| Mkuu wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), Prof. Ulingeta Mbamba, akizungumza wakati wa uzinduzi wa program inayowaandaa wanafunzi wa vyuo vikuu kwa soko la ajira za kibenki uliondaliwa na Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), chuoni hapo Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mratibu wa Kituo Huduma za Kibenki na Fedha wa UDBS, Dk. Tobias Swai, Mkuu wa Idara ya Taaluma ya Fedha wa UDBS, Dk. Evelyn Richard, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya mabenki Tanzania (TBA), Tusekelege Joune. |
No comments:
Post a Comment