Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 21 December 2018

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO KUANZIA KIMARA – KIBAHA YENYE UREFU WA KM 19.2 ITAKAYOJENGWA NJIA NANE KWA KIWANGO CHA LAMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Kisiasa pamoja na Viongozi wa Dini kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2. Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia Wananchi katika hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2. Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akitoa maelezo ya mradi wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2. Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpongeza Mbunge wa Ubungo Said Kubenea (CHADEMA) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2. Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na Spika wa Bunge Job Ndugai,Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwele,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Agustino Mahiga, Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo, Wazri wa Maji Profesa Makame Mbalawa, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Seleman Kakoso, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2. Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam Desemba 19, 2018. 
Muonekano wa barabara ya Morogoro ambayo ipo katika hatua za ujenzi kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2. 
Muonekano wa barabara ya Morogoro ambayo ipo katika hatua za ujenzi Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2.
Bofya hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment