Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_211026

Stanbic Bank Banner_201026

Thursday, 4 March 2021

M-PESA NA LATRA WAJA NA TIKETI MTANDAO, HUDUMA ITAKAYOWEZESHA ABIRIA KULIPIA NAULI KUPITIA SIMU YA KIGANJANI

Mkuu wa Idara ya M-Pesa Biashara, Happiness Shuma akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa huduma ya Tiketi Mtandao, itakayowezesha abiria wa mabasi ya masafa marefu kulipia nauli zao kielektroniki kupitia simu zao za mkononi kupitia App ya Tiketi Mtandao na pia kwenye menyu ya M-Pesa. Mkutano huo uliandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA).

No comments:

Post a Comment