Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 24 May 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONDOKA NCHINI NA KUWASILI NCHINI AFRIKA KUSINI KWAAJILI YA SHEREHE YA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA NCHI HIYO MHE. CYRIL RAMAPHOSA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25, 2019.
 BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment