetu tuliona kuwa kuna umuhimu kwa ofa hii kuendelea kuwepo sokoni katika msimu huu wa Sikukuu. Kupitia mwendelezo wa ofa hii maalum mteja ataweza kuunganishwa kwa Shs. 59,000/- na zawadi ya kifurushi kipya cha DStv Poa mwezi mmoja bila malipo. Aliongeza kuwa ofa hii inawapa uhakika wateja wetu wapya kufurahia maudhui motomoto ndani ya DStv na itadumu hadi mwanzoni mwa mwezi Januari 2022.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo ya DStv iliyopewa jina la ‘ZIGO la Sikukuu, Mkuu wa Masoko wa MultiChoice Tanzania Ronald Baraka Shelukindo amesema kama ilivyo ada kwa DStv, kila unapofika msimu wa sikukuu hutoa ofa maalum kwa wateja wake ili kuwapa uhakika wa kupata huduma za DStv kipindi hiki ambapo ni cha sikukuu na watu wengi wakiwemo watoto huwa likizo hivyo kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa burudani nyumbani.
“Kwa wale ambao bado hawajajiunga na DStv, huu ndio wakati muafaka kwani kuna muendelezo wa ofa maalum ya DStv Poa iliyoanza Septemba mwaka huu ambapo kwa kuwajali wateja wetu tuliona kuwa kuna umuhimu kwa ofa hii kuendelea kuwepo sokoni katika msimu huu wa Sikukuu. Kupitia mwendelezo wa ofa hii maalum mteja ataweza kuunganishwa kwa Shs. 59,000/- na zawadi ya kifurushi kipya cha DStv Poa mwezi mmoja bila malipo. Aliongeza kuwa ofa hii inawapa uhakika wateja wetu wapya kufurahia maudhui motomoto ndani ya DStv na itadumu hadi mwanzoni mwa mwezi Januari 2022.
Subscribe to:
Posts (Atom)