Kitomari Banking & Finance Blog is a premier site for banking, finance, business, economic, investment and stock market news as well as selected informative articles from Tanzania, East Africa and the rest of the World. We operate 24 hours a day, 365 days a year with complete context, perspective and precision.
Wednesday, 27 February 2019
BENKI YA CRDB YAJIPAMBANUA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI YA KUTOA ELIMU BURE NA BORA
Benki ya CRDB imeendelea kujipambanua kwa kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ya kutoa elimu bure na bora kwa wanafunzi wote nchini. Hilo limedhihilika tarehe 26 Februari 2019 kwa kukabidhi madarasa mawili pamoja na madawati 40 vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 60 kwa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Iringa (Iringa Girls Secondary School).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment