Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Friday, 26 March 2021

AFISA MTENDAJI MKUU WA BENKI YA NMB, RUTH ZAIPUNA AIWAKILISHA BODI, MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB KATIKA MAZISHI YA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI

Akiwakilisha Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB - Ruth Zaipuna na baadhi ya viongozi wa Benki hiyo ni miongoni mwa waombolezaji walioungana na familia, ndugu, jamaa na watanzania wote katika mazishi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mjini Chato.

No comments:

Post a Comment