| Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) akipokelewa na Meneja wa NBC Kanda ya Ziwa, NBC, Japhet Mazumira (kulia), wakati alipotembelea banda la benki hiyo katika maonyesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanaliyofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita hivi karibuni. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Gabriel Robert. |
No comments:
Post a Comment