Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 22 November 2021

LORD WALNEY ATEMBELEA KIWANDA CHA SERENGETI BREWERIES

Mjumbe wa Biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Walney (katikati) alipotembelea kiwanda cha Serengeti Breweries (SBL) Moshi kuona kiwanda kipya cha pombe kali na uzalishaji wa bia. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti na kulia ni Anna-Marie Mbwette, Mkurugenzi wa Biashara za Kimataifa, Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania.
Mjumbe wa Biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Walney (kulia) akitizama baadhi ya bidhaa za SBL. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti.
Mjumbe wa Biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Walney akionyeshwa shughuli zinavyofanyika katika kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali kilichopo Moshi.

Mjumbe wa Biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Walney akipanda mti katika kiwanda cha bia cha SBL, Moshi. Kushoto ni Alice Kilembe, Meneja wa uzalishaji na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti.

No comments:

Post a Comment