| Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi (wa pili kushoto), akimkabidhi cheti cha shukrani Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Letshego, Simon Jengo (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa benki hiyo, Andrew Tarimo (wa pili kulia) kwa udhamini wa Kongamano la Biashara na Uchumi lililofanyika jijini Dodoma hivi karibuni. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mayoda Economic Development Group, Sophia Simbu (kushoto) na Mwenyekiti Mtendaji wa Mayoda, Agustino Matefu. |
No comments:
Post a Comment