Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 25 October 2021

VODACOM TANZANIA YASHIRIKI UFUNGUZI WA MAONYESHO YA WIKI YA AZAKI JIJINI DODOMA

Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania Plc, Alex Bitekeye (katikati) akitoa maelezo kwa spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia mwenye suti nyeusi) kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo wakati alipotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya wiki ya azaki iliyoanza jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Mratibu wa mfumo wa kilimo kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania Plc, Ezra Kangala (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa M-Kulima kwa spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia mwenye suti nyeusi) alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya wiki ya azaki iliyoanza jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment