| Baadhi ya wajumbe wanaoshiriki katika Mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu kuhusu upatikanaji wa huduma za afya kwa wote ambao unafanyika sambamba na mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa New York, Marekani. Katika Mkutano huo Tanzania inawakilishwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb). |
No comments:
Post a Comment