| Meneja wa Benki ya Exim tawi la mkoa wa Iringa, Bw Michael Richard (Katikati) akikabidhi msaada wa taulo za kike kwa Mlezi wa wanafunzi wa kike wa Shule ya Sekondari ya Ruaha iliyopo mkoani humo Bi. Fatuma Tembo (kushoto kwake) ikiwa ni sehemu ya mpango wa benki hiyo wa uwajibikaji wa kwa jamii (CSR) unaofahamika kama Exim Cares. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo. |
No comments:
Post a Comment