| Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa Tigo, David Umoh (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari katika uzinduzi wa promosheni ya Data Kama Lote inayowapa wateja bonasi ya hadi mara mbili kwa vifurushi vya intaneti watakavyonunua kupitia menu iliyoboreshwa ya Tigo *147*00#, katika msimu huu wa Tigo Fiesta 2018 - Vibe Kama Lote. Kulia ni Mkuu wa Huduma za Masoko wa Tigo, William Mpinga. |
No comments:
Post a Comment