Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Tuesday, 18 August 2020

VODACOM TANZANIA YAPONGEZWA KWA UWEKEZAJI MKUBWA WALIOUFANYA NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari alipoitembelea kampuni ya Vodacom Tanzania PLC hivi karibuni na kuipongeza kampuni hiyo kwa uwekezaji mkubwa waliofanya. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia na Mkurugenzi wa kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC, Dkt. Maduhu Isaack Kazi. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akizungumza na Menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Mhe. Angela Kairuki akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Vodacom Tanzania PLC na maofisa aliofuatana nao.

No comments:

Post a Comment