| Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Ummy Mwalimu akipanda mti kwa kushirikia na Meya wa Jiji la Dodoma, Prof. David Mwamfupe wakati wa kuzindua msitu wa miti ya kupandwa uliopo eneo la Medeli Jijini Dodoma hivi karibuni. Kulia anayeshuhudia ni Meneja wa Vodacom Kanda ya Kati, Grace Chambua. |
No comments:
Post a Comment